CCM imegawanyika; CHADEMA wajifunze kutoka Zambia. Mbowe ampishe Tundu Lissu Uenyekiti

Hakuna ugumu wowote ule kwani Tanzania ni Watanzania si ya genge la wahuni wa maccm. Tume ya Warioba Ilizunguka nchi nzima kukusanya maoni ya Watanzania kuhusu katiba tuitakayo.
Kikwete aliwajaza wajumbe wengi toka maccm kwa kudhani kwamba wataandika rasimu ambayo iko favourable kwa maccm. Wajumbe wa maccm wakaamua kuuweka uccm wao pembeni na kuvaa joho la uzalendo na kuandika rasimu nzuri.
Maccm yanajua fika kwamba Katiba mpya kupitia rasimu ya Warioba ni kaburi lao na ndiyo sababu wanajirusha huku na kule kuipinga Katiba hiyo kwa visingizio vya kipuuzi ambavyo havina mashiko.
BAK, what's immediate and long term the solution baada ya haya yote tunayojadili kwa upande wa upinzani?
 
Haihitaji PhD kujua CCM ilishapoteza chaguzi kuu kadhaa ila kwa katiba na mfumo huu uliopo mpinzani hatokuja kutangzwa mshindi. Hilo mtoa mada unalijua 100%
 
Mgombea wa upinzani nchini Zambia Hakainde Hichilema anaongoza katika matokeo ya kura za awali katika uchaguzi mkuu.

Hakainde alionyesha kuongoza siku ya jana huku chama chake cha UPND kikikusanya kura katika majimbo mengi nchini humo.

Raisi alieko madarakani Edgar Lungu mwenye umri wa miaka 64 tayari amelalamika kwamba uchaguzi huo hauko huru na wa haki.

Mgombea Hichilema amewaambia wazambia kuwa wapuuze kauli hizo za raisi Lungu na kwamba huu ndo wakati mwafaka kwa wazambia kuungana na kuimarisha umoja.

Lakini moja ya sababu kubwa ya kura nyingi kwenda kwa bwana Hichilema ni ukosefu wa ajira nchini humo miongoni mwa vijana ambao ndo nguvukazi ambayo serikali imeshindwa kuitumia katika kuijenga Zambia kiuchumi.

Kwa mujibu wa takwimu kutoka tume ya Uchaguzi ya Zambia vijana wengi walojiandikisha kupira kura wana umri wa miaka 34 kwenda chini.

Katika uchaguzi wa mwaka 2016 bwana Hichilema alishindwa na hata baadae kutumiwa vikosi vya usalama nyumbani kwake baada ya kutangaza kuwa matokeo ya uchaguzi ule yalichakachuliwa.

Safari hii wapiga kura wamejitokeza kwa wingi kupita maelezo na wote wameazimia kumpa kura bwana Hichilema mwenye umri wa miaka 59.

Hichilema anajielezea katika video zake Youtube kuwa ni mtoto wa maskini, na amekwenda shule bila viatu hadi kufikia chuo kikuu.

Kitaaluma bwana Hichilema ni mhasibu na alikuwa afisa mtendaji mkuu katika kapuni yake mwenyewe ya uhasibu kabla ya kufikria kuingia kwenye ulingo wa siasa.

Sera za bwana Hichilema ni kutaka kuimarisha uchumi wa nchi hiyo na kuimarisha soko la ajira ambalo limeathiri vijana wengi.

Matatizo yanayoikabili Zambia yanafanana kwa kiasi kikubwa na matatizo ya Tanzania, vitendo vya rushwa, ufisadi, matumizi mabaya ya fedha, maendeleo duni mijini, mazingira mabovu ya biashara na uwekezaji, deni la taifa na mengine lukuki.

CCM ndicho chama kinachoongoza serikali na mpaka sasa kila ishara iko wazi kuwa CCM imegawanyika katika makundi zaidi ya moja.

