CCM imechoka ikachokwa ikachochekana ! Wanachama wenye uwezo wa kuongoza wamebaki wachache mno! Orodha yenyewe hii

Pamoja na Kwamba CCM imechoka ikachokwa na kuchokekana Lakin wapo baadhi ya vijana na wazee wenye uwezo wa kuongoza japo ni wachache tutajie unao Ona wamebaki mi orodha yangu ni hii
1. Prof Mussa Assad
2. …………..

Assad nae ni ccm Eheee?
 
Ccm ni Moja ya chama Cha siasa kizuri sana, itikadi zake na imani. Na Katiba za vyama vya Upinzani zimekuwa originated kutoka Katiba ya ccm. Inakosa watu wa kuongoza ccm

kama inakatiba nzuri inakosaje watu wa kuongoza
 
Pamoja na Kwamba CCM imechoka ikachokwa na kuchokekana Lakin wapo baadhi ya vijana na wazee wenye uwezo wa kuongoza japo ni wachache tutajie unao Ona wamebaki mi orodha yangu ni hii
1. Prof Mussa Assad
2. …………..
Ukishakua CAG ukastaafu basi hakuna kazi utagombea ama kupewa hivo ni pamoja na Katibu Mkuu kiongozi,Jaji Mkuu..ikiwa umestaafu basi utapewa ujumbe wa bodi n.k
Lakini sio urudi kkwenye payrol
 
Pamoja na Kwamba CCM imechoka ikachokwa na kuchokekana Lakin wapo baadhi ya vijana na wazee wenye uwezo wa kuongoza japo ni wachache tutajie unao Ona wamebaki mi orodha yangu ni hii
1. Prof Mussa Assad
2. …………..
Bangi na K vant ni hatari kwa mustakbali wa maisha yako
 
Pamoja na Kwamba CCM imechoka ikachokwa na kuchokekana Lakin wapo baadhi ya vijana na wazee wenye uwezo wa kuongoza japo ni wachache tutajie unao Ona wamebaki mi orodha yangu ni hii
1. Prof Mussa Assad
2. …………..
Vipi kuhusu Bashiru na Polepole hawamo kwenye List
 
Back
Top Bottom