- Thread starter
- #141
Na wewe ni miongoni mwa mliofunga pingu za maisha na ujingaNani amekudanganya!!uganda nayo ipo kwenye COVAX, kama nchi zote za afrika, msaada ni tofauti na mkopo!!kwani huyo jemedari wenu alikuwa hata mkopo anaomba kweli?kama kila kitu alikuwa anatumia pesa za ndani mikopo ya nini!!hahaaaa, tena kwa huyo jamaa yenu alivyoirudisha nyuma nchi kiuchumi , ina bidi mama afanye kazi kweli kweli, jamaa alikuwa mshamba sana yaani propaganda za kwenye kukombania uhuru ndio unazitumia miaka hii!!laxima u fail to mjini!!MUNGU FFU