Miaka mitano imepita tumesikia kuwa CCM iligawanyika kati ya kundi linalojiita CCM asili na CCM mpya, na sasa tunasikia kauli tofautitofauti na zinazokinzana kutoka kwa wanachama waandamizi wa chama hicho.

Pia hata gazeti maarifu linalomilikiwa na chama hicho gazeti la UHURU nalo limetumika katika malumbano yanoendela ndani ya chama hicho na kwa kuandika vichwa vya habari kumhusu mwenyekiti wake na kuzusha fataki ndani ya chama hicho.

Kama si umakini wa wazee wa chama hichi kikongwe kuingilia kati na kumtuma katibu mkuu wake bwana Daniel Songoro kwenda kuzawazisha mambo, basi hali ingeendelea kuwa tete hadi leo hii.

Songoro bado hajajibu masuali makuu mawili kwanza, je CCM imegawanyika au la, na pili je CCM ina msimamo upi wa pamoja kama chama kuhusiana na chanjo ya UVUKO-19 kwa,mba ni lazima watanzania wachanjwe au chanjo hiyo ni hiari?

Mgawanyiko huu ndo ilikuwa nafasi ya pekee kwa chama kikuu cha upinzani cha Chadema kujitengenezea mazingira mazuri ya ushindi katika uchaguzi ujao wa 2025.

Badala yake si viongozi wake wakuu katibu mkuu, wala uenezi ambae amejitokeza kuonyesha angalau Chadema imeanza kujenga stratejia ya ushindi.

Chadema kinahitaji kujindaa kwelikweli na kama kweli chama hiki kina dhamira ya kweli ya kushika dola, basi kina wajibu wa kuachana na siasa za matukio na kujikita katika kujenga hoja zenye tija ili kujijengea imani kwa wapiga kura.

Suala la mwenyekiti wa Chadema Freeman Mbowe kuwa na kesi ya ugaidi inayoendelea mahakamani lisiwe sababu ya Chadema kama chama ambacho kina miaka 29 sasa kwenye ulingo wa siasa za vyama vingi kukosa mwelelekeo na kuonekana hakina mikakati.

Huu ndo ulikuwa wakati wa makamu mwenyekiti Tundu Lissu kuwa mastari wa mbele kukiongoza chama hicho na pengine kupewa nafasi ya uenyekiti wa chama hicho ili akiandane uzuri chama kwa uchaguzi ujao.

Ni maoni yangu binafsi kuwa Tundu Lissu kwa sasa amejifunza kuwa mwanasiasa badala ya mwanaharakati na kwa uwezo wake, ujasiri wake na kauli zake ambazo atakuwa sasa amefahamu namna ya kuzipanga uzuri, anafaa kabisa kuwa mwenyekiti wa Chadema.

Ni wakti sasa kwa Tundu Lissu kurudi nyumbani Tanzania na kuanza kazi ambayo nadhani bado hajaimaliza.

Vyombo vyote vya ulinzi na usalama havina budi sasa kujifunza kutoka Zambia na Malawio kuwa kuna wakati wananchi wanaamua kuwa chama kilichopo madarakani kimefikia tamati na wanataka chaama mbadala.

Serikali ina wajibu wa kuhakikisha maisha ya Tundu Lissu yanalindwa na wale wote wasio na nia njema kwake na anasimama kwa uhuru katika jukwaa la kisiasa.

Tundu Lissu akiwa mwenyekiti wa Chadema taifa atakipanga chama atakavyoona yeye inafaa, kuteua timu yake ambayo ina watu makini na kutengeneza sera na ilani mpya ya uchaguzi kwa ajili ya uchaguzi wa 2025.

Kama raisi wa Malawi Chikwera na mgombea wa sasa wa uraisi Zambia bwana Hakainde Hichilema waliweza, sioni tatizo Chadema washindwe uchaguzi wa 2025.

