Wildchild
JF-Expert Member
- Aug 29, 2018
- 19,411
- 21,938
Hao watakuwa na kampeni za siri wakitaka zuio lirudi😂.ikiwa unachosema ni kweli, kwa nini mnavihofia vyama vya upinzani visivyo na misingi imara kam ninyi ccm?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hao watakuwa na kampeni za siri wakitaka zuio lirudi😂.ikiwa unachosema ni kweli, kwa nini mnavihofia vyama vya upinzani visivyo na misingi imara kam ninyi ccm?
Kwani hii dola ni Mali binafsi ya nani hadi awe na mamlaka ya kuigawa apendavyo?TUNAELEWA SANA.
HUWEZI WAPA DOLA WATU WASIOJIELEWA, WASIOELEWEKA, WASIO NA MISINGI IMARA KWA WATU WAKE
zidumu fikra ya utumbuaji za Jiwe !! Idumu Pre-bargain iliyoasisiwa na jiwe.ZIDUMU FIKRA ZA WAASISI NA WENYEVITI WALIOTANGULIA
Kwani lazima ujitangaze?...japo nina kadi ya chama...
Nimeamka nikiwaza hali ya upepo wa siasa za Tanzania. Tanzania yenye vyama vingi vya siasa, vingi vyenye viongozi wanaoangalia maslahi yao wenyewe, wasiojenga vyama kwa nia ya kuliendeleza taifa bali kwa maslahi yao binafsi.
CCM ipo sana bado, haing'olewi leo wala kesho. Vyama vingi ni vizuri sana kwa maendeleo ya taifa lakini upinzani wa Tanzania bado ni kama maigizo
Haka kawimbo kawafikie wote wanaotambua kwamba hadi sasa Tanzania hakuna chama kingine chenye misingi imara, dira, na nguvu kinachoweza kushika nchi.
Mungu ibariki Tanzania Mungu mbariki rais wetu Samia Suluhu Hasan
Kazi inaendelea
View attachment 2508301
KIDUMU CHAMA CHA MAPINDUZI CCM
ZIDUMU FIKRA ZA WAASISI NA WENYEVITI WALIOTANGULIA
ZIDUMU FIKRA ZA MWENYEKITI SAMIA SULUHU HASAN
Huenda wapuuzi mkahisi mimi Chadema mkaanza kunishambulia kama boda bodaKwani lazima ujitangaze?
Mbona unajishtukia?Huenda wapuuzi mkahisi mimi Chadema mkaanza kunishambulia kama boda boda
ElewaMbona unajishtukia?
Ok.Elewa
wewe mama D na Mnyeti ARUMERU inawakumbuka kwa kuwafikisha madiwani na wabunge bei. Na bado unajisifu kuwa ni msingi bora wa CCM?
Nimeamka nikiwaza hali ya upepo wa siasa za Tanzania. Tanzania yenye vyama vingi vya siasa, vingi vyenye viongozi wanaoangalia maslahi yao wenyewe, wasiojenga vyama kwa nia ya kuliendeleza taifa bali kwa maslahi yao binafsi.
CCM ipo sana bado, haing'olewi leo wala kesho. Vyama vingi ni vizuri sana kwa maendeleo ya taifa lakini upinzani wa Tanzania bado ni kama maigizo
Haka kawimbo kawafikie wote wanaotambua kwamba hadi sasa Tanzania hakuna chama kingine chenye misingi imara, dira, na nguvu kinachoweza kushika nchi.
Mungu ibariki Tanzania Mungu mbariki rais wetu Samia Suluhu Hasan
Kazi inaendelea
View attachment 2508301
KIDUMU CHAMA CHA MAPINDUZI CCM
ZIDUMU FIKRA ZA WAASISI NA WENYEVITI WALIOTANGULIA
ZIDUMU FIKRA ZA MWENYEKITI SAMIA SULUHU HASAN
Tunatakiwa tuwe na style ya kuisujudia CCM ndio tutoboe ama? Endeleeni kutegemea vyombo vya dola, siku hao wanajeshi wakibadilika tutawazika kaburi moja na KANU ya Kenya.Endeleeni kuziita porojo ila mjue tuu kwa style hiyo hamtoboi
Maslahi mapana ya Taifa unayajua kweli?Dola haijagawanywa na chama. Dola inatenda haki kwa kuzingatiwa maslahi mapana ya taifa
Pole hakuna mtu hapo karibu akupeleke hospitali?Jambo la kwanza kulishughulikia na kujenga uelewa kwa wananchi. Ni kuwaelimisha kwamba serikali ni tofauti na serikali. Serikali ni jambo lingine na ccm ni kitu kingine. Kwa hiyo wasichanganye akilini mwao kwamba sisiemu ndiyo serikali na serikali ndiyo sisiem.