CCM ikiendelea kupuuza misingi ya uongozi ya Hayati Dkt. Magufuli, ni dhahiri watakosa kura 2025

Sa100 anamzidi akili mwendazake Mara 8000!! Tutaishi kistaarabu,kwakusikilizana,kwakujaliana na kwa amani ya kweli sio utulivu wa vitisho
 
Nawaonya CCM kwa mara ya kwanza kwamba, kupuuza na kutupilia mbali mtindo wa kuendesha nchi kwa alivyokuja nao hayati JPM, 2025 lazima iwagharimu

Ninao uhakika juu ya hili, endapo CCM Kitaendelea kupuuza yote mema, na misimamo thabiti ya namna alivyokuwa nayo kiongozi wa awamu iliyopita hayati JPM kwa kuitupilia mbali, 2025 siyo mbali, Historia itaenda kuandikwa upya na kwa mara ya kwanza, Tanzania itakuwa mikononi mwa msiowapenda!

Bibafs, kwa chama chochote kitakachokuja na slogani ya Magufulification kitapata kura yangu, na nitakuwa wa kwanza kufanya kampeni ili kumng'oa CCM, naamini stakuwa peke yangu, ni wimbi kubwa la Watanzania watakaounga mkono chama hiko

Ndiyo, Hayati JPM anayo makosa mengi, ila pia anayo mazuri mengi

Machache kati ya mengi mazuri aliyokuwa nayo,

# Hakupendelea nchi yetu iwe ombaomba

#Hakupendelea nchi yetu tujione wanyonge na kujiita sisi ni masikini, hakupenda kabisa tujivunie umasikini, kokote alikotembea alisema kwa ujasiri kuwa Tanzania sio masikini

# Alitupilia mbali na kukataa katakata miradi yote ya kinyonyaji kama mradi wa Nandari ya Bagamoyo

#Alielewa madhara ya kama kiongozi mkuu kukubali kuwa sasa tumeelemewa na Korona na tunahitaji misaada zaidi ya Msaada kutoka Kwa Mungu Hili nakili kuwa linaupinzani mkubwa kwa sababu kuna wanasayansi hudhani Mungu na sayansi ni kama vita vya tembo na nyasi licha ya hivyo huwa inaeleweka siku zote kuwa Mungu ni zaidi ya sayansi

#Aliwakemea wote wenye kutaka kuleta fyokofyoko bila kujali umaarufu wao, na ndiyo maana hatukushuhudia ujingaujinga wa shirika la Tanesko kukatakata umeme kama ilivyo sasa, misingi hii inapaswa isimamiwe kwa nguvu zote ili tutoke

Jambo lingine la kusisimua, JPM aliamini hasa ukiwa kiongozi unayesimama kwa ajili ya kutetea rasilimali za nchi, kifo huwa ni rafiki mkuu wa mtu huyo, Yeye hakujali
.
Tumpate wapi mtu kama huyu asiyeogopa chochote kwa ajili ya wengi?

Naam..! kwa maana hii, huu ndio unapaswa kuwa msingi wa nchi yetu, anayestahili haki apewe na mwenye kuvunja sheria bila kujali anacheyo gani naye awajibike

Uingozi, sio kumfurahisha kila mtu pia sio kumfedhehesha kila mtu
Niwashauri tu ni vyema mkaangalia namna nyingine ya kulinda legacy, au tafuteni walinzi wapya wa kulinda legacy. Bila hivyo itabakia story saiv tunaweka umoja wa kitaifa kwanza, kwa kuondoa ule mfumo wa hovyo wa utengano
 
Kama yeye alivyosaliti mitindo ya uongozi ya wenzake ndivyo naye anavyosalitiwa. Msaliti husalitiwa.
 
Nawaonya CCM kwa mara ya kwanza kwamba, kupuuza na kutupilia mbali mtindo wa kuendesha nchi kwa alivyokuja nao hayati JPM, 2025 lazima iwagharimu

Ninao uhakika juu ya hili, endapo CCM Kitaendelea kupuuza yote mema, na misimamo thabiti ya namna alivyokuwa nayo kiongozi wa awamu iliyopita hayati JPM kwa kuitupilia mbali, 2025 siyo mbali, Historia itaenda kuandikwa upya na kwa mara ya kwanza, Tanzania itakuwa mikononi mwa msiowapenda!