Mgombea wa chama cha upinzani akipata kura za kutosha na watu wakijitokeza kwa wingi kama walivyofanya Zambia kiasi cha tume ya Uchaguzi ya Zambia kutia akili kuwa Hichilema anashinda kwa kura za kutosha.
Yaan !!Umeandika gazeti lefu.Na unatabiri vitu visivyowezekana Tanzania. Chadema ingechukua nchi mwaka 2015 na sio sasa.Mwalimu alisema .Mpinzani wa CCM atatoka CCM.Na alikuwa Lowassa.Si Lissu anayeosha vyombo vya wazungu.Pole.
 
Unaweza kuta na wewe ni Mbunge; taasisi imara inayorudisha maendeleo ya nchi nyuma...ujinga ni kipaji.
Ungekuwa na akili ungekuwa wewe ndiyo umo humo kwenye hiyo taasisi...Kama humo uelewe walikushinda akili😂😂😂

Acha jazba inapunguz amiaka ya kuishi duniani
 
You don’t know the immediate and long term solution to get new constitution? You don’t need PhD to know this.

Halafu kwa kuongezea tu .Ni kwamba ,ukisikiliza maneno yenu ya kwenye key board utafikiri kesho ,CCM inatoka.Kumbe ni ngonjera tupu.Mlimusema sana Kikwete.Chama kinamfia.Oh!Oh!Mwisho akatoka salama.Sasa mnamusema mama.Mlifikiri mwepesi kama ,mawazo yenu yanavyowatuma.Mtasubiri sana.Chadema kushika dola,mpaka yenyewe iwe na demokrasi.
 
Tatizo kubwa hapa Tanzania ni katiba mbaya na wananchi waoga (wajinga).
 
Source ya upinzani Zambia ni kuvurugika kwa Chama tawala cha UNIP na kutokea UMD. Na source ya washindan wa sasa. Rais Rungu na HH ambaye anaongoza kwa Kura ni kuvurugika kwa UMD. Wote walikuwa Chama kimoja.

Hata TZ ni lazima CCM ivurugike utokee upinzani kutoka ndan ya CCM ndo watachukua nchi. Tofauti na apo, haiwezekan CCM kuondoka madarakani.
Haya yametokea Malawi na Kenya.

CCM wakiwa hivi wamoja, ni ngumu kuwashind. Haiwezekan. Waachen wavurugane, CCM isambaratike.

Bila CCM kusambaratika ni ngumu kuondoka madarakani. Lazima wapasuke. Wengine waende uku na wengine kule.
 
ccm chama pekee ambacho mwenyekiti wake alikuwa na cheti cha ukichaa milembe
 
Mgombea wa upinzani nchini Zambia Hakainde Hichilema anaongoza katika matokeo ya kura za awali katika uchaguzi mkuu.

Hakainde alionyesha kuongoza siku ya jana huku chama chake cha UPND kikikusanya kura katika majimbo mengi nchini humo.

Raisi alieko madarakani Edgar Lungu mwenye umri wa miaka 64 tayari amelalamika kwamba uchaguzi huo hauko huru na wa haki.

Mgombea Hichilema amewaambia wazambia kuwa wapuuze kauli hizo za raisi Lungu na kwamba huu ndo wakati mwafaka kwa wazambia kuungana na kuimarisha umoja.

Lakini moja ya sababu kubwa ya kura nyingi kwenda kwa bwana Hichilema ni ukosefu wa ajira nchini humo miongoni mwa vijana ambao ndo nguvukazi ambayo serikali imeshindwa kuitumia katika kuijenga Zambia kiuchumi.

Kwa mujibu wa takwimu kutoka tume ya Uchaguzi ya Zambia vijana wengi walojiandikisha kupira kura wana umri wa miaka 34 kwenda chini.

Katika uchaguzi wa mwaka 2016 bwana Hichilema alishindwa na hata baadae kutumiwa vikosi vya usalama nyumbani kwake baada ya kutangaza kuwa matokeo ya uchaguzi ule yalichakachuliwa.

Safari hii wapiga kura wamejitokeza kwa wingi kupita maelezo na wote wameazimia kumpa kura bwana Hichilema mwenye umri wa miaka 59.

