CCM ina misingi imara sana; kama wewe ni mpinzani na unabisha umeshafeli

Wanamchukia maana alijua kuwanyoosha hahaha
Magufuli aliweza sana kurepair kulikokua kunavuja haswa kwa wapiga kura
Anajiita wanademokrasia hata uhuru wa mawazo tofauti na wao hawataki

USSR
 
Ccm ni kama Putin kule Russia. Anaweza kuamuru wapinzani wake wapigwe risasi wafe, anaweza kuwapa kesi uchwara wapinzani wake, anaweza kutangaza matokeo ya uchaguzi mshindwa akawa mshindi, anaweza kutumia kodi za wananchi kwa faida yake, anaweza kufanya chochote kinyume cha katiba na asiguswe na mtu.

Kama hii ndio misingi imara unayodai, basi ni wazi una "tatizo la akili". Ni kama useme " jeshi kule Egypt, Pakistan na Sudan zina misingi imara ndio maana yako madarakani miaka kwa miaka"
 
Tunatakiwa tuwe na style ya kuisujudia CCM ndio tutoboe ama? Endeleeni kutegemea vyombo vya dola, siku hao wanajeshi wakibadilika tutawazika kaburi moja na KANU ya Kenya.

CCM haisujudiwi
Chuki bila action ni kujitesa
 
Abana.vijana wa chademawaki kaa vizuuli wanachugua ii inchi efu mbiri ishitano....waturiye wapangemi pago yao vizuli
 
Mkuu elimu sasa hivi ni bure, kwanini usifanye mpango wa kurudi shule urekebishe hili tatizo la uandishi?
 
Ccm ni kama Putin kule Russia. Anaweza kuamuru wapinzani wake wapigwe risasi wafe, anaweza kuwapa kesi uchwara wapinzani wake, anaweza kutangaza matokeo ya uchaguzi mshindwa akawa mshindi, anaweza kutumia kodi za wananchi kwa faida yake, anaweza kufanya chochote kinyume cha katiba na asiguswe na mtu.

Kama hii ndio misingi imara