CCM imegawanyika; CHADEMA wajifunze kutoka Zambia. Mbowe ampishe Tundu Lissu Uenyekiti

Chadema haina cha kujifunza kutoka Zambia. Zambia wana Tume huru ya uchaguzi ná polisi wao hawaingilii uchaguzi kufanya uhuni. Tukiwa na Tume huru ya uchaguzi na polisiccm wakikaa pembeni basi ccm hawana chao nchi hii.
CCM hua wanajifanya hawaoni hilo wakiwa wanajaribu ku justify ujinga wao.
 
Mbowe ampe mpuuzi kuongoza chadema! Unaumwa si bure
 
yaani mwenyekiti wa chama awe lisu ambaye anakula maisha ughaibuni?
hili litakuwa kosa jingine kwa upinzani. Bora hata huyu anaepambana akiwa nyumbani bila kujali anawekwa ndani ama la.
CCM mpeni uenyekiti Cyprian Musiba,katibu mkuu Ole Sabaya na Katibu mwenezi Steve Nyerere.
 
Kama chadema kipindi cha magufuli wangekuwa naye bega kwa bega na kumunga mkono na kuficha chuki zao kwake naamini 2025 wangepata viti vingi sana, maana kuna wengine wapo ccm lakini mama hawamuelewi wanati ata kiwe na chama kipya cha upinzani chenye ushawisi.
 
Ulitaka CHADEMA wafanye shughuli zao kwa hisani ya Magufuli na siyo kwa mujibu wa katiba ?

Wangemuunga mkono wewe ndiyo ungepinga sera mbovu za ccm ?
 
Acha umbeya, CCM ni taasisi, subiri uone inavyosiamamia nchi kikomavu...Ukiiacha China Communist Party, inafuatia CCM kwenye uimara wa taasisi kwenye uniqueness in democracy duniani.
 
Acha umbeya, CCM ni taasisi, subiri uone inavyosiamamia nchi kikomavu...Ukiiacha China Communist Party, inafuatia CCM kwenye uimara wa taasisi kwenye uniqueness in democracy duniani ...
Ukisema taasisi haina maana kuwa haiwezi kuondoka madarakani?

Pia ukisema kuwa CCM yaendeleza demokrasia ambayo ni "unique" ni pi hiyo?

Maana wachina pamoja na kuwa wakomunisti lakini China iko mbali za kwa kila kitu.
 
Chadema haina cha kujifunza kutoka Zambia. Zambia wana Tume huru ya uchaguzi ná polisi wao hawaingilii uchaguzi kufanya uhuni. Tukiwa na Tume huru ya uchaguzi na polisiccm wakikaa pembeni basi ccm hawana chao nchi hii.
Njia mojawapo na kuondoa hayo matatizo makubwa mawili ni kutumia stratejia nzuri, siasa, ushawishi na kuhakikisha bungeni wapo wabunge wengi wa upinzani.

Mmemsikia Chongolo akisema, " kwani wananchi wametoka barabarani kudai katiba mpya?"

Unless wapinzani wote ni "CCM light".
 
UPUUZI MTUPU! Siku ukitia akili kichwani utaelewa tu. Kwa hiyo kama Watanzania hawajatoka barabarani basi wameridhika na hii Serikali haramu ambayo imeshindwa kufanya lolote lile la maana ili kupandisha viwango vya maisha ya Watanzania.
 
They don't get it, do they?

CCM haina nia ya kukubali madai ya katiba mpya wanachofanya ni "delay tactics".

Na tukisema katiba mpya ni too extreme, twapaswa kusema tunahitaji kura ya maoni.

Zambia walifanya kura za maoni mara mbili mwaka 1969 na 2016 ili kufanya marekebisho kwenye katiba.

Lakini huwezi kusema wataka katiba mpya kabisa hilo ni ngumu.
 
Siyo Tanzania
 
2025 hawatoki

Acha umbeya, CCM ni taasisi, subiri uone inavyosiamamia nchi kikomavu...Ukiiacha China Communist Party, inafuatia CCM kwenye uimara wa taasisi kwenye uniqueness in democracy duniani ...
Unaweza kuta na wewe ni Mbunge; taasisi imara inayorudisha maendeleo ya nchi nyuma...ujinga ni kipaji.
 
Hakuna ugumu wowote ule kwani Tanzania ni Watanzania si ya genge la wahuni wa maccm. Tume ya Warioba Ilizunguka nchi nzima kukusanya maoni ya Watanzania kuhusu katiba tuitakayo.
Kikwete aliwajaza wajumbe wengi toka maccm kwa kudhani kwamba wataandika rasimu ambayo iko favourable kwa maccm. Wajumbe wa maccm wakaamua kuuweka uccm wao pembeni na kuvaa joho la uzalendo na kuandika rasimu nzuri.
Maccm yanajua fika kwamba Katiba mpya kupitia rasimu ya Warioba ni kaburi lao na ndiyo sababu wanajirusha huku na kule kuipinga Katiba hiyo kwa visingizio vya kipuuzi ambavyo havina mashiko.
 
UPUUZI MTUPU!!!
Acha umbeya, CCM ni taasisi, subiri uone inavyosiamamia nchi kikomavu...Ukiiacha China Communist Party, inafuatia CCM kwenye uimara wa taasisi kwenye uniqueness in democracy duniani ...
 
Unaweza kuta na wewe ni Mbunge; taasisi imara inayorudisha maendeleo ya nchi nyuma...ujinga ni kipaji.
Huwa napenda watu kama wewe wanokwenda direct.

Ndo tatizo la diplomasia watakiwa kuwa mtulivu sana ndo maana sikumjibu kwa mtindo wako.

Safi sana hio.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…