CCM ikiendelea kupuuza misingi ya uongozi ya Hayati Dkt. Magufuli, ni dhahiri watakosa kura 2025

Raisi samia atapita kilaini sana 2025,pamoja nakwamba hawabani wapinzani,bam telling u samia atapita kirahisi sana kuliko hata magifuli ambae aliwakandamiza upande wa pili lakini bado tulion lissu alikuwa na wafuasi wengi 2020...
 
Coz ccm hawako real sana
 
Mwandishi kama hujui, huyo unayemuabudu kafa kwa ajili ya matendo yake maovu. Mlifikiri yeye ndiye alikuwa nchi sasa amekufa na maisha yanaendelea vizuri tu.

Kama mnafikiri mnaweza kuendelea kung'ang'ania madarakani kwa kuwanyanyasa wapinzani basi mtakuwa mnakosea sana na hicho ndicho kilichomgarimu Magufuli hadi akapoteza maisha.

Kama huyu mama naye atanasa kwenye huo mtego basi naye mustakabali wake utakuwa mashakani, I tell you my friend, the opposition is now well connected more than you think. Take care.
 
Nawaonya CCM kwa mara ya kwanza kwamba, kupuuza na kutupilia mbali mtindo wa kuendesha nchi kwa alivyokuja nao hayati JPM, 2025 lazima iwagharimu

Ninao uhakika juu ya hili, endapo CCM Kitaendelea kupuuza yote mema, na misimamo thabiti ya namna alivyokuwa nayo kiongozi wa awamu iliyopita hayati JPM kwa kuitupilia mbali, 2025 siyo mbali, Historia itaenda kuandikwa upya na kwa mara ya kwanza, Tanzania itakuwa mikononi mwa msiowapenda!

Bibafs, kwa chama chochote kitakachokuja na slogani ya Magufulification kitapata kura yangu, na nitakuwa wa kwanza kufanya kampeni ili kumng'oa CCM, naamini stakuwa peke yangu, ni wimbi kubwa la Watanzania watakaounga mkono chama hiko

Ndiyo, Hayati JPM anayo makosa mengi, ila pia anayo mazuri mengi

Machache kati ya mengi mazuri aliyokuwa nayo,

# Hakupendelea nchi yetu iwe ombaomba

#Hakupendelea nchi yetu tujione wanyonge na kujiita sisi ni masikini, hakupenda kabisa tujivunie umasikini, kokote alikotembea alisema kwa ujasiri kuwa Tanzania sio masikini

# Alitupilia mbali na kukataa katakata miradi yote ya kinyonyaji kama mradi wa Nandari ya Bagamoyo

#Alielewa madhara ya kama kiongozi mkuu kukubali kuwa sasa tumeelemewa na Korona na tunahitaji misaada zaidi ya Msaada kutoka Kwa Mungu Hili nakili kuwa linaupinzani mkubwa kwa sababu kuna wanasayansi hudhani Mungu na siasa ni kama vita vya tembo na nyasi Ila huwa inaeleweka siku zote kuwa Mungu ni zaidi ya sayansi

#Aliwakemea wote wenye kutaka kuleta fyokofyoko bila kujali umaarufu wao, na ndiyo maana hatukushuhudia ujingaujinga wa shirika la Tanesko kukatakata umeme kama ilivyo sasa, Hii misingi inapaswa isimamiwe kwa nguvu zote ili tutoke

Jambo lingine la kusisimua, JPM aliamini hasa ukiwa kiongozi unayesimama kwa ajili ya kutetea rasilimali za nchi, kifo huwa ni rafiki mkuu wa mtu huyo, Yeye hakujali
.
Tumpate wapi mtu kama huyu asiyeogopa chochote kwa ajili ya wengi?

Naam..! kwa maana hii, huu ndio unapaswa kuwa msingi wa nchi yetu, anayestahili haki apewe na mwenye kuvunja sheria bila kujali anacheyo gani naye awajibike

Uingozi, sio kumfurahisha kila mtu pia sio kumfedhehesha kila mtu
Waache tu wamlishe upepo rais,wanadhani 2015 watu walichagua CCM,wakisahau kuwa walimchagua Magufuli,maana CCM ilikuwa inakwenda kufutika.
 
Kama watu wangekuwa wanafufuka tungemwomba Mungu amfufue Magufuli halafu uchaguzi uitiswe wagombea wawe ni Magufuli vs Samia nakuhakikishia kuwa Magufuli angekula za uso kwa ushetani aliotufanyia wananchi hata wasukuma wenzake nao wasingempa kura.
 
Sawa mkuu kwa mchango wako
 
Hata mimi pia jana niliandika comment kama hii yako.

