CCM imejipangaje kupambana na Mabadiliko ya Tabia nchi??

CCM imejipangaje kupambana na Mabadiliko ya Tabia nchi??

Allen Kilewella

JF-Expert Member
Joined
Sep 30, 2011
Posts
21,470
Reaction score
40,593
Ukifuatilia kwa makini mabadiliko ya Tabia nchi yamepiga hodi nchini mwetu. Lakini naona kama chama kilichoko madarakani hakina mkakati mahsusi wa kupambana na matokeo ya mabadiliko ya Tabia nchi kwa jamii ya Watanzania.

CCM ina mkakati gani wa kupambana na mabadiliko ya Tabia nchi na matokeo yake!!??
 
Back
Top Bottom