Hichilema anajielezea katika video zake Youtube kuwa ni mtoto wa maskini, na amekwenda shule bila viatu hadi kufikia chuo kikuu.

Kitaaluma bwana Hichilema ni mhasibu na alikuwa afisa mtendaji mkuu katika kapuni yake mwenyewe ya uhasibu kabla ya kufikria kuingia kwenye ulingo wa siasa.

Sera za bwana Hichilema ni kutaka kuimarisha uchumi wa nchi hiyo na kuimarisha soko la ajira ambalo limeathiri vijana wengi.

Matatizo yanayoikabili Zambia yanafanana kwa kiasi kikubwa na matatizo ya Tanzania, vitendo vya rushwa, ufisadi, matumizi mabaya ya fedha, maendeleo duni mijini, mazingira mabovu ya biashara na uwekezaji, deni la taifa na mengine lukuki.

CCM ndicho chama kinachoongoza serikali na mpaka sasa kila ishara iko wazi kuwa CCM imegawanyika katika makundi zaidi ya moja.

Miaka mitano imepita tumesikia kuwa CCM iligawanyika kati ya kundi linalojiita CCM asili na CCM mpya, na sasa tunasikia kauli tofautitofauti na zinazokinzana kutoka kwa wanachama waandamizi wa chama hicho.

Pia hata gazeti maarifu linalomilikiwa na chama hicho gazeti la UHURU nalo limetumika katika malumbano yanoendela ndani ya chama hicho na kwa kuandika vichwa vya habari kumhusu mwenyekiti wake na kuzusha fataki ndani ya chama hicho.

Kama si umakini wa wazee wa chama hichi kikongwe kuingilia kati na kumtuma katibu mkuu wake bwana Daniel Songoro kwenda kuzawazisha mambo, basi hali ingeendelea kuwa tete hadi leo hii.

Songoro bado hajajibu masuali makuu mawili kwanza, je CCM imegawanyika au la, na pili je CCM ina msimamo upi wa pamoja kama chama kuhusiana na chanjo ya UVUKO-19 kwa,mba ni lazima watanzania wachanjwe au chanjo hiyo ni hiari?

Mgawanyiko huu ndo ilikuwa nafasi ya pekee kwa chama kikuu cha upinzani cha Chadema kujitengenezea mazingira mazuri ya ushindi katika uchaguzi ujao wa 2025.

Badala yake si viongozi wake wakuu katibu mkuu, wala uenezi ambae amejitokeza kuonyesha angalau Chadema imeanza kujenga stratejia ya ushindi.

Chadema kinahitaji kujindaa kwelikweli na kama kweli chama hiki kina dhamira ya kweli ya kushika dola, basi kina wajibu wa kuachana na siasa za matukio na kujikita katika kujenga hoja zenye tija ili kujijengea imani kwa wapiga kura.

Suala la mwenyekiti wa Chadema Freeman Mbowe kuwa na kesi ya ugaidi inayoendelea mahakamani lisiwe sababu ya Chadema kama chama ambacho kina miaka 29 sasa kwenye ulingo wa siasa za vyama vingi kukosa mwelelekeo na kuonekana hakina mikakati.

Huu ndo ulikuwa wakati wa makamu mwenyekiti Tundu Lissu kuwa mastari wa mbele kukiongoza chama hicho na pengine kupewa nafasi ya uenyekiti wa chama hicho ili akiandane uzuri chama kwa uchaguzi ujao.

Ni maoni yangu binafsi kuwa Tundu Lissu kwa sasa amejifunza kuwa mwanasiasa badala ya mwanaharakati na kwa uwezo wake, ujasiri wake na kauli zake ambazo atakuwa sasa amefahamu namna ya kuzipanga uzuri, anafaa kabisa kuwa mwenyekiti wa Chadema.

Ni wakti sasa kwa Tundu Lissu kurudi nyumbani Tanzania na kuanza kazi ambayo nadhani bado hajaimaliza.

