CCM imemlipia faini ya Tsh. Milioni 30 mwanachama wake Dkt. Vincent Mashinji. Atoka gerezani

CCM imemlipia faini ya Tsh. Milioni 30 mwanachama wake Dkt. Vincent Mashinji. Atoka gerezani

Huko bado kiini macho, a.k.a utakatishaji unaendelea. Haiingii akilini wabunge wote haokukosa hizo fedha. Nyumbu wa ufipa wanaendelea kutumika tu bila kujijua. Hata hivyo hiyo faini mabeberu watailipa. Hapa tunadanganywa tu kuwa wananchi wanachanga.
Unateseka sana, maumivu yakizidi kapate ushauri wa daktari!
 
Huko bado kiini macho, a.k.a utakatishaji unaendelea. Haiingii akilini wabunge wote haokukosa hizo fedha. Nyumbu wa ufipa wanaendelea kutumika tu bila kujijua. Hata hivyo hiyo faini mabeberu watailipa. Hapa tunadanganywa tu kuwa wananchi wanachanga.
Vipi kwa Mashinji mahesabu alitosha kusawazisha beberu 1 au na ka mbuzi
 
Hii inaitwa "ngoma droo".
Pole sana Mkuu. Watz walishapewa jumla kuu ya Tshs Mln 350. Walichanga bila kumbagua mtu na hakuna Kiongozi yeyote wa Chadema aliyejitokeza kifanya marekebisho ya jumla kuu.

Tungemlipia kisha aje huko kwenu kuendelea kuunga juhudi. Lkn nakuhakikishia hakuna mtu aliyepatwa na aibu kama yule Muunga juhudi. Hivi unafahamu alichozungumza kule Segerea jana jioni?? Hata ww ungemhurumia.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Roho inakuuma sana, vipi umechangia kiasi gani?
Huko bado kiini macho, a.k.a utakatishaji unaendelea. Haiingii akilini wabunge wote haokukosa hizo fedha. Nyumbu wa ufipa wanaendelea kutumika tu bila kujijua. Hata hivyo hiyo faini mabeberu watailipa. Hapa tunadanganywa tu kuwa wananchi wanachanga.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pole sana Mkuu. Watz walishapewa jumla kuu ya Tshs Mln 350. Walichanga bila kumbagua mtu na hakuna Kiongozi yeyote wa Chadema aliyejitokeza kifanya marekebisho ya jumla kuu. Tungemlipia kisha aje huko kwenu kuendelea kuunga juhudi. Lkn nakuhakikishia hakuna mtu aliyepatwa na aibu kama yule Muunga juhudi. Hivi unafahamu alichozungumza kule Segerea jana jioni?? Hata ww ungemhurumia.

Sent using Jamii Forums mobile app
Wakukurupuka. Hivi huyu Mr Slow hajui kwamba mahakama hawapokei hela cash? Au nae ni kujaribu kuwadanganya Watanzania kwamba Ccm ina pendwa. Hivi ni mtu gani wa hali ya chini atakae mchangia Mashinji? Ni kitu gani amewafanyia Ccm hadi wana Ccm wawe na huruma kumtoa jela?

Kila kitu Ccm mnabaka hata visivyo bakwa. Kuanzia uchaguzi hata kutoa hela za chama kutudanganya ati ni wana Ccm wamechanga?

Ni nani asiye jua hata hii hukumu ina mkono wa Ccm? Ni nani asie jua kwamba hii kesi ni ya kubambikizwa? Ila Ccm kesheni mkiomba ili siku mbingu zitakapo funguliwa muone Watanzania wakisherehekea ushindi..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Haya majitu yamekaa ki-wasiojulikana julikana tuuu hata michango yao imetoka kusikojulikana na imetolewa na wasiojulikana

Kamanda mbona una wivu ulitaka mwana chama wetu aozee jela? Mbona hamkumjumuisha kwenye michango?
 
CCM OYEE
CCM JUU JUU ZAIDI
TUMETOKA KUMLIPIA DK.MASHINJI
NA SASA TUNAFATA UTARATIBU WAKUMTOA PALE SEGERREA

CC
Screenshot_20200311-140450.png
M OYEE
 
Pole sana Mkuu. Watz walishapewa jumla kuu ya Tshs Mln 350. Walichanga bila kumbagua mtu na hakuna Kiongozi yeyote wa Chadema aliyejitokeza kifanya marekebisho ya jumla kuu.

Tungemlipia kisha aje huko kwenu kuendelea kuunga juhudi. Lkn nakuhakikishia hakuna mtu aliyepatwa na aibu kama yule Muunga juhudi. Hivi unafahamu alichozungumza kule Segerea jana jioni?? Hata ww ungemhurumia.

Sent using Jamii Forums mobile app
Ndio useme sasa
 
Back
Top Bottom