Iko hivi:
Ukiona Rais wa nchi anapongezwa na "wapinzani" wake kwenye kila jambo analolifanya basi tambua kwamba huyo Rais anafanya kazi ya kuua siasa.

Ndani ya chama chake atakataliwa, na nje ya chama chake atakubalika. Sasa ufalme unapojifitini wenyewe huwa hausimami. Tutegemee anguko kubwa sana la huyu SSH hapo ifikapo 2025.

Wapinzani hawana uwezo wa kushinda Urais lakini CCM inaweza kugawanyika na chanzo kikawa huyu Madam SSH.
Umenena ukweli upinzani siku zote hauna watu wa maana mpaka watoke CCM, upinzani uliletwa na Mrema,Slaa,Lowassa wote ni CCM.

Ndo maana Kikwete alipojua mpinzani wake atakuwa Mbowe,alianza kuwatapikia wafanyakazi kura zao hazimbabaishi,ghafula Slaa kawa mgombea urais,yaliyompata wote tunajua.
Rais awe makini Sana maana akiwafuata Hawa wapotoshaji,atakumbuna na Mambo ya kina Slaa.
 
Nawaonya CCM kwa mara ya kwanza kwamba, kupuuza na kutupilia mbali mtindo wa kuendesha nchi kwa alivyokuja nao hayati JPM, 2025 lazima iwagharimu

Ninao uhakika juu ya hili, endapo CCM Kitaendelea kupuuza yote mema, na misimamo thabiti ya namna alivyokuwa nayo kiongozi wa awamu iliyopita hayati JPM kwa kuitupilia mbali, 2025 siyo mbali, Historia itaenda kuandikwa upya na kwa mara ya kwanza, Tanzania itakuwa mikononi mwa msiowapenda!

Bibafs, kwa chama chochote kitakachokuja na slogani ya Magufulification kitapata kura yangu, na nitakuwa wa kwanza kufanya kampeni ili kumng'oa CCM, naamini stakuwa peke yangu, ni wimbi kubwa la Watanzania watakaounga mkono chama hiko

Ndiyo, Hayati JPM anayo makosa mengi, ila pia anayo mazuri mengi

Machache kati ya mengi mazuri aliyokuwa nayo,

# Hakupendelea nchi yetu iwe ombaomba

#Hakupendelea nchi yetu tujione wanyonge na kujiita sisi ni masikini, hakupenda kabisa tujivunie umasikini, kokote alikotembea alisema kwa ujasiri kuwa Tanzania sio masikini

# Alitupilia mbali na kukataa katakata miradi yote ya kinyonyaji kama mradi wa Nandari ya Bagamoyo

#Alielewa madhara ya kama kiongozi mkuu kukubali kuwa sasa tumeelemewa na Korona na tunahitaji misaada zaidi ya Msaada kutoka Kwa Mungu Hili nakili kuwa linaupinzani mkubwa kwa sababu kuna wanasayansi hudhani Mungu na sayansi ni kama vita vya tembo na nyasi licha ya hivyo huwa inaeleweka siku zote kuwa Mungu ni zaidi ya sayansi

#Aliwakemea wote wenye kutaka kuleta fyokofyoko bila kujali umaarufu wao, na ndiyo maana hatukushuhudia ujingaujinga wa shirika la Tanesko kukatakata umeme kama ilivyo sasa, misingi hii inapaswa isimamiwe kwa nguvu zote ili tutoke

Jambo lingine la kusisimua, JPM aliamini hasa ukiwa kiongozi unayesimama kwa ajili ya kutetea rasilimali za nchi, kifo huwa ni rafiki mkuu wa mtu huyo, Yeye hakujali
.
Tumpate wapi mtu kama huyu asiyeogopa chochote kwa ajili ya wengi?

Naam..! kwa maana hii, huu ndio unapaswa kuwa msingi wa nchi yetu, anayestahili haki apewe na mwenye kuvunja sheria bila kujali anacheyo gani naye awajibike

Uingozi, sio kumfurahisha kila mtu pia sio kumfedhehesha kila mtu
Kukosa kura sio kitu kwao. Tena mkiendelea kusema hivo ndo mtaaababisha wafilisi kila kitu. Kwa sababu wanajua watakosa kura
 
Kuna ile kujidanganya kwamba, wanaleta umoja kana kwamba umoja huo ulikuwa umepotea na wasijue kwamba wanakiweka chama chao kwenye upinzani mkubwa wa ndani kwa ndani na nje ya chama hicho
Hiyo ndiyo demokrasia mkuu. Huyo uliyempenda hakuipenda demokrasia. Mazoea yana taabu sana, mlizoea ubabe wa mwendakuzimu mkafikiri ndiyo namna nzuri ya kuongoza nchi. Poleni sana. Kazi inaendelea.
 
