Moisemusajiografii
JF-Expert Member
- Nov 3, 2013
- 55,705
- 104,843
Karibia unagawiwa uchawi.Mkuu naipataje card ya CCM nipe process?
Karibia unagawiwa uchawi.Mkuu naipataje card ya CCM nipe process?
Not yet UhuruMahakamani ukaifunge ccm..!!?....bora ukae nyumbani mkuu ule wali waharage
Ushaambiwa hii mifumo imeundwa kipindi cha jpm hivyo haiwezi kuwa kadi zote zimepitishwa kwenye hii chaneli ya ccm,nida,inec! Usisahau kuwa hii ni moja tu ya mbinu za kuiba uchaguzi hivyo sio kadi zote zinaundwa/sajiliwa kwa mtindo mmoja!Mimi picha ya kadi yangu ya CCM ni tofauti kabisa na picha ILIYOPO NIDA. Mimi nilipigiwa picha na katibu wa Tawi kalolen Arusha 2015 na ndo hiyo ipo kwenye kadi ya CCM mpya. Wakati huo Wala sikuwa na kadi ya NIDA. Kwa hiyo hii taarifa chunguza vizuri
You have nailed itUshaambiwa hii mifumo imeundwa kipindi cha jpm hivyo haiwezi kuwa kadi zote zimepitishwa kwenye hii chaneli ya ccm,nida,inec! Usisahau kuwa hii ni moja tu ya mbinu za kuiba uchaguzi hivyo sio kadi zote zinaundwa/sajiliwa kwa mtindo mmoja!
Mimi uchaguzi wa 2020 nilikuwa nimepoteza kadi ya kupigia kura japo niliambiwa naweza kutumia kadi ya Nida na ndivyo nilivyoshiriki uchaguzi wa 2020 kupitia kadi ya Nida.Ushaambiwa hii mifumo imeundwa kipindi cha jpm hivyo haiwezi kuwa kadi zote zimepitishwa kwenye hii chaneli ya ccm,nida,inec! Usisahau kuwa hii ni moja tu ya mbinu za kuiba uchaguzi hivyo sio kadi zote zinaundwa/sajiliwa kwa mtindo mmoja!
Ni vioja na vituko hakuna jambo tunalolifanya kwa u serious kabisa!Mimi uchaguzi wa 2020 nilikuwa nimepoteza kadi ya kupigia kura japo niliambiwa naweza kutumia kadi ya Nida na ndivyo nilivyoshiriki uchaguzi wa 2020 kupitia kadi ya Nida.
Hii taarifa aliyoitoa HP imeniacha hoi, imenifanya nijute na kusikitia sana muda wangu nilioupoteza siku hiyo.