Bibafs, kwa chama chochote kitakachokuja na slogani ya Magufulification kitapata kura yangu, na nitakuwa wa kwanza kufanya kampeni ili kumng'oa CCM, naamini stakuwa peke yangu, ni wimbi kubwa la Watanzania watakaounga mkono chama hiko

Ndiyo, Hayati JPM anayo makosa mengi, ila pia anayo mazuri mengi

Machache kati ya mengi mazuri aliyokuwa nayo,

# Hakupendelea nchi yetu iwe ombaomba

#Hakupendelea nchi yetu tujione wanyonge na kujiita sisi ni masikini, hakupenda kabisa tujivunie umasikini, kokote alikotembea alisema kwa ujasiri kuwa Tanzania sio masikini

# Alitupilia mbali na kukataa katakata miradi yote ya kinyonyaji kama mradi wa Nandari ya Bagamoyo

#Alielewa madhara ya kama kiongozi mkuu kukubali kuwa sasa tumeelemewa na Korona na tunahitaji misaada zaidi ya Msaada kutoka Kwa Mungu Hili nakili kuwa linaupinzani mkubwa kwa sababu kuna wanasayansi hudhani Mungu na sayansi ni kama vita vya tembo na nyasi licha ya hivyo huwa inaeleweka siku zote kuwa Mungu ni zaidi ya sayansi

#Aliwakemea wote wenye kutaka kuleta fyokofyoko bila kujali umaarufu wao, na ndiyo maana hatukushuhudia ujingaujinga wa shirika la Tanesko kukatakata umeme kama ilivyo sasa, misingi hii inapaswa isimamiwe kwa nguvu zote ili tutoke

Jambo lingine la kusisimua, JPM aliamini hasa ukiwa kiongozi unayesimama kwa ajili ya kutetea rasilimali za nchi, kifo huwa ni rafiki mkuu wa mtu huyo, Yeye hakujali
.
Tumpate wapi mtu kama huyu asiyeogopa chochote kwa ajili ya wengi?

Naam..! kwa maana hii, huu ndio unapaswa kuwa msingi wa nchi yetu, anayestahili haki apewe na mwenye kuvunja sheria bila kujali anacheyo gani naye awajibike

Uingozi, sio kumfurahisha kila mtu pia sio kumfedhehesha kila mtu
Kila zama na kitabu chake.
 
nimesoma hadi ulipoandika "# Hakupendelea nchi yetu iwe ombaomba".

Nimejirizisha wewe ni mmoja wa wahanga za sera za uongo na ulaghai za mwendazake. sio kosa lako.

Hivi unajua deni la taifa limeongezeka kwa kiasi gani wkt wa utawala wa huyo unayemshabikia?

Mtusaidie kumuunga mkono mama yetu ssh. mama mpenda haki, mkweli na asiye na visasi na watu.
 
Wa
Siku yeyote ile ukipata mpinzani wako anakuona na kukubali kuwa unafanya vizuri, basi ujue unamfanyia kazi yake.

Na ukikubalika na wapinzani wako wewe usiwe na wasi wasi, siku ya mwisho utajua kama unapatia au hapana.
Wapinzani wamebadilisha mchezo wa siasa kutokana na uwanja wa mapambano kubadilika baada ya JPM kufariki. Wana kusifu wakiwa na ajenda ya siri. Mama kuwa macho nao,CCM yangu amka hali itakuwa mbaya 2025. Siasa ni sayansi. Nendeni nao kimshazari. Adui hajawahi kuwa Rafiki kwenye mazingira ya ghafla.
 
Ccm haiwezi kukosaa kura jombaa kwa hivi karibuni..watz bado ni mbumbumbu vichwani mwao..kamwee hawawez kugomea matokeo kama nchi zingine.
hapana mkuu, nakuhakikishia kwamba, CCM wenyewe hatutakubaliana, tutagawanyika nakwambia na tutakuwa wapiga debe na kampenia wa vyama pinzani nakwambia
 
Kuanza kusikiliza music wa saccos na kiongozi wao faru John ni kupoteza muda Sana. Hakuna kitu hawa walafi wa madaraka, mawakala wa mabeberu watafanya kwa watanzania zaidi ya kurudisha utumwani.
 
Nawaonya CCM kwa mara ya kwanza kwamba, kupuuza na kutupilia mbali mtindo wa kuendesha nchi kwa alivyokuja nao hayati JPM, 2025 lazima iwagharimu

Ninao uhakika juu ya hili, endapo CCM Kitaendelea kupuuza yote mema, na misimamo thabiti ya namna alivyokuwa nayo kiongozi wa awamu iliyopita hayati JPM kwa kuitupilia mbali, 2025 siyo mbali, Historia itaenda kuandikwa upya na kwa mara ya kwanza, Tanzania itakuwa mikononi mwa msiowapenda!

