CCM imefika mwisho, ndani ya miaka minne itaondoka,ikiondoka hairudi Tena

Mm sio mwanasiasa wala siijui siasa ila mpaka sasa sijaona chama cha kushika dola zaidi ya CCM
Kama wewe siyo mwanasiasa na haujui siasa,sasa umetumia kigezo au ufahamu upi kujua CCM ndiyo chenye uwezo wa kushika dola kuliko wengine?Acha upumbavu wako na uongo usiotumia hata chembe ya akili njema.Haujawahi kuiona pilipili wala kuionja unawezaje kutusimulia na kutuhakikishia ladha yake?Acha upumbavu wako!
 
Mm sio mwanasiasa wala siijui siasa ila mpaka sasa sijaona chama cha kushika dola zaidi ya CCM
Yaani kwa kifupi wewe ni "mjinga" na mbumbumbu wa siasa .
Kwa hiyo huna uwezo wa kujadili masuala ya siasa.
Tupishe.

Sasa kama wewe ni lijinga utawazaje kujua chama chenye uwezo wa kushika Dola na kisicho na uwezo?
Na bahati nzuri umetuambia huoni chama zaidi ya CCM.

Kwa hiyo wewe ndio wale wachache wajinga ambao hua mnasubiri siku za uchaguzi kupewa tisheti na kofia kisha mnauza utu wenu.
Nchi hii tumefika hapa kwa sababu ya wajinga kama wewe.
Kukuita mjinga na mbumbumbu sijakutukana hizo ni sifa za watu wasiojua kitu.
Sasa wewe umesema hujui siasa.
Na mjinga siku zote hua Hana maamuzi mazuri.
 
Nimepokea matusi ila mpaka sasa hajanichuna ngozi wala kuninyima kula asante sanaa

Ongeza juhudi bado tena bado sanaaa ongeza juhudi
 
Nimepokea matusi ila mpaka sasa hajanichuna ngozi wala kuninyima kula asante sanaa

Ongeza juhudi bado tena bado sanaaa ongeza juhudi
Sijakutukana bana.
Ila nimeandika kutokana na wewe ulivyosema.
Nanukuu"
Umesema "Mimi sio mwanasiasa na wala hujui siasa"mwisho wa kunukuu.

Kwa kawaida kabisa mtu asiejua kitu huyo ni mjinga na mbumbumbu,akifundishwa anakua amejua na ujinga au u mbumbumbu unakua umemtoka.

Kwa mfano Mimi sijui Udaktari,maana yake ni mjinga na mbumbumbu wa Udaktari.

Au sijui kuendesha gari,maana yake Mimi ni mjinga wa masuala ya udereva.
Lakini siku nikifundishwa nitakuja mtaalam wa udereva na Udaktari na ujinga na umbumbumbu wa fani hizo utakua umeshanitoka.
Hivyo Kwa vile Mimi sijui Udaktari na udereva siwezi kua na haki ya kutibu watu wala kuendesha gari.
Hivyo ndivyo kwako wewe umesema hujui mambo ya siasa yaani wewe ni mjinga wa siasa.
Kwa Hali hiyo huwezi kua na maamuzi au ushauri mzuri ktk Siasa
Hapo nimekutukana wapi?
 
Yani CCM iondoke nchi wapewe CHADEMA?
Raisi atakuwa nani?
Lisu , Heche au Mbowe?
Hizi ni ndoto za mchana
 
Wataondoka babu zako, bibi zako, wewe, mkeo, watoto wako, wajukuu zako, vitukuu vyako, virembwe vyako, vining'ina vyako, lakini CCM itaendelea kusimama!
 
Ccm kuondoka madaraka sio rahisi labda kama kutakuwa na tume huru ya uchaguzi maana haiwezekani ukamteua mtu alafu akaakuangusha. Tume ya uchuguzi inabidi ijitegemee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…