CCM ikishirikiana na vyama vibaraka wameunda umoja wao

Hismastersvoice

JF-Expert Member
Joined
Jan 26, 2013
Posts
24,523
Reaction score
30,084
Baada ya Chadema kurudi kwenye siasa CCM imeanzisha umoja wa vyama vilivyoshiriki uchaguzi, umoja huo umepewa jina la "VYAMA RAFIKI".

Lengo la umoja huo ni kuisaidia CCM kupambana na CHADEMA.

Kazi ya kupambana na Chadema ilianza jana huko kanda ya ziwa ambako walianza kwa kumsifu Rais Samia na kuwataka wananchi wasivisikilize vyama visivyo kwenye umoja wao wa vyama Rafiki, ni wazi kuwa CCM haiea nia ya maridhiano.
 
Baada ya Chadema kurudi kwenye siasa CCM imeanzisha umoja wa vyama vilivyoshiriki uchaguzi, umoja huo umepewa jina la "VYAMA RAFIKI". Lengo la umoja huo ni kuisaidia CCM kupambana na CHADEMA.

Muungano wa Maiti
 
Uzuri hivyo vyama vya kwenye mkoba wananchi wamevupuuza, wanachoweza ni kuandaliwa press kubwa lakini hawaweza kuitisha mikutano na wananchi wakajaa kuwasikiliza. Cdm imewashika pa ya sana kwa sasa maana ina mwitikio mkubwa wa umma.
 
Baada ya Chadema kurudi kwenye siasa CCM imeanzisha umoja wa vyama vilivyoshiriki uchaguzi, umoja huo umepewa jina la "VYAMA RAFIKI". Lengo la umoja huo ni kuisaidia CCM kupambana na CHADEMA.
Kazi ya kupambana na Chadema ilianza jana huko kanda ya ziwa ambako walianza kwa kumsifu Rais Samia na kuwataka wananchi wasivisikilize vyama visivyo kwenye umoja wao wa vyama Rafiki, ni wazi kuwa CCM haiea nia ya maridhiano.
Ushirika na Marehemu! Marehemu hawawezi kufufuka. CCM inatafuta uhalali kupitia kwa so called vyama marehemu!
 
Baada ya Chadema kurudi kwenye siasa CCM imeanzisha umoja wa vyama vilivyoshiriki uchaguzi, umoja huo umepewa jina la "VYAMA RAFIKI". Lengo la umoja huo ni kuisaidia CCM kupambana na CHADEMA.
Kazi ya kupambana na Chadema ilianza jana huko kanda ya ziwa ambako walianza kwa kumsifu Rais Samia na kuwataka wananchi wasivisikilize vyama visivyo kwenye umoja wao wa vyama Rafiki, ni wazi kuwa CCM haiea nia ya maridhiano.
Screenshot_20260404-111943~2.png
 
Vyama pandikizi vya Wazanzibari! WaTanganyika amkeni!
 
Baada ya Chadema kurudi kwenye siasa CCM imeanzisha umoja wa vyama vilivyoshiriki uchaguzi, umoja huo umepewa jina la "VYAMA RAFIKI".

Lengo la umoja huo ni kuisaidia CCM kupambana na CHADEMA.

Kazi ya kupambana na Chadema ilianza jana huko kanda ya ziwa ambako walianza kwa kumsifu Rais Samia na kuwataka wananchi wasivisikilize vyama visivyo kwenye umoja wao wa vyama Rafiki, ni wazi kuwa CCM haiea nia ya maridhiano.
Ujinga ule ule umataka kurudiwa?
 
VYAMA VYA KUOMBEA MIKOPO
Vyama hivi "RAFIKI!" hivi sasa vinatembezwa kwenye miradi huko mikoani mikoani vikiwa na jukumu la kumsifu rais Samia kwa kugharamia miradi! Huku vikiwashutumu wapinzani!?
 
Umoja wa kweli hauhitaji kupewa majina wala kukaliwa vikao, ukiona hivyo ujue huo ni unafiki hata kama ni katika ngazi ya familia itabaki kua hivyo.
 
Back
Top Bottom