digba sowey
JF-Expert Member
- Mar 1, 2017
- 10,508
- 23,368
Wakuu nimeshangaa sana mamlaka ya NIDA kukanusha kuwa CCM Haina access na taarifa zetu za NIDA,huu ni uhuni na uongo wa Hali ya juu,au kwakuwa watanganyika wengi hatufatilii mambo!?
Ni ukweli usiopingika kuwa CCM wamepewa access ya taarifa zetu muhimu na NIDA ili kufanya chochote wakitakacho juu ya taarifa zetu,ukitaka kuamini haya niyasemayo chukua vitambulisho vya CCM villivyotoka hivi karibuni ambavyo vina barcode (Msimbo milia) uangalie picha yake ya NIDA na sahihi iliyowekwa wakati wa usajili ndo ile ile iliyopo kwenye kitambulisho chako cha NIDA na kile cha CCM
Jambo hili limenishangaza sana,na kubaki na maswali ikiwa CHADEMA nao wakitaka kutengeneza vitambulisho vya wanachama wao watapewa access ya Kutumia taarifa zetu za NIDA kama ilivyo kwa CCM .
Watanganyika tuamke.