Kwahiyo unatakaje?

Wasitishe shughuli za kisiasa za vyama vya upinzani ili CCM pekee waendelee kufanya siasa kama ilivyokuwa wakati wa Magufuli?
Wabambikie kesi viongozi wa upinzani?

Watafute ushindi kwa hila na mabavu dhidi ya upinzani kama ilivyokuwa kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa mwaka 2019?
Watumie dola kubakia madarakani?

Zama zimebadirika mkuu.

Vumilia tu, maana hakuna namna.
Hoja za msingi sana hizi umezitoa. Hawa watu kumbe mwendakuzimu aliwakamata sana akili. Nchi ilikua imepotea. Bila kifo, sijui tungerudije kwenye reli.
 
Nawaonya CCM kwa mara ya kwanza kwamba, kupuuza na kutupilia mbali mtindo wa kuendesha nchi kwa alivyokuja nao hayati JPM, 2025 lazima iwagharimu

Ninao uhakika juu ya hili, endapo CCM Kitaendelea kupuuza yote mema, na misimamo thabiti ya namna alivyokuwa nayo kiongozi wa awamu iliyopita hayati JPM kwa kuitupilia mbali, 2025 siyo mbali, Historia itaenda kuandikwa upya na kwa mara ya kwanza, Tanzania itakuwa mikononi mwa msiowapenda!

Bibafs, kwa chama chochote kitakachokuja na slogani ya Magufulification kitapata kura yangu, na nitakuwa wa kwanza kufanya kampeni ili kumng'oa CCM, naamini stakuwa peke yangu, ni wimbi kubwa la Watanzania watakaounga mkono chama hiko

Ndiyo, Hayati JPM anayo makosa mengi, ila pia anayo mazuri mengi

Machache kati ya mengi mazuri aliyokuwa nayo,

# Hakupendelea nchi yetu iwe ombaomba

#Hakupendelea nchi yetu tujione wanyonge na kujiita sisi ni masikini, hakupenda kabisa tujivunie umasikini, kokote alikotembea alisema kwa ujasiri kuwa Tanzania sio masikini

# Alitupilia mbali na kukataa katakata miradi yote ya kinyonyaji kama mradi wa Nandari ya Bagamoyo

#Alielewa madhara ya kama kiongozi mkuu kukubali kuwa sasa tumeelemewa na Korona na tunahitaji misaada zaidi ya Msaada kutoka Kwa Mungu Hili nakili kuwa linaupinzani mkubwa kwa sababu kuna wanasayansi hudhani Mungu na sayansi ni kama vita vya tembo na nyasi licha ya hivyo huwa inaeleweka siku zote kuwa Mungu ni zaidi ya sayansi

#Aliwakemea wote wenye kutaka kuleta fyokofyoko bila kujali umaarufu wao, na ndiyo maana hatukushuhudia ujingaujinga wa shirika la Tanesko kukatakata umeme kama ilivyo sasa, misingi hii inapaswa isimamiwe kwa nguvu zote ili tutoke

Jambo lingine la kusisimua, JPM aliamini hasa ukiwa kiongozi unayesimama kwa ajili ya kutetea rasilimali za nchi, kifo huwa ni rafiki mkuu wa mtu huyo, Yeye hakujali
.
Tumpate wapi mtu kama huyu asiyeogopa chochote kwa ajili ya wengi?

Naam..! kwa maana hii, huu ndio unapaswa kuwa msingi wa nchi yetu, anayestahili haki apewe na mwenye kuvunja sheria bila kujali anacheyo gani naye awajibike

Uingozi, sio kumfurahisha kila mtu pia sio kumfedhehesha kila mtu
Kwani uchaguzi uliopita walipata hizo jura wanazojisifia si waliharibu uchaguzi wote na kujitangaza walivyotaka kwa taarifa yako mama atashinda uchaguzi ujao kwa uhalisia c kwa kiwango hicho cha wizi na dhulma cha magufuli na msaidizi wake dr.bashiru na pole pole mpaka mungu akawafedhehesha.
 
Mimi sijawahi kuwa CCM lakini ni muumini wa mapenzi mema kwa nchi yangu yeyote ataye kuwa tayari kuipiginia nchi yangu kama Magufuli huyo amebeba kura yangu pamoja na jamii yangu yote.

Except Lissu huyu anafaa kufungiwa jiwe la kusagia na kutupwa.
Lissu alikukosea Nini??.
 
Hata mimi pia jana niliandika comment kama hii yako.

Iko hivi:
Ukiona Rais wa nchi anapongezwa na "wapinzani" wake kwenye kila jambo analolifanya basi tambua kwamba huyo Rais anafanya kazi ya kuua siasa.

