CCM imegawanyika; CHADEMA wajifunze kutoka Zambia. Mbowe ampishe Tundu Lissu Uenyekiti

CCM mpeni uenyekiti Cyprian Musiba,katibu mkuu Ole Sabaya na Katibu mwenezi Steve Nyerere.
Chama kinanamna nzuri ya kuwapata viongozi wake. Ninyi mnasubiri walionuna baada ya kukosa nafasi huku ndo wawe viongozi wenu.
 
CHADEMA BADO SAN KUSHIKANCHI WANAFANYA SIASA ZENYE UTOTO MWINGI ,MAMBO YA UBINAFSI YAMEWAJAA , KILA SIKU WANALALAMIKA TUME HURU ,KATIBA MPYA ....WASIPOJIFUNZANI HERI CCM IKABAKI KULIKO KUKABIDHI NCHI KWA CHADEMA

sent from HUAWEI
 
Ukiona Rais aliye madarakani analalamika kwamba Uchaguzi haukua huru na haki,basi ujue hakupata fursa ya kuhujumu Uchaguzi;hasa kwa kuiba kura kama ilivyo kwa tawala nyingi barani Afrika.
 
Chama kinanamna nzuri ya kuwapata viongozi wake. Ninyi mnasubiri walionuna baada ya kukosa nafasi huku ndo wawe viongozi wenu.
Ndio maana mpk mnapata mwenezi mchele mchele.
 
Ampishe Lisu Diaspora?

Chadema tafuteni yeyote aliye ndani ya Nchi sio Hawa akina Lisu na Lema wakiona kimeinuka mbio nje wanasubiri walio ndani wawatengenezee mazingira wait waje kugombea na kula Bata .

Museveni, kagame ,Mandela , Kabila wote walirudi nchini kwao kupambana kuwa part ya society sio Hawa Wala Bata Canada na ubelgiji halafu wanawaza ohh tupeni Sisi Diaspora mmmmmmm

To hell with Lisu
 
Suala la aidha CCM imegawanyika au LA ni suala la mtazamo wa mtu mmoja mmoja akiongozwa zaidi na upenzi, unazi na hata ushabiki na wakati mwingine chuki tu kwa CCM bila sababu yoyote ya msingi! Hata hivyo, suala la kugawanyika ndani ya chama chohote cha siasa si jambo la kumshangaza mtu au kuleta taharuki ndani ya chama husika au jamii au nchi; haya ni ya kawaida sana as long as kuna watu ndani ya hicho chama, kwani siyo rahisi watu wenye akili zao timamu kukubaliana on any thing kwa asilimia mia moja all the time.

Kupishana, kubishana, kusigana juu ya hoja mbalimbali ndani ya chama husika ni jambo la kawaida. Mambo yakifikia hapo, SIYO KWAMBA HUO NI MGAWANYIKO AU MPASUKO ndani ya hicho chama, HAPANA! Hali kama hiyo mara nyingine ni tiba ya mambo ndani ya chama na hivyo kuleta na kupata muafaka na kusonga mbele as one strong team.
 
Acha umbeya, CCM ni taasisi, subiri uone inavyosiamamia nchi kikomavu...Ukiiacha China Communist Party, inafuatia CCM kwenye uimara wa taasisi kwenye uniqueness in democracy duniani.
UONGO mkubwa, ccm hawana chochote zaidi ya ujanja ujanja wa kutumia vyombo vya usalama na tume baasi
 
Mkuu hivi Zambia waliandika katiba lini?
 
Tundu Lissu anayo nafasi yote wakati wote! Anayo hata mandate yote ya kukiongoza chama siyo mpaka itangazwe kuwa amepishwa uenyekiti ambalo ndio kilio cha taasisi zote za chama cha mboga mboga!
 
Well said
 
Mkuu hivi Zambia waliandika katiba lini?
Waliifanyia mabadiliko (siyo kuifanya mpya) katiba yao mwaka 2016 na raisi Lungu akaipitisha kisha bunge likaidhinisha.
 
Mbowe ataondoka tu kama wanachama wataridhia na si vinginevyo.

Chama kinamuhitaji kuliko yeye anavyokihitaji .
 
Napendekeza kwa CCM Rais Samiya ampishe uenyekiti wa CCM Gwajima. Hii imekaa powa kabisa.
 
Hoja yako inataka kuonyesha kwamba una nia njema, lakini ukweli unaujua kwamba tatizo ni TUME HURU YA UCHAGUZI. Tume huru ya uchaguzi inahitajika ambayo muundo au kuundwa kwake lazima kusemwe kwenye KATIBA MPYA. Katiba tuliyonayo inakubaliana wajumbe wa tume ya uchaguzi wateuliwe na Rais aliyeko madarakani, yaani mwenyekiti wa chama tawala. Katiba mpya itakayounda muundo tofauti wa tume ya uchaguzi (TUME HURU YA UCHAGUZI, wajumbe wake wasiteuliwe na Rais) ndiyo muarobaini wa hili gonjwa la uchaguzi Tanzania.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…