Bibafs, kwa chama chochote kitakachokuja na slogani ya Magufulification kitapata kura yangu, na nitakuwa wa kwanza kufanya kampeni ili kumng'oa CCM, naamini stakuwa peke yangu, ni wimbi kubwa la Watanzania watakaounga mkono chama hiko

Ndiyo, Hayati JPM anayo makosa mengi, ila pia anayo mazuri mengi

Machache kati ya mengi mazuri aliyokuwa nayo,

# Hakupendelea nchi yetu iwe ombaomba

#Hakupendelea nchi yetu tujione wanyonge na kujiita sisi ni masikini, hakupenda kabisa tujivunie umasikini, kokote alikotembea alisema kwa ujasiri kuwa Tanzania sio masikini

# Alitupilia mbali na kukataa katakata miradi yote ya kinyonyaji kama mradi wa Nandari ya Bagamoyo

#Alielewa madhara ya kama kiongozi mkuu kukubali kuwa sasa tumeelemewa na Korona na tunahitaji misaada zaidi ya Msaada kutoka Kwa Mungu Hili nakili kuwa linaupinzani mkubwa kwa sababu kuna wanasayansi hudhani Mungu na sayansi ni kama vita vya tembo na nyasi licha ya hivyo huwa inaeleweka siku zote kuwa Mungu ni zaidi ya sayansi

#Aliwakemea wote wenye kutaka kuleta fyokofyoko bila kujali umaarufu wao, na ndiyo maana hatukushuhudia ujingaujinga wa shirika la Tanesko kukatakata umeme kama ilivyo sasa, misingi hii inapaswa isimamiwe kwa nguvu zote ili tutoke

Jambo lingine la kusisimua, JPM aliamini hasa ukiwa kiongozi unayesimama kwa ajili ya kutetea rasilimali za nchi, kifo huwa ni rafiki mkuu wa mtu huyo, Yeye hakujali
.
Tumpate wapi mtu kama huyu asiyeogopa chochote kwa ajili ya wengi?

Naam..! kwa maana hii, huu ndio unapaswa kuwa msingi wa nchi yetu, anayestahili haki apewe na mwenye kuvunja sheria bila kujali anacheyo gani naye awajibike

Uingozi, sio kumfurahisha kila mtu pia sio kumfedhehesha kila mtu
Wee mjinga nini? Nani alikwambia sisi CCM huwa tunategemea sanduku la Kura?
 
Kimsingi, mwanasiasa yeyote atakayebeba falsafa za Magufuli na style flan flan za unongozi wake atapata umaarufu na kuwa hata rais wa nchi hii. Nchi imepata hasara sana hii kumpoteza JPM.
 
Sasa kuwaaminisha watu kuwa unyonge ni sifa, huko si kuabudu umasikini?na hata ukikataa neno umasikini, inasaidia nini wakati matendo yako yote /maisha yako yanaashiria umasikini?eti hakupenda kuwa ombaomba hizo trilioni 25, alikopa/alitoa mkopo yeye kwa miaka 5,? Haki gani hizo unazozizungumzia kwenye utawala wake, haki kupelekea leo ofisi ya DPP, imekuwa kioja kwa kila siku kufuta kesi tu, za watu waliobambikiwa?!!ila hiyo miradi ya ujenzi wa kila kitu chato ndiyo ilikuwa ni tija kwa taifa?
Yaani mtu ukaombe kura kwa kutaja tu hata jina la mwendazake umepotea!!na kwa taarifa yako mwaka 2025, mama anapita ki ulaini tu, kwanza tunaweza kukubaliana tu hakuna haja ya uchaguzi ngazi ya rais , tufanye wa wabunge na madiwani tu.Kwani kwa mpira huu wa mama !!MWENDAZAKE MASALIA, ndio mnapata tabu sana kuliko hata wapinzani.
 
Hivi na wewe na madarasa yote uliyonayo hayajakusaidia binadamu?

Alokwambia mkopo ni msaada ni nani?

kwa sasa tunatajiia kupokea msaada wa kuombaomba kama nchi masikini zaidi duniani ule wa dawa za chanjo ya korona, hiyo wewe unaona sifa??

Tunashindwa na Uganda ilijinunulia yenyewe halafu sisi tunawekwa kwenye kundi la nchi ombaomba
 
Nauangalia mdahalo wa kisomi TBC Mzee Wangwe anauongoza. Kuondoka kwa JPM na kuingia kwa SSH sidhani kama kuna kitu kikubwa kimepungua.

Sana sana kuna ingizo jipya la ufikiriaji miongoni mwa watendaji wa hizi mamlaka kubwa. Nimemuelewa Erick Hamis anapozungumzia uwepo wa Public Relation kama sehemu ya utendaji kazi.

