Jakamoyo msoga
Member
- Jul 18, 2019
- 76
- 304
Pamoja na Kwamba CCM imechoka ikachokwa na kuchokekana Lakin wapo baadhi ya vijana na wazee wenye uwezo wa kuongoza japo ni wachache tutajie unao Ona wamebaki mi orodha yangu ni hii
1. Prof Mussa Assad
2. …………..
NdioAssad nae ni ccm Eheee?
AwatowasaidiaTume ya uchaguzi na polisi hao wana uwezo mkubwa wa kuongoza huko CCM.
Ndio
Ccm ni Moja ya chama Cha siasa kizuri sana, itikadi zake na imani. Na Katiba za vyama vya Upinzani zimekuwa originated kutoka Katiba ya ccm. Inakosa watu wa kuongoza ccm
List ni fupi sana najiuliza niongeza nani simuoni.Pamoja na Kwamba CCM imechoka ikachokwa na kuchokekana Lakin wapo baadhi ya vijana na wazee wenye uwezo wa kuongoza japo ni wachache tutajie unao Ona wamebaki mi orodha yangu ni hii
1. Prof Mussa Assad
2. …………..
wote wamegeuka akina HamzaKiufupi CCM hakuna mwenye sofa ya kuiongoza kwa Sasa.
Ukishakua CAG ukastaafu basi hakuna kazi utagombea ama kupewa hivo ni pamoja na Katibu Mkuu kiongozi,Jaji Mkuu..ikiwa umestaafu basi utapewa ujumbe wa bodi n.kPamoja na Kwamba CCM imechoka ikachokwa na kuchokekana Lakin wapo baadhi ya vijana na wazee wenye uwezo wa kuongoza japo ni wachache tutajie unao Ona wamebaki mi orodha yangu ni hii
1. Prof Mussa Assad
2. …………..
Polisi wanauwezo mkubwa sana maana CCM hawana uwezo wakuwatambua watu wasiojulikanaTume ya uchaguzi na polisi hao wana uwezo mkubwa wa kuongoza huko CCM.
Mpaka sasa kimekuwa chama cha magaidi. Talibani ina nafuuHistoria inaihukumu CCM, kutoka chama makini kabisa cha ukombozi mpaka sasa kimefikia hatua ya kuwa chama cha majambazi.
Bangi na K vant ni hatari kwa mustakbali wa maisha yakoPamoja na Kwamba CCM imechoka ikachokwa na kuchokekana Lakin wapo baadhi ya vijana na wazee wenye uwezo wa kuongoza japo ni wachache tutajie unao Ona wamebaki mi orodha yangu ni hii
1. Prof Mussa Assad
2. …………..
Vipi kuhusu Bashiru na Polepole hawamo kwenye ListPamoja na Kwamba CCM imechoka ikachokwa na kuchokekana Lakin wapo baadhi ya vijana na wazee wenye uwezo wa kuongoza japo ni wachache tutajie unao Ona wamebaki mi orodha yangu ni hii
1. Prof Mussa Assad
2. …………..