Nimeamka nikiwaza hali ya upepo wa siasa za Tanzania. Tanzania yenye vyama vingi vya siasa, vingi vyenye viongozi wanaoangalia maslahi yao wenyewe, wasiojenga vyama kwa nia ya kuliendeleza taifa bali kwa maslahi yao binafsi.
CCM ipo sana bado, haing'olewi leo wala kesho. Vyama vingi ni vizuri sana kwa maendeleo ya taifa lakini upinzani wa Tanzania bado ni kama maigizo
Haka kawimbo kawafikie wote wanaotambua kwamba hadi sasa Tanzania hakuna chama kingine chenye misingi imara, dira, na nguvu kinachoweza kushika nchi.
Mungu ibariki Tanzania Mungu mbariki rais wetu Samia Suluhu Hasan
Kazi inaendelea
Your browser is not able to display this video.
KIDUMU CHAMA CHA MAPINDUZI CCM
ZIDUMU FIKRA ZA WAASISI NA WENYEVITI WALIOTANGULIA
ZIDUMU FIKRA ZA MWENYEKITI SAMIA SULUHU HASAN

🤣 Mungu yupo single hanaga mpenzi. Japo nina kadi ya chama ila ukweli ni kuwa hiki chama jeuri yake ni kumiliki majeshi tu.
Hakuna demokrasia kabisa ila ikiruhusiwa ku prevail CCM hawatoboi. Sahizi wanazungumzia maridhiano ila utakuja kuona mwenyewe uchaguzi ukianza Chadema wanavyonyanyasika.

Ccm kushika dola hadi leo ni maamuzi ya nchi hii Kwamba kiwe ndio CHAMA chenye Baraka ya kushika DOLA kwa Muda wote hadi leo YAANI iliamriwa hivyo kwa KATIBA hii iliyopo Hadi vitakapoandaliwa vingine vya kupokezana kwa KATIBA ijayo!
VYAMA vyote vinavoshika dola viwe UPINZANI au tawala HUWA vina Baraka ya DOLA kushika bila kujali kinakubalika au hakikubaliki na wananchi!
Kule marekani vinapokezana Sio KWASABABU ya kura kutosha bali dola ndio huamua nani ASHIKE na kwa wakati GANI kura hazijawahi kuamua mstakabali wa serikali YEYOTE bali kuhalalisha serikali iliyoaminiwa na DOLA kushika hatamu KABLA Hata ya uchaguzi kufanyika!!
Kwamfano KATIKA KATIBA ijayo dola ikaamu Kwamba Sasa wakati wa ccm kupumzika umefika na umoja party ishike dola,itashika tu Hata kama mimi mwl ATHUMANI ni mgombea wa CHAMA hicho dhidi ya manguli wa siasa nchini!!
Huku kwetu tuliamua ccm ndio ishike VYAMA vingine viisimamie ccm ILI kuboresha dhana ya demokrasia iliyoasisiwa Duniani kote kama TAIFA!
Ndio maana alipotaka kuua vyama vya UPINZANI ccm haikukubali hilo litokee coz halitokuwa TAIFA,kwasababu TAIFA hujengwa na watu wenye MAWAZO na itikadi tofauti kabisa na watu wa kanda na silika tofauti!
Iliamriwa iwe hivyo siku ikiamriwa vinginevyo nayo ccm itafanywa na kufanana na vyama vingine unavoviona!
Kwasasa ipo hivyo kama ilivyoamriwa na ndio maana ccm inafanywa iwe bora na MFUMO wa dola kuliko vyama vingine na Hivyo vyama vinalelewa na dola viwe hivyo vilivyo ndio maana Hata Chadema inatafutiwa tena SABABU ya kugawanywa vipande kwa manufaa ya ccm kama miaka mingi walivofanya kwa cuf kule Zanzibar na nccr na Chadema itafanywa hivo ivo!!!
Sijui kwa nini watu wa ccm ni wa hovyo namna hii, jeshi lao, mahakama zao, tume ya uchaguzi yao then mtu kashiba wali maharage yupo busy kusema ccm ina misingi imara...