Fumadilu Kalimanzila
JF-Expert Member
- Dec 10, 2016
- 1,770
- 5,423
Hawa vijana wa CHADEMA waliovamia siasa baada ya kushindwa maisha vichwani hamana kitu kabisa! Sasa Prof.Musa Assad ni CCM?!!!Pamoja na Kwamba CCM imechoka ikachokwa na kuchokekana Lakin wapo baadhi ya vijana na wazee wenye uwezo wa kuongoza japo ni wachache tutajie unao Ona wamebaki mi orodha yangu ni hii
1. Prof Mussa Assad
2. …………..