CCM imeanza kupasuka, Ally Hapi na Mwita Waitara wanatuhumiana kupiga madili ya ufisadi

Wanapotezeana muda tu.
Ally Hepi muda wake wa ukuu wa mkoa umekwisha (alimtukana kiongozi mkuu)
Waitara sijui ni chama gani kitamuamini maana hata CCM Kuna watu wanamjua kwamba Waitara ni bidhaa iliyo sokoni.
 
Uchaguzi wa 2025 utakuwa na mtafaruku sana. Huko Mkoani mara tayari Ally Hapi anadaiwa kupiga ufisadi mkubwa huku yeye akidai ni Mbunge wa Tarime ndie fisadi na amemzibia madili.

Mbunge Mwita anadai anazibiwa fursa ili shughuli zake za ubunge zisiende sawa ili ahujumiwe kwenye uchaguzi 2025
View attachment 2209369
Hawa wote ni watoto wa Mwendazake,kawaacha bila urithi wanaanza wanaanza kuminyana pum.bu
 
Kutokana na tabia za CCM na viongozi wake, kuna uwezekano mkubwa hao wote wakawa wezi, naamini wezi wamekutana kwenye mawindo yao ndio maana wanatupigia kelele.

Simuamini yeyote kati yao.
 
Wanapotezeana muda tu.
Ally Hepi muda wake wa ukuu wa mkoa umekwisha (alimtukana kiongozi mkuu)
Waitara sijui ni chama gani kitamuamini maana hata CCM Kuna watu wanamjua kwamba Waitara ni bidhaa iliyo sokoni.
UMOJA kipo sokoni, SERA kuu kusikiliza na kuangalia Clips za mwendazake

CHAUMA wazee wa Ubwabwa kuku!
 
Uchaguzi wa 2025 utakuwa na mtafaruku sana. Huko Mkoani mara tayari Ally Hapi anadaiwa kupiga ufisadi mkubwa huku yeye akidai ni Mbunge wa Tarime ndie fisadi na amemzibia madili.

Mbunge Mwita anadai anazibiwa fursa ili shughuli zake za ubunge zisiende sawa ili ahujumiwe kwenye uchaguzi 2025
View attachment 2209369
Asante studioo
 
Back
Top Bottom