CCM imemlipia faini ya Tsh. Milioni 30 mwanachama wake Dkt. Vincent Mashinji. Atoka gerezani

CCM imemlipia faini ya Tsh. Milioni 30 mwanachama wake Dkt. Vincent Mashinji. Atoka gerezani

Naona ndio bei ya manunuzi.Kwamba badala ya kukununua na kukupa 30m, tutalipa hukumu yako uliopaswa kulipia
 
ni sisi Watanzania ndiyo tuliowaomba Chadema wasilipe faini kutoka kwenye akiba yao.... tusingewazuia hata jana wangeweza kutoa.

CCM hawana hela wamechota pesa yetu kutoka hazina pale kwa mpwa wa mwenyekiti!
Sio Watanzania wewe!
 
Askofu Bagonza anasema, kama unajiona una haki ya kumpiga mtu, basi na huyo mtu ana haki ya kulia.. Sasa ni jambo la ajabu na kufikirisha sana pale unapotaka hata kuingilia haki yake ya kulia..

Hakuna alieshikiwa kisu wala bunduki.. Acheni tu-exercise haki yetu ya kulia..
 
Hivi kweli chadema haina pesa mpaka watu.wachangishwe? Hii ni dhurma nyingine.wanachama.wanafanyiwa na watu wenye unafuu wa maisha.
You didnt focus on the consequence kwa mlichokitolea maamuzi, You thought Low jambo lililosababisha CMD kutumia a such opportunity kujiimarisha mara 1000 zaidi!


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom