Pre GE2025 CCM imekata kauli na pumzi, inasubiri maamuzi ya wananchi tu

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

kavulata

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2012
Posts
13,778
Reaction score
14,214
Haiwezekani watanzania wooote wasijue kuwa CCM inafanya hila kwenye uchaguzi. CCM wanajua kuwa zama hizi sio zama za vya vyama vya ukombozi kutawala ila wasubiri ukakamavu wa watanzania na ukomavu wa vyama vingine vya siasa kuamua wafanye nini.
 
watanzania ndo mafala sio ccm
mbinu za siri zimewaishia zimebaki mbinu bayana za kupata matokeo. Nape na mwezake walishukiwa na roho mtakatifu wakaungama na kuwaambia wananchi ukweli. Bahati mbaya sana tuna vyama vya siasa vya hovyohovyo tu kuweza kuongoza nchi. Tuna viongozi wenye mihemko na waganga njaa wasiojua kujenga hoja imara mbadala za kulikwamua taifa.

Ona huyu, eti amepata ajenda na content hapa badala ya kuwaambia chadema itawafanyia nini tofauti na hiki.

View: https://www.youtube.com/watch?v=on2juK4x9UY
 
Haiwezekani watanzania wooote wasijue kuwa CCM inafanya hila kwenye uchaguzi. CCM wanajua kuwa zama hizi sio zama za vya vyama vya ukombozi kutawala ila wasubiri ukakamavu wa watanzania na ukomavu wa vyama vingine vya siasa kuamua wafanye nini.
Kwa hii 0.79% sijui kama mnaweza kufanya chochote.
 
Hata Frelimo kule Msumbiji walikuwa wakidhani hivyo, lakini wananchi wanazo deadlines (maisha magumu, ukosefu wa nafasi and ardhi za wazi kwao, bei kubwa, kodi kubwa) zao. Iko siku watavuka mstari wao mwekundu. Siku iyo ikifika wananchi wapiga kurujuani ya miaka 60 nyuma.
 
Haiwezekani watanzania wooote wasijue kuwa CCM inafanya hila kwenye uchaguzi. CCM wanajua kuwa zama hizi sio zama za vya vyama vya ukombozi kutawala ila wasubiri ukakamavu wa watanzania na ukomavu wa vyama vingine vya siasa kuamua wafanye nini.
Kama ni kansa imefika kwenye mifupa na imekula mpaka sifongo( bone marrow )
 
Vyovyote iwavyo, ccm inaenda kufa. Wakiuwa upinzani joto ndani ya ccm litakipasua chama cha Mapinduzi na hatimaye kupotea kabisa. Na wakiruhusu demokrasia ccm itapotea kwenye sanduku la kura
 
Hakuna chama hapo,kilishajifia siku nyingi. Chama hakina ushawishi wa kawaida,chama kina jificha kwenye vyombo vya ulinzi na usalama,chama kinabebwa na ma DC na ma RC,chama kinabebwa na ma ded.
Chama kinaogopa ukosoaji; hamna chama Cha siasa hapo
 
Haiwezekani watanzania wooote wasijue kuwa CCM inafanya hila kwenye uchaguzi. CCM wanajua kuwa zama hizi sio zama za vya vyama vya ukombozi kutawala ila wasubiri ukakamavu wa watanzania na ukomavu wa vyama vingine vya siasa kuamua wafanye nini.
Wananchi wapi hawa hawa Maiti kwa mujibu wa Jomo Kenyata? Au unasungumzia wananchi wapiM Wa Kenya?
 
Vyovyote iwavyo, ccm inaenda kufa. Wakiuwa upinzani joto ndani ya ccm litakipasua chama cha Mapinduzi na hatimaye kupotea kabisa. Na wakiruhusu demokrasia ccm itapotea kwenye sanduku la kura
Hizi ni Drama zilianza kitambo sana.
 
Ogopa chama kinachoshinda kwa 99%!
Sio aibu tu wamekosa, wamekosa kuungwa mkono, wanahaha na kufanya maamuzi ya kibabe!
Kinachoenda kutokea 2025 kita trigger smthn na itakuwa na a different effect!
Hizi ndio zama za mwisho mwisho kuelekea kwenye uobgozi wa aina nyingine tofauti na CCM.
 
Haiwezekani watanzania wooote wasijue kuwa CCM inafanya hila kwenye uchaguzi. CCM wanajua kuwa zama hizi sio zama za vya vyama vya ukombozi kutawala ila wasubiri ukakamavu wa watanzania na ukomavu wa vyama vingine vya siasa kuamua wafanye nini.
Hawa viongozi wote wa CCM kuanzia mwaka 1995 vyama vingi viliporudi, wataingia kwenye kapu la historia chafu ya nchi hii. Ila Magufuli na Samia wametia fora kwenye chaguzi chafu na za kishenzi.
 
Vyovyote iwavyo, ccm inaenda kufa. Wakiuwa upinzani joto ndani ya ccm litakipasua chama cha Mapinduzi na hatimaye kupotea kabisa. Na wakiruhusu demokrasia ccm itapotea kwenye sanduku la kura
Huenda uko sahihi, maana Mwl. Nyerere alisema atakaeiua CCM atatoka CCM humohumo. CCM ina kindonda cha ndani kwa ndani kwenye damu na bone marrow ila hawataki kuweka hadharani. Chimbuko la Huu wizi wa kura wa bayana ni wanaCCM kukataa kupiga kura za Oya oya na ienaiena tena.
 
  • Thanks
Reactions: G4N
Kiufupi CCM itajiua yenyewe. Haitauawa na wananchi wala wapinzani.. Keki ya taifa inaendelea kuwa ndogo na ma-ccm wanaoitaka wako wengi.. watajimaliza.cha msingi SUBIRA
 
CCM haitegemea kura za wanchi kuwa madarakani.
Idadi ya watu wanaolijua hili inazidi kuongezeka kila siku. Tunafahamu pia the motive (driving force) ya kufanya hivyo ni kupata fursa ya kujinufaisha wao na vizazi wao visivyo halali. Bahati nzuri watanzania wanafahamu mali walizonazo zisizolingana na mishahara na posho kwa mujibu wa nafasi zao. Iko siku iko siku iko siku watanzania watazirejesha kutoka kwao au hata wajukuu wao watakaokutwa nazo.
 
Back
Top Bottom