Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hao kawaulize wanaosema "ccm ina wenyewe" na Magufuli ni wakuja tu. Wenyewe wanadai "chama kimerudi kwa wenyewe"Unanyang'aje chama ambacho nawe ni mwanachama
Huyo mama D ana kikundi chao cha kupika na amenufaika sana na tenda za kupika kwenye yale matamasha ya CCM ya kuomba kura kwa kuhonga wananchi pilau. Huwezi mbadili huyo.Hao kawaulize wanaosema "ccm ina wenyewe" na Magufuli ni wakuja tu. Wenyewe wanadai "chama kimerudi kwa wenyewe"
Magufuli alitaka watu wote ambao hawakukubaliana na utawale wake ikiwezekane wanyongwe matokeo yake alinyongwa yeye na Corona.Kila mtu atapita njia hiyo
Ila sio kila mtu ana uwezo wa kunyoosha mambo kabla ya hiyo njia
Kama wewe utaishia kutafunwa bila kunyoosha chochote😂😂😂
Mungu mwenyewe ataamua nife kifo gani na muda gani na mahali gani kwa kuwa natambua kuwa,Binadamu wote ni sawa mbele ya sheria na Usoni pa mwenyezi Mungu."Wewe utanyongwa na nini🙄🙄🙄
Kwani wewetambuka kujitangazia🤔Kwani lazima ujitangaze?
Hueleweki.Kwani wewetambuka kujitangazia🤔
Kwani wewe,Magonjwa Mtambuka kujitangazia kubwa wewe kijani🤔Hueleweki.
Hueleweki kabisaa.Kwani wewe,Magonjwa Mtambuka kujitangazia kubwa wewe kijani🤔
Jadilianeni basi aina ya mitambo mnayotaka kufunga huko bungeni ccm ina wabunge kwelikweli wanataka mitambo bungeniNimeamka nikiwaza hali ya upepo wa siasa za Tanzania. Tanzania yenye vyama vingi vya siasa, vingi vyenye viongozi wanaoangalia maslahi yao wenyewe, wasiojenga vyama kwa nia ya kuliendeleza taifa bali kwa maslahi yao binafsi.
CCM ipo sana bado, haing'olewi leo wala kesho. Vyama vingi ni vizuri sana kwa maendeleo ya taifa lakini upinzani wa Tanzania bado ni kama maigizo
Haka kawimbo kawafikie wote wanaotambua kwamba hadi sasa Tanzania hakuna chama kingine chenye misingi imara, dira, na nguvu kinachoweza kushika nchi.
Mungu ibariki Tanzania Mungu mbariki rais wetu Samia Suluhu Hasan
Kazi inaendelea
View attachment 2508301
KIDUMU CHAMA CHA MAPINDUZI CCM
ZIDUMU FIKRA ZA WAASISI NA WENYEVITI WALIOTANGULIA
ZIDUMU FIKRA ZA MWENYEKITI SAMIA SULUHU HASAN
Kumbe wee ni wa hovyo kiasi hiki??? Hongera Sana kwa mawazo ya kimaiti maiti...uimara wa ccm uko TISS na police..nje ya hapo hakuna kitu kinaitwa ccmNimeamka nikiwaza hali ya upepo wa siasa za Tanzania. Tanzania yenye vyama vingi vya siasa, vingi vyenye viongozi wanaoangalia maslahi yao wenyewe, wasiojenga vyama kwa nia ya kuliendeleza taifa bali kwa maslahi yao binafsi.
CCM ipo sana bado, haing'olewi leo wala kesho. Vyama vingi ni vizuri sana kwa maendeleo ya taifa lakini upinzani wa Tanzania bado ni kama maigizo
Haka kawimbo kawafikie wote wanaotambua kwamba hadi sasa Tanzania hakuna chama kingine chenye misingi imara, dira, na nguvu kinachoweza kushika nchi.
Mungu ibariki Tanzania Mungu mbariki rais wetu Samia Suluhu Hasan
Kazi inaendelea
View attachment 2508301
KIDUMU CHAMA CHA MAPINDUZI CCM
ZIDUMU FIKRA ZA WAASISI NA WENYEVITI WALIOTANGULIA
ZIDUMU FIKRA ZA MWENYEKITI SAMIA SULUHU HASAN
Mwl uchwara bhana [emoji1787][emoji1787][emoji1787] endeleeni na ngonjera zenu baada ya kushiba makandeHawajielwi na hawaeleweki kwasababu wanafanywa wawe hivyo na waO wanajua hawapo kwa ajili ya kushika dola bali KUPATA ubunge na kuisimamia CCM!
Halo viongozi wote wa vyama pinzani ni vivuli wa ccm KATIKA usiri wao!inawezekana muuza mitumba akawa mpinzani wa kweli kuliko kiongozi mkuu wa CHADEMA!
Wanachama wa kawaida wanaojielewa hawana siasa za kimhemko KWASABABU wanaelewa mambo yalivyo bali wasiojielewa ndio wale damu damu Hadi kwenye maandamano wamo!!
Wanafanywa maksudi waonekane Hivyo na wao wanajua kwanini hawaeleweki!