CCM imeanza kupasuka, Ally Hapi na Mwita Waitara wanatuhumiana kupiga madili ya ufisadi

Wanapotezeana muda tu.
Ally Hepi muda wake wa ukuu wa mkoa umekwisha (alimtukana kiongozi mkuu)
Waitara sijui ni chama gani kitamuamini maana hata CCM Kuna watu wanamjua kwamba Waitara ni bidhaa iliyo sokoni.
 
Hawa wote ni watoto wa Mwendazake,kawaacha bila urithi wanaanza wanaanza kuminyana pum.bu
 
Kutokana na tabia za CCM na viongozi wake, kuna uwezekano mkubwa hao wote wakawa wezi, naamini wezi wamekutana kwenye mawindo yao ndio maana wanatupigia kelele.

Simuamini yeyote kati yao.
 
Wanapotezeana muda tu.
Ally Hepi muda wake wa ukuu wa mkoa umekwisha (alimtukana kiongozi mkuu)
Waitara sijui ni chama gani kitamuamini maana hata CCM Kuna watu wanamjua kwamba Waitara ni bidhaa iliyo sokoni.
UMOJA kipo sokoni, SERA kuu kusikiliza na kuangalia Clips za mwendazake

CHAUMA wazee wa Ubwabwa kuku!
 
Asante studioo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…