Rais Samia ni tofauti kimtazamo na hayati Magufuli, hawa CEOs wanaweza kufanya kazi vizuri awamu hii kuliko iliyopita, wanapewa uhuru na wanaweza kuja kuhukumiwa kwa haki.

JPM aliwapa presha kubwa wasaidizi wake wakakosa kuwa na ufanisi wa mtu anayefanya kazi kwa kufuata taaluma inavyomtaka. SSH anaweza kupata kilicho bora kwa namna anavyoishi na tabaka hili la wasomi wetu.
 
Siku yeyote ile ukipata mpinzani wako anakuona na kukubali kuwa unafanya vizuri, basi ujue unamfanyia kazi yake.

Na ukikubalika na wapinzani wako wewe usiwe na wasi wasi, siku ya mwisho utajua kama unapatia au hapana.

Unless u hold some facts constant otherwise huwa inategemea.
 
Hivi na wewe na madarasa yote uliyonayo hayajakusaidia binadamu?

Alokwambia mkopo ni msaada ni nani?

kwa sasa tunatajiia kupokea msaada wa kuombaomba kama nchi masikini zaidi duniani ule wa dawa za chanjo ya korona, hiyo wewe unaona sifa??

Tunashindwa na Uganda ilijinunulia yenyewe halafu sisi tunawekwa kwenye kundi la nchi ombaomba
Nani amekudanganya!!uganda nayo ipo kwenye COVAX, kama nchi zote za afrika, msaada ni tofauti na mkopo!!kwani huyo jemedari wenu alikuwa hata mkopo anaomba kweli?kama kila kitu alikuwa anatumia pesa za ndani mikopo ya nini!!hahaaaa, tena kwa huyo jamaa yenu alivyoirudisha nyuma nchi kiuchumi , ina bidi mama afanye kazi kweli kweli, jamaa alikuwa mshamba sana yaani propaganda za kwenye kukombania uhuru ndio unazitumia miaka hii!!laxima u fail to mjini!!MUNGU FUNDI
 
Mimi sijawahi kuwa CCM lakini ni muumini wa mapenzi mema kwa nchi yangu yeyote ataye kuwa tayari kuipiginia nchi yangu kama Magufuli huyo amebeba kura yangu pamoja na jamii yangu yote.

Except Lissu huyu anafaa kufungiwa jiwe la kusagia na kutupwa.
Kura yako wewe si kura za watamzania.
Kwani ccm ikikosa kura nchi itatawaliwa na nyamulenge?
Ccm has the seed of its own desteruction
 
Nawaonya CCM kwa mara ya kwanza kwamba, kupuuza na kutupilia mbali mtindo wa kuendesha nchi kwa alivyokuja nao hayati JPM, 2025 lazima iwagharimu

Ninao uhakika juu ya hili, endapo CCM Kitaendelea kupuuza yote mema, na misimamo thabiti ya namna alivyokuwa nayo kiongozi wa awamu iliyopita hayati JPM kwa kuitupilia mbali, 2025 siyo mbali, Historia itaenda kuandikwa upya na kwa mara ya kwanza, Tanzania itakuwa mikononi mwa msiowapenda!

Bibafs, kwa chama chochote kitakachokuja na slogani ya Magufulification kitapata kura yangu, na nitakuwa wa kwanza kufanya kampeni ili kumng'oa CCM, naamini stakuwa peke yangu, ni wimbi kubwa la Watanzania watakaounga mkono chama hiko

Ndiyo, Hayati JPM anayo makosa mengi, ila pia anayo mazuri mengi

Machache kati ya mengi mazuri aliyokuwa nayo,

# Hakupendelea nchi yetu iwe ombaomba

#Hakupendelea nchi yetu tujione wanyonge na kujiita sisi ni masikini, hakupenda kabisa tujivunie umasikini, kokote alikotembea alisema kwa ujasiri kuwa Tanzania sio masikini

# Alitupilia mbali na kukataa katakata miradi yote ya kinyonyaji kama mradi wa Nandari ya Bagamoyo

#Alielewa madhara ya kama kiongozi mkuu kukubali kuwa sasa tumeelemewa na Korona na tunahitaji misaada zaidi ya Msaada kutoka Kwa Mungu Hili nakili kuwa linaupinzani mkubwa kwa sababu kuna wanasayansi hudhani Mungu na sayansi ni kama vita vya tembo na nyasi licha ya hivyo huwa inaeleweka siku zote kuwa Mungu ni zaidi ya sayansi

#Aliwakemea wote wenye kutaka kuleta fyokofyoko bila kujali umaarufu wao, na ndiyo maana hatukushuhudia ujingaujinga wa shirika la Tanesko kukatakata umeme kama ilivyo sasa, misingi hii inapaswa isimamiwe kwa nguvu zote ili tutoke

Jambo lingine la kusisimua, JPM aliamini hasa ukiwa kiongozi unayesimama kwa ajili ya kutetea rasilimali za nchi, kifo huwa ni rafiki mkuu wa mtu huyo, Yeye hakujali
.
Tumpate wapi mtu kama huyu asiyeogopa chochote kwa ajili ya wengi?

