CCM imemlipia faini ya Tsh. Milioni 30 mwanachama wake Dkt. Vincent Mashinji. Atoka gerezani

CCM imemlipia faini ya Tsh. Milioni 30 mwanachama wake Dkt. Vincent Mashinji. Atoka gerezani

Viongozi wa chadema hawajamla kweli huko sero?
 
Hivi kweli chadema haina pesa mpaka watu.wachangishwe.?,hii ni dhurma nyingine.wanachama.wanafanyiwa na watu wenye unafuu wa maisha.
Ni sisi Watanzania ndiyo tuliowaomba Chadema wasilipe faini kutoka kwenye akiba yao tusingewazuia hata jana wangeweza kutoa.

CCM hawana hela wamechota pesa yetu kutoka hazina pale kwa mpwa wa mwenyekiti!
 
Account ya chama haina kitu muwe wakweli
ni sisi Watanzania ndiyo tuliowaomba Chadema wasilipe faini kutoka kwenye akiba yao.... tusingewazuia hata jana wangeweza kutoa.

CCM hawana hela wamechota pesa yetu kutoka hazina pale kwa mpwa wa mwenyekiti!
 
.
kutembea na burungutu mkononi badala ya kufanya online transfer ni ushamba ulio kubuhu!
IMG-20200311-WA0109.jpeg

Jr[emoji769]
 
Back
Top Bottom