digba sowey
JF-Expert Member
- Mar 1, 2017
- 10,508
- 23,368
HuelewekiWakuu nimeshangaa sana mamlaka ya NIDA kukanusha kuwa CCM Haina access na taarifa zetu za NIDA,huu ni uhuni na uongo wa Hali ya juu,au kwakuwa watanganyika wengi hatufatilii mambo!?
Ni ukweli usiopingika kuwa CCM wamepewa access ya taarifa zetu muhimu na NIDA ili kufanya chochote wakitakacho juu ya taarifa zetu,ukitaka kuamini haya niyasemayo chukua vitambulisho vya CCM villivyotoka hivi karibuni ambavyo vina barcode (Msimbo milia) uangalie picha yake ya NIDA na sahihi iliyowekwa wakati wa usajili ndo ile ile iliyopo kwenye kitambulisho chako cha NIDA na kile cha CCM
Jambo hili limenishangaza sana,na kubaki na maswali ikiwa CHADEMA nao wakitaka kutengeneza vitambulisho vya wanachama wao watapewa access ya Kutumia taarifa zetu za NIDA kama ilivyo kwa CCM .
Watanganyika tuamke.
Nenda tawi lolote la CCMMkuu naipataje card ya CCM nipe process?
Bila ya kuanza kuji register Katika mtandao?Hueleweki
Mimi nina kadi ya CCM sikuombwa kitambulisho cha NIDA wakati napewa
Sikuelewi unamaanisha nini?Bila ya kuanza kuji register Katika mtandao?
Hapo sasa kama ni kweli hili litajidhihirisha kuwa asemayo HP ni kweliWakuu nimeshangaa sana mamlaka ya NIDA kukanusha kuwa CCM Haina access na taarifa zetu za NIDA,huu ni uhuni na uongo wa Hali ya juu,au kwakuwa watanganyika wengi hatufatilii mambo!?
Ni ukweli usiopingika kuwa CCM wamepewa access ya taarifa zetu muhimu na NIDA ili kufanya chochote wakitakacho juu ya taarifa zetu,ukitaka kuamini haya niyasemayo chukua vitambulisho vya CCM villivyotoka hivi karibuni ambavyo vina barcode (Msimbo milia) uangalie picha yake ya NIDA na sahihi iliyowekwa wakati wa usajili ndo ile ile iliyopo kwenye kitambulisho chako cha NIDA na kile cha CCM
Jambo hili limenishangaza sana,na kubaki na maswali ikiwa CHADEMA nao wakitaka kutengeneza vitambulisho vya wanachama wao watapewa access ya Kutumia taarifa zetu za NIDA kama ilivyo kwa CCM .
Watanganyika tuamke.
Nakwambia ni kweli ,wewe chukua NIDA ya mtu yeyote ambaye ni mwana CCM harafu uchukue kadi yake ya chama ,zile mpya zenye bar code,utaona kuwa picha na sahihi ndo zile zilizotumika kwenye NIDA,kiufupi wametumia taarifa za NIDA kutengeneza kadi za chama.Hapo sasa kama ni kweli hili litajidhihirisha kuwa asemayo HP ni kweli
Hujamuelewa mtoa mada toka hapaHueleweki
Mimi nina kadi ya CCM sikuombwa kitambulisho cha NIDA wakati napewa
Naanzia ofisi ya ngazi ya wilaya au hata Katika ofisi ya tawiSikuelewi unamaanisha nini?
Mimi nina kadi ya aina hiyo ya uanachama wa CCM unayoisema. Lakini picha iliyopo kwenye hiyo kadi yangu siyo ile iliyoko kwenye Kitambulisho changu cha Taifa (NIDA). Ni picha mbili tofauti kabisa. Picha ya kwenye kadi yangu ya uanachama wa CCM nilipigwa nikiwa nimevaa shati la rangi ya kijani iliyochuja na picha iliyopo kwenye Kitambulisho changu cha NIDA nilipigwa nikiwa nimevaa shati jeusi. Na picha zote hizo ambazo ni tofauti kabisa, zinaonekana wazi kabisa kila moja kwenye kadi ya uanachama na kwenye kitambulisho cha NIDA.
Mimi ninacho kitambulisho cha c.c.m ila niliombwa namba za kitambulisho cha kupigia kura.Hueleweki
Mimi nina kadi ya CCM sikuombwa kitambulisho cha NIDA wakati napewa
Mimi picha ya kadi yangu ya CCM ni tofauti kabisa na picha ILIYOPO NIDA. Mimi nilipigiwa picha na katibu wa Tawi kalolen Arusha 2015 na ndo hiyo ipo kwenye kadi ya CCM mpya. Wakati huo Wala sikuwa na kadi ya NIDA. Kwa hiyo hii taarifa chunguza vizuriNakwambia ni kweli ,wewe chukua NIDA ya mtu yeyote ambaye ni mwana CCM harafu uchukue kadi yake ya chama ,zile mpya zenye bar code,utaona kuwa picha na sahihi ndo zile zilizotumika kwenye NIDA,kiufupi wametumia taarifa za NIDA kutengeneza kadi za chama.
Swali ,je Kila chama kina weza pewa access kuzifikia taarifa zetu za nida
Yawezekana ni kwa Ajili ya kuhifadhi taarifaMimi ninacho kitambulisho cha c.c.m ila niliombwa namba za kitambulisho cha kupigia kura.
Kuna vitambulisho vimetoka sasa hivi ambavyo vina bar code (Msimbo milia) ambapo kwa sasa vina taarifa za NIDAMimi picha ya kadi yangu ya CCM ni tofauti kabisa na picha ILIYOPO NIDA. Mimi nilipigiwa picha na katibu wa Tawi kalolen Arusha 2015 na ndo hiyo ipo kwenye kadi ya CCM mpya. Wakati huo Wala sikuwa na kadi ya NIDA. Kwa hiyo hii taarifa chunguza vizuri
NIDA na INEC watakanusha😀Wakuu nimeshangaa sana mamlaka ya NIDA kukanusha kuwa CCM Haina access na taarifa zetu za NIDA,huu ni uhuni na uongo wa Hali ya juu,au kwakuwa watanganyika wengi hatufatilii mambo!?
Ni ukweli usiopingika kuwa CCM wamepewa access ya taarifa zetu muhimu na NIDA ili kufanya chochote wakitakacho juu ya taarifa zetu,ukitaka kuamini haya niyasemayo chukua vitambulisho vya CCM villivyotoka hivi karibuni ambavyo vina barcode (Msimbo milia) uangalie picha yake ya NIDA na sahihi iliyowekwa wakati wa usajili ndo ile ile iliyopo kwenye kitambulisho chako cha NIDA na kile cha CCM
Jambo hili limenishangaza sana,na kubaki na maswali ikiwa CHADEMA nao wakitaka kutengeneza vitambulisho vya wanachama wao watapewa access ya Kutumia taarifa zetu za NIDA kama ilivyo kwa CCM .
Watanganyika tuamke.
Wakikanusha Mimi naweka ushahidi,nimesikitika sana yaani, nafuatilia kusheria ikiwa Kuna kosa hapa niende mahakaniNIDA na INEC watakanusha😀
Mahakamani ukaifunge ccm..!!?....bora ukae nyumbani mkuu ule wali waharageWakikanusha Mimi naweka ushahidi,nimesikitika sana yaani, nafuatilia kusheria ikiwa Kuna kosa hapa niende mahakani