Lee Van free
JF-Expert Member
- Aug 14, 2024
- 2,833
- 8,777
Kwa Nini CCM imefika mwisho.
Haitavuka 2030.
Ongezeko kubwa la wanawake kua wapigania haki wakubwa hapa Tanzania.
Ni kawaida wanaume kwa miaka mingi ulimwenguni ndio wamekua wapigania haki kwa jasho na damu.
Zama zimebadilika,wanawake wamejiunga kwa wingi katika harakati za kudai haki,kwa kupaza sauti zao.
Wapo waliokimbia nchi,wapo walio ndani ya nchi wapo majukwaani na wapo kwenye mitandao ya kijamii.
Idadi ni kubwa mno na inaongezeka siku Hadi siku.
Kwa miaka mingi wanawake walikua hawajihusishi na siasa za kuipinga CCM,lkn Sasa hivi ni kinyume chake.
Kwa miaka mingi, wanawake ndio walikua wanaiunga mkono CCM kwa wingi,lkn Sasa hivi hali imebadikika.
Ongezeko kubwa la Vijana waliotimiza umri wq kupiga kura.
Bahati mbaya Kwa CCM Hawa ndio wanaoichukia CCM na Hawa ndio kundi la wanaodai mambadiliko.
kimsingi hawana historia na hawavutiwi na CCM.
Hawa ndio wanaotaka mabadiliko kwa njia zozote zile.
Ukiwanyima haki zao kwa amani watazitafuta kwa nguvu.
Tumeona.
Bahati mbaya Kwa CCM Wazee wanaoipenda CCM wengi wamepungua.
Vuguvugu la kudai katiba mpya ni kubwa mno.
Vuguvugu la kudai Marekebisho ya mifumo ya uchaguzi ni kubwa mno.
Utekaji,utesaji,mauaji na ukandamizaji wapinzani umewakera watu wengi mno.p
Mauaji ya MO 29 yamewakera watu weng.
CCM haiwezi na Haina ujanja wa kukwepa kuleta katiba mpya na mabadiliko ya mifumo ya uchaguzi kama ambavyo wananchi wanavyodai.
Kwa sababu jumuiya za kimataifa zinashinikiza ili kuhakikisha Tanzania haimwagi damu Tena katika siku za usoni.
Hivi ninavyoandika CCM Iko kwenye kibano na maumivu makali mno,kutokana na kibano Cha ndani na nje kuitaka iweke mazingira sawa ya shughuli za kisiasa.
CCM imebanwa sana na jumuiya ya kimataifa na imepewa masharti lazima itekeleze.
Marekebisho haya yataiondolea CCM nguvu ya kuiba kura kwa kutumia Vyombo vya Dola,
Marekebisho haya yataiondolea CCM nguvu ya kuvitumia Vyombo vya Dola kuonea,kukandamiza na kuwabana wapinzani na watu wanaotaka haki za kisiasa na kijamii.
Ikumbukwe kwamba hata CCM yenyewe huko nyuma ilishiriki kuzibana nchi nyingine zilizokua zikikandamiza haki za watu wa nchi hizo.
Nina uhakika Uchaguzi ujao utakuja wakati tuna katiba mpya na tume huru ya uchaguzi,vitu ambavyo ni kitanzi kwa CCM.
Hakuna njia na namna yoyote ambayo CCM wataweza kuitumia kukikwepa kikombe hiki Cha kuruhusu katiba mpya na tume huru ya Uchaguzi.
Kama Kuna makosa CCM walifanya ni kuteka,kupiga na kuua waandamanaji.
Hali ilipofikia Sasa hivi,wakosoaji ndio walioshika mpini,na CCM ndio waloshika makali
Makosa haya ndio yanaenda kuikomesha CCM kua chama tawala.
Na ikitoka haitarudi Tena.