Vyombo vyote vya ulinzi na usalama havina budi sasa kujifunza kutoka Zambia na Malawio kuwa kuna wakati wananchi wanaamua kuwa chama kilichopo madarakani kimefikia tamati na wanataka chaama mbadala.

Serikali ina wajibu wa kuhakikisha maisha ya Tundu Lissu yanalindwa na wale wote wasio na nia njema kwake na anasimama kwa uhuru katika jukwaa la kisiasa.

Tundu Lissu akiwa mwenyekiti wa Chadema taifa atakipanga chama atakavyoona yeye inafaa, kuteua timu yake ambayo ina watu makini na kutengeneza sera na ilani mpya ya uchaguzi kwa ajili ya uchaguzi wa 2025.

Kama raisi wa Malawi Chikwera na mgombea wa sasa wa uraisi Zambia bwana Hakainde Hichilema waliweza, sioni tatizo Chadema washindwe uchaguzi wa 2025.

Mgombea wa chama cha upinzani akipata kura za kutosha na watu wakijitokeza kwa wingi kama walivyofanya Zambia kiasi cha tume ya Uchaguzi ya Zambia kutia akili kuwa Hichilema anashinda kwa kura za kutosha.
Naunga mkono hoja kuna haja ya kubadili viongozi wengi was upinzani ili kuleta mabadiliko na kuleta sura mpya ya upinzani
 
Kama chadema kipindi cha magufuli wangekuwa naye bega kwa bega na kumunga mkono na kuficha chuki zao kwake naamini 2025 wangepata viti vingi sana, maana kuna wengine wapo ccm lakini mama hawamuelewi wanati ata kiwe na chama kipya cha upinzani chenye ushawisi.

😂😂!!

IMG_20210814_105149_528.jpg
 
Chadema kinahitaji kujindaa kwelikweli na kama kweli chama hiki kina dhamira ya kweli ya kushika dola, basi kina wajibu wa kuachana na siasa za matukio na kujikita katika kujenga hoja zenye tija ili kujijengea imani kwa wapiga kura.
1. Unaishi Tanzania gani wewe? Unaongelea CHADEMA kujenga imani kwa wapiga kura/wananchi? Kuna chama kingine ambacho ni tumaini la kuaminiwa na wananchi nje ya CHADEMA?

2. Katika siasa, matukio ya makosa ya chama kinachoongoza serikali/dola ndiyo mtaji mkuu na muhimu wa kisiasa wa chama/vyama pinzani kwa wananchi au wapiga kura. Kama ulikuwa hujui, katika siasa hakuna msamiati wa "acha siasa za matukio" kwa sababu makosa ya chama tawala ya kisheria, kisera na kimipango ndiyo hutengeneza matukio ambayo hutumiwa na vyama vinavyotaka kuwa - replace kwa kujijenga kwa wananchi kwa kuwaonesha mbadala...

Hiki ndicho wasichokitaka CCM kukiona na ndiyo chanzo cha migogoro tunayoishuhudia sasa kati ya wapinzani hususani CHADEMA na CCM kwa mgongo wa polisi, TISS na DPP...
Suala la mwenyekiti wa Chadema Freeman Mbowe kuwa na kesi ya ugaidi inayoendelea mahakamani lisiwe sababu ya Chadema kama chama ambacho kina miaka 29 sasa kwenye ulingo wa siasa za vyama vingi kukosa mwelelekeo na kuonekana hakina mikakati.