Naam..! kwa maana hii, huu ndio unapaswa kuwa msingi wa nchi yetu, anayestahili haki apewe na mwenye kuvunja sheria bila kujali anacheyo gani naye awajibike

Uingozi, sio kumfurahisha kila mtu pia sio kumfedhehesha kila mtu
Onyo lako Halina maana, hivi uyo mwendazake kafanya nini, mbona mwajitoa hufaham, ccm ni chama na tahasisi ,hawezi tegemea mtu mmoja,imekuepo hata kabla ya Maghufuli chukua KADI ,

Ushauri wako ni ovyo Kama kweli wanaccm wanzako wanaweza utekeleza, jenga chama chenu acheni blabla ,mmekalia subili vitenge,na kofia,hamtaki jenga chama,kila siku Maghufuli, kana kwamba alikua mkubwa kuliko chama chenu,
 
Nawaonya CCM kwa mara ya kwanza kwamba, kupuuza na kutupilia mbali mtindo wa kuendesha nchi kwa alivyokuja nao hayati JPM, 2025 lazima iwagharimu

Ninao uhakika juu ya hili, endapo CCM Kitaendelea kupuuza yote mema, na misimamo thabiti ya namna alivyokuwa nayo kiongozi wa awamu iliyopita hayati JPM kwa kuitupilia mbali, 2025 siyo mbali, Historia itaenda kuandikwa upya na kwa mara ya kwanza, Tanzania itakuwa mikononi mwa msiowapenda!

Bibafs, kwa chama chochote kitakachokuja na slogani ya Magufulification kitapata kura yangu, na nitakuwa wa kwanza kufanya kampeni ili kumng'oa CCM, naamini stakuwa peke yangu, ni wimbi kubwa la Watanzania watakaounga mkono chama hiko

Ndiyo, Hayati JPM anayo makosa mengi, ila pia anayo mazuri mengi

Machache kati ya mengi mazuri aliyokuwa nayo,

# Hakupendelea nchi yetu iwe ombaomba

#Hakupendelea nchi yetu tujione wanyonge na kujiita sisi ni masikini, hakupenda kabisa tujivunie umasikini, kokote alikotembea alisema kwa ujasiri kuwa Tanzania sio masikini

# Alitupilia mbali na kukataa katakata miradi yote ya kinyonyaji kama mradi wa Nandari ya Bagamoyo

#Alielewa madhara ya kama kiongozi mkuu kukubali kuwa sasa tumeelemewa na Korona na tunahitaji misaada zaidi ya Msaada kutoka Kwa Mungu Hili nakili kuwa linaupinzani mkubwa kwa sababu kuna wanasayansi hudhani Mungu na sayansi ni kama vita vya tembo na nyasi licha ya hivyo huwa inaeleweka siku zote kuwa Mungu ni zaidi ya sayansi

#Aliwakemea wote wenye kutaka kuleta fyokofyoko bila kujali umaarufu wao, na ndiyo maana hatukushuhudia ujingaujinga wa shirika la Tanesko kukatakata umeme kama ilivyo sasa, misingi hii inapaswa isimamiwe kwa nguvu zote ili tutoke

Jambo lingine la kusisimua, JPM aliamini hasa ukiwa kiongozi unayesimama kwa ajili ya kutetea rasilimali za nchi, kifo huwa ni rafiki mkuu wa mtu huyo, Yeye hakujali
.
Tumpate wapi mtu kama huyu asiyeogopa chochote kwa ajili ya wengi?

Naam..! kwa maana hii, huu ndio unapaswa kuwa msingi wa nchi yetu, anayestahili haki apewe na mwenye kuvunja sheria bila kujali anacheyo gani naye awajibike

Uingozi, sio kumfurahisha kila mtu pia sio kumfedhehesha kila mtu
MAGUFULI HAKUWA NA MISINGI YOYOTE YA UONGOZ ZAID YA UBABE NA UDIKTETA NDO MAANA ANAPUUZWA
 
Back
Top Bottom