Tajiri Tanzanite
JF-Expert Member
- Oct 23, 2016
- 3,078
- 5,882
Hapo VIP!
Huu ndio ukweli utakaochelewa ila itafika
Yanga ni club ambayo imejipambanua Na kuweka wazi kuwa IPO kisiasa Na ni club yenye mahusiano mazuri Na CCM Na imekuwa ikiisupport kipesa.
Na inatumia sana mgongo huo kuumiza vilabu vingine Na kufanikisha mambo yao.
Sasa itoshe kusema in swala LA muda..naomba hii thread ifadhiwe IPO Siku watakuja kunikumbuka.