Wamekuambia hawana mikakati au wamekosa uelekeo kwa ya kesi ya mwenyekiti wao mahakamani? Hebu soma maelezo yangu ya ziada hapo juu....
Huu ndo ulikuwa wakati wa makamu mwenyekiti Tundu Lissu kuwa mastari wa mbele kukiongoza chama hicho na pengine kupewa nafasi ya uenyekiti wa chama hicho ili akiandane uzuri chama kwa uchaguzi ujao.
Mnadhani mnaweza kuvuruga chama hiki kwa kumbambikia kesi M/kiti ili mje na hoja hii? Hata hivyo, ktk wakati huu m/kiti Freeman Mbowe akiwa mahabusu, chama bado kipo kwenye mikono salama ya Makamu M/kiti (Tanganyika) Tundu Lissu na yule wa Zanzibar. Kuna kilichoharibika hapo?
Ni maoni yangu binafsi kuwa Tundu Lissu kwa sasa amejifunza kuwa mwanasiasa badala ya mwanaharakati na kwa uwezo wake, ujasiri wake na kauli zake ambazo atakuwa sasa amefahamu namna ya kuzipanga uzuri, anafaa kabisa kuwa mwenyekiti wa Chadema.

Come on, this shit can't work..!!

Unajaribu kuchochea mgogoro, right?

In case you didn't know. Ni kwamba, chama kina M/kiti Freeman Mbowe na Tundu Lissu ni Vice Chairperson...!
Ni wakti sasa kwa Tundu Lissu kurudi nyumbani Tanzania na kuanza kazi ambayo nadhani bado hajaimaliza.

Kwa sharti moja tu. Wasiojulikana wajulikane. Thank God kwamba, mmoja Ole Lengai Sabaya amejulikana + mwendazake John P. Magufuli
Vyombo vyote vya ulinzi na usalama havina budi sasa kujifunza kutoka Zambia na Malawio kuwa kuna wakati wananchi wanaamua kuwa chama kilichopo madarakani kimefikia tamati na wanataka chaama mbadala.

Hapa umetumia akili vizuri kuandika. That's correct. Vyomba vya ulinzi na usalama i.e polisi, TISS, DPP na JWTZ waache kujiguza chama cha siasa kuisaidia CCM...!!
Serikali ina wajibu wa kuhakikisha maisha ya Tundu Lissu yanalindwa na wale wote wasio na nia njema kwake na anasimama kwa uhuru katika jukwaa la kisiasa.

That's correct too. Umenena vyema...!
Tundu Lissu akiwa mwenyekiti wa Chadema taifa atakipanga chama atakavyoona yeye inafaa, kuteua timu yake ambayo ina watu makini na kutengeneza sera na ilani mpya ya uchaguzi kwa ajili ya uchaguzi wa 2025.
Not now. Chama kina M/kiti anaitwa Freeman Aikael Mbowe. Hizi assumptions zako kaa nazo mpaka next party election...
Kama raisi wa Malawi Chikwera na mgombea wa sasa wa uraisi Zambia bwana Hakainde Hichilema waliweza, sioni tatizo Chadema washindwe uchaguzi wa 2025.

Ndiyo maana tunapigania Katiba mpya ya wananchi ambayo itatuhakikishia Tume Huru ya Uchaguzi. Tukijenga mazingira huru ya namna hii, ndipo utakapoona kwa ukamilifu wake jinsi wananchi/wapiga kura walivyo na imani na CHADEMA. !!!
Mgombea wa chama cha upinzani akipata kura za kutosha na watu wakijitokeza kwa wingi kama walivyofanya Zambia kiasi cha tume ya Uchaguzi ya Zambia kutia akili kuwa Hichilema anashinda kwa kura za kutosha.
Mara zote hapa Tanzania kuanzia 2005, 2010, 2015 na mwaka jana 2020 wananchi walijitokeza kwa wingi sana tu na kuipa ushindi CHADEMA lakini CCM wakapora kwa nguvu. Moja ya adhabu ya dhambi hii kubwa kabisa ya CCM ni kifo cha aliyeongoza uporaji huu mwendazake John P. Magufuli...!!
 
Ungekuwa na akili ungekuwa wewe ndiyo umo humo kwenye hiyo taasisi...Kama humo uelewe walikushinda akili😂😂😂

Acha jazba inapunguz amiaka ya kuishi duniani
Unadhani ukipindisha uhalisia wa mambo ndiyo utabaki salama na kuishi miaka mingi; mnakera sana kwa kupindisha mambo.
 