Ndani ya chama chake atakataliwa, na nje ya chama chake atakubalika. Sasa ufalme unapojifitini wenyewe huwa hausimami. Tutegemee anguko kubwa sana la huyu SSH hapo ifikapo 2025.

Wapinzani hawana uwezo wa kushinda Urais lakini CCM inaweza kugawanyika na chanzo kikawa huyu Madam SSH.
Ndio maana tunataka time huru ya uchaguzi na katiba mpya ili tujue ukweli Kama upinzani unaweza kushinda uchaguzi au la. mara ya mwisho ccm kushinda uchaguzi kihalali ni 2005. 2010 alishinda slaa ,2015 lowassa ,na 2020 Kama shetani jiwe asingeharibu uchaguzi tundu lissu angeshinda .tume huru na katiba mpya alafu tuone nani anashinda uchaguzi
 
CCM inao uwezo wa kupuuza ya Samia, Jpm, Jk, mpaka Nyerere na bado wakashinda uchaguzi.

Tume ya uchaguzi - CCM
Mahakama - CCM
Vyombo vya dola - CCM.

Upinzani kamwe hawezi kuongoza nchi hii labda katiba mpya ipatikane au kwa mapinduzi
Both options are possible
 
Nawaonya CCM kwa mara ya kwanza kwamba, kupuuza na kutupilia mbali mtindo wa kuendesha nchi kwa alivyokuja nao hayati JPM, 2025 lazima iwagharimu

Ninao uhakika juu ya hili, endapo CCM Kitaendelea kupuuza yote mema, na misimamo thabiti ya namna alivyokuwa nayo kiongozi wa awamu iliyopita hayati JPM kwa kuitupilia mbali, 2025 siyo mbali, Historia itaenda kuandikwa upya na kwa mara ya kwanza, Tanzania itakuwa mikononi mwa msiowapenda!

Bibafs, kwa chama chochote kitakachokuja na slogani ya Magufulification kitapata kura yangu, na nitakuwa wa kwanza kufanya kampeni ili kumng'oa CCM, naamini stakuwa peke yangu, ni wimbi kubwa la Watanzania watakaounga mkono chama hiko

Ndiyo, Hayati JPM anayo makosa mengi, ila pia anayo mazuri mengi

Machache kati ya mengi mazuri aliyokuwa nayo,

# Hakupendelea nchi yetu iwe ombaomba

#Hakupendelea nchi yetu tujione wanyonge na kujiita sisi ni masikini, hakupenda kabisa tujivunie umasikini, kokote alikotembea alisema kwa ujasiri kuwa Tanzania sio masikini

# Alitupilia mbali na kukataa katakata miradi yote ya kinyonyaji kama mradi wa Nandari ya Bagamoyo

#Alielewa madhara ya kama kiongozi mkuu kukubali kuwa sasa tumeelemewa na Korona na tunahitaji misaada zaidi ya Msaada kutoka Kwa Mungu Hili nakili kuwa linaupinzani mkubwa kwa sababu kuna wanasayansi hudhani Mungu na sayansi ni kama vita vya tembo na nyasi licha ya hivyo huwa inaeleweka siku zote kuwa Mungu ni zaidi ya sayansi

#Aliwakemea wote wenye kutaka kuleta fyokofyoko bila kujali umaarufu wao, na ndiyo maana hatukushuhudia ujingaujinga wa shirika la Tanesko kukatakata umeme kama ilivyo sasa, misingi hii inapaswa isimamiwe kwa nguvu zote ili tutoke

Jambo lingine la kusisimua, JPM aliamini hasa ukiwa kiongozi unayesimama kwa ajili ya kutetea rasilimali za nchi, kifo huwa ni rafiki mkuu wa mtu huyo, Yeye hakujali
.
Tumpate wapi mtu kama huyu asiyeogopa chochote kwa ajili ya wengi?

Naam..! kwa maana hii, huu ndio unapaswa kuwa msingi wa nchi yetu, anayestahili haki apewe na mwenye kuvunja sheria bila kujali anacheyo gani naye awajibike

Uingozi, sio kumfurahisha kila mtu pia sio kumfedhehesha kila mtu
Mbona mabaya yake hukuyaainisha ?!. Hivi kweli kupotezana na wasiojulikana ni mambo ya kuendeleza ?!. Uporaji ule wa uchaguzi ni mambo ya kuendeleza ?! Au ukanda uliokuwa ukistawi nao uendelezwe !!.

U dictator wa mwendazake nao uendelezwe ?! . Ridhika kuwa jamaa keisha kufa. Hawezi kurudi asilani
 
Back
Top Bottom