CCM imeanza kupasuka, Ally Hapi na Mwita Waitara wanatuhumiana kupiga madili ya ufisadi

Idugunde

JF-Expert Member
Joined
May 21, 2020
Posts
6,404
Reaction score
6,969
Uchaguzi wa 2025 utakuwa na mtafaruku sana. Huko Mkoani mara tayari Ally Hapi anadaiwa kupiga ufisadi mkubwa huku yeye akidai ni Mbunge wa Tarime ndie fisadi na amemzibia madili.

Mbunge Mwita anadai anazibiwa fursa ili shughuli zake za ubunge zisiende sawa ili ahujumiwe kwenye uchaguzi 2025
20220503_064223.jpg
 
View attachment 2209369
Sasa wewe unatuletea mada za vichwa vya Habari vya magazeti tufanyeje?
 
Kuendelea kumlea mtu kama Hapi ni gharama kwa CCM licha ya upole walionao watanzania lakini wanayaona na wanaumia. Imefikia mahali watu wanaona bora wanyamaze tu
 
Uchaguzi wa 2025 utakuwa na mtafaruku sana. Huko Mkoani mara tayari Ally Hapi anadaiwa kupiga ufisadi mkubwa huku yeye akidai ni Mbunge wa Tarime ndie fisadi na amemzibia madili.

Mbunge Mwita anadai anazibiwa fursa ili shughuli zake za ubunge zisiende sawa ili ahujumiwe kwenye uchaguzi 2025
View attachment 2209369
Wanakula kwa Urefu wa KAMBA zao Usipotajirika Nchi hii ukiwa KIONGOZI basi wewe ni KICHAA

Sent from my SM-J600F using JamiiForums mobile app
 
Anaitwa Ally Salum Hapi, ni kijana na mzaliwa wa Nzega Tabora Jazz....

Hapi kama Hapi hana tatizo na Hapi kama CCM simpendi kama nduguye Bashe lakini kwa hili Hapi namuunga mkono kwani RC ni moderator wa shughuli zote za serikali na hawezi kukaa kimya akiangalia wapigaji wakijipakulia bila kusaza, Waitara alichokifuata CCM hakipo tena hivyo kumlaumu Hapi ni haki yake kibaya zaidi hana jukwaa la kutoa huo upuuzi wake
 
Uchaguzi wa 2025 utakuwa na mtafaruku sana. Huko Mkoani mara tayari Ally Hapi anadaiwa kupiga ufisadi mkubwa huku yeye akidai ni Mbunge wa Tarime ndie fisadi na amemzibia madili.

Mbunge Mwita anadai anazibiwa fursa ili shughuli zake za ubunge zisiende sawa ili ahujumiwe kwenye uchaguzi 2025
View attachment 2209369
Mwita atuliye asubiri maposho ya miaka5 harudi bungeni tena.
 
Hao kurudi tena kwenye siasa labda boss wao afufuke, walitukana mamba bila kuweka akiba ya maneno
 
Kuendelea kumlea mtu kama Hapi ni gharama kwa CCM licha ya upole walionao watanzania lakini wanayaona na wanaumia. Imefikia mahali watu wanaona bora wanyamaze tu
Serikali ya ccm haiwezi Pambana na ufisadi,kwani ndio unaoendesha chama.
A failure state.Ccm hata wapewe miaka milioni 10 awawezi leta maendeleo.
 
Fisiemu ni zaidi ya hapa ngumbaru.

Watapasuka wao.

Usijifanye hujui makida makida za Fisiemu ..
 
Ninachojua wote hawa hawatakiwi awamu hii. Kwahiyo baada ya kumtumbua unaibu waziri Mwita Waitara wamegongqnishwa ili ipatikane sababu ya kula kichwa cha Hapi
 
Ccm itapasuka ili ikifika kipindi cha kutetea madaraka ili waendelee kuiba. Wanakua kidumu chama cha mapinduzi, sisiyemu oye
 
Kwa minyukano hiyo ni wazi kuna kazi inafanyika na kuna mtu anaathirika
KAZI IENDELEE
 
Back
Top Bottom