Mgombea wa upinzani nchini Zambia Hakainde Hichilema anaongoza katika matokeo ya kura za awali katika uchaguzi mkuu.

Hakainde alionyesha kuongoza siku ya jana huku chama chake cha UPND kikikusanya kura katika majimbo mengi nchini humo.

Raisi alieko madarakani Edgar Lungu mwenye umri wa miaka 64 tayari amelalamika kwamba uchaguzi huo hauko huru na wa haki.

Mgombea Hichilema amewaambia wazambia kuwa wapuuze kauli hizo za raisi Lungu na kwamba huu ndo wakati mwafaka kwa wazambia kuungana na kuimarisha umoja.

Lakini moja ya sababu kubwa ya kura nyingi kwenda kwa bwana Hichilema ni ukosefu wa ajira nchini humo miongoni mwa vijana ambao ndo nguvukazi ambayo serikali imeshindwa kuitumia katika kuijenga Zambia kiuchumi.

Kwa mujibu wa takwimu kutoka tume ya Uchaguzi ya Zambia vijana wengi walojiandikisha kupira kura wana umri wa miaka 34 kwenda chini.

Katika uchaguzi wa mwaka 2016 bwana Hichilema alishindwa na hata baadae kutumiwa vikosi vya usalama nyumbani kwake baada ya kutangaza kuwa matokeo ya uchaguzi ule yalichakachuliwa.

Safari hii wapiga kura wamejitokeza kwa wingi kupita maelezo na wote wameazimia kumpa kura bwana Hichilema mwenye umri wa miaka 59.

Hichilema anajielezea katika video zake Youtube kuwa ni mtoto wa maskini, na amekwenda shule bila viatu hadi kufikia chuo kikuu.

Kitaaluma bwana Hichilema ni mhasibu na alikuwa afisa mtendaji mkuu katika kampuni yake mwenyewe ya uhasibu kabla ya kufikria kuingia kwenye ulingo wa siasa.

Sera za bwana Hichilema ni kutaka kuimarisha uchumi wa nchi hiyo na kuimarisha soko la ajira ambalo limeathiri vijana wengi.

Matatizo yanayoikabili Zambia yanafanana kwa kiasi kikubwa na matatizo ya Tanzania, vitendo vya rushwa, ufisadi, matumizi mabaya ya fedha, maendeleo duni mijini, mazingira mabovu ya biashara na uwekezaji, deni la taifa na mengine lukuki.

CCM ndicho chama kinachoongoza serikali na mpaka sasa kila ishara iko wazi kuwa CCM imegawanyika katika makundi zaidi ya moja.

Miaka mitano imepita tumesikia kuwa CCM iligawanyika kati ya kundi linalojiita CCM asili na CCM mpya, na sasa tunasikia kauli tofautitofauti na zinazokinzana kutoka kwa wanachama waandamizi wa chama hicho.

Pia hata gazeti maarufu linalomilikiwa na chama hicho gazeti la UHURU nalo limetumika katika malumbano yanoendela ndani ya chama hicho na kwa kuandika vichwa vya habari kumhusu mwenyekiti wake na kuzusha fataki ndani ya chama hicho.

Kama si umakini wa wazee wa chama hichi kikongwe kuingilia kati na kumtuma katibu mkuu wake bwana Daniel Songoro kwenda kuzawazisha mambo, basi hali ingeendelea kuwa tete hadi leo hii.

Songoro bado hajajibu masuali makuu mawili kwanza, je CCM imegawanyika au la, na pili je CCM ina msimamo upi wa pamoja kama chama kuhusiana na chanjo ya UVUKO-19 kwa,mba ni lazima watanzania wachanjwe au chanjo hiyo ni hiari?

Mgawanyiko huu ndo ilikuwa nafasi ya pekee kwa chama kikuu cha upinzani cha Chadema kujitengenezea mazingira mazuri ya ushindi katika uchaguzi ujao wa 2025.

