mama D
JF-Expert Member
- Nov 22, 2010
- 19,981
- 35,581
- Thread starter
- #101
Kumbe wee ni wa hovyo kiasi hiki??? Hongera Sana kwa mawazo ya kimaiti maiti...uimara wa ccm uko TISS na police..nje ya hapo hakuna kitu kinaitwa ccm
Hakuna mtu wa hovyo zaidi yako wewe unayelalamika mwanzo wa mwaka hadi mwisho wa mwaka.
Mtu mzima na uzima wako unalalamikia police na tiss hadi leo!? Kwa akili zako wao sio watu eeeh? Wenzio wana akili na interest yao ni usalama wa nchi. Sasa wakuachie mtu kama wewe na wenzio mtaipeleka wapi nchi. Jifunzeni kwa waliofanikiwa acheni blahblah
Yaani heri kimaiti maiti maana maiti ina heshma yake... kwa akili zako hizi ni wazi kabisa kwenye ubongo wako kuna mzoga wa panya wallah.
Uwe unaona aibu kuuacha uchi ubongo wako mbele za watu basi
Mfyuuuu