Hizi ndiyo Akili zilizokufa, hivi wale watafiti wa Twaweza Walisema JPM ameshuka kukubalika kwa asilimia ngapi! Na huyo mwenye Taasisi ya Twaweza ile passport yake mlishamrudishia?, hivi ni nani Binadamu mwenye akili timamu anayeweza kuupenda huu utawala?, anyways, tuseme Magufuli anakubalika, sawa. Lakini CCM ilishakufa. Ndiyo maana Hata Magufuli mwenyewe anatumia nguvu kubwa sana kuhakikisha haimfii mikononi mwake. Lakini ni wazi kabisa kuwa Hata Magufuli Anajua CCM ni Mzigo na Inamuharibia sifa yake Nzuri aliyokwisha jiwekea tangu Akiwa Waziri wa Ujenzi