Badala yake si viongozi wake wakuu katibu mkuu, wala uenezi ambae amejitokeza kuonyesha angalau Chadema imeanza kujenga stratejia ya ushindi.

Chadema kinahitaji kujindaa kwelikweli na kama kweli chama hiki kina dhamira ya kweli ya kushika dola, basi kina wajibu wa kuachana na siasa za matukio na kujikita katika kujenga hoja zenye tija ili kujijengea imani kwa wapiga kura.

Suala la mwenyekiti wa Chadema Freeman Mbowe kuwa na kesi ya ugaidi inayoendelea mahakamani lisiwe sababu ya Chadema kama chama ambacho kina miaka 29 sasa kwenye ulingo wa siasa za vyama vingi kukosa mwelelekeo na kuonekana hakina mikakati.

Huu ndo ulikuwa wakati wa makamu mwenyekiti Tundu Lissu kuwa mastari wa mbele kukiongoza chama hicho na pengine kupewa nafasi ya uenyekiti wa chama hicho ili akiandane uzuri chama kwa uchaguzi ujao.

Ni maoni yangu binafsi kuwa Tundu Lissu kwa sasa amejifunza kuwa mwanasiasa badala ya mwanaharakati na kwa uwezo wake, ujasiri wake na kauli zake ambazo atakuwa sasa amefahamu namna ya kuzipanga uzuri, anafaa kabisa kuwa mwenyekiti wa Chadema.

Ni wakti sasa kwa Tundu Lissu kurudi nyumbani Tanzania na kuanza kazi ambayo nadhani bado hajaimaliza.

Vyombo vyote vya ulinzi na usalama havina budi sasa kujifunza kutoka Zambia na Malawi kuwa kuna wakati wananchi wanaamua kuwa chama kilichopo madarakani kimefikia tamati na wanataka chama mbadala.

Serikali ina wajibu wa kuhakikisha maisha ya Tundu Lissu yanalindwa na wale wote wasio na nia njema kwake na anasimama kwa uhuru katika jukwaa la kisiasa.

Tundu Lissu akiwa mwenyekiti wa Chadema taifa atakipanga chama atakavyoona yeye inafaa, kuteua timu yake ambayo ina watu makini na kutengeneza sera na ilani mpya ya uchaguzi kwa ajili ya uchaguzi wa 2025.

Kama raisi wa Malawi Chikwera na mgombea wa sasa wa uraisi Zambia bwana Hakainde Hichilema waliweza, sioni tatizo Chadema washindwe uchaguzi wa 2025.

Mgombea wa chama cha upinzani akipata kura za kutosha na watu wakijitokeza kwa wingi kama walivyofanya Zambia kiasi cha tume ya Uchaguzi ya Zambia kutia akili kuwa Hichilema anashinda kwa kura za kutosha.
Ya Zambia siyo ya Tanzania. Chadema haiwezi hata siku moja kuaminiwa na watanzania. Sababu unazijua vizuri mkuu
 
Polisi wanatukosea ßana
CCM sio chama cha siasa, CCM ni chama dola, kinawategemea polisi na Tume ya uchaguzi kushinda, huko Zambia kwao hali ni tofauti, wana tume huru inayowawezesha wagombea kushindana kihalali, habari ya kumuondoa Mbowe na kumuweka Lissu haitakuwa na maana yoyote kama CCM itaendelea kulindwa na vyombo vya dola ili ibakie madarakani.
 
yaani mwenyekiti wa chama awe lisu ambaye anakula maisha ughaibuni?
hili litakuwa kosa jingine kwa upinzani. Bora hata huyu anaepambana akiwa nyumbani bila kujali anawekwa ndani ama la.
Wakati mlitangaza hadharani kuwa safari hii mtamuua kwa sindano tu.
 
Mbowe hawezi kumwachia yeyote Uenyekiti labda mwanae James Mbowe

Hii inaicost CHADEMA
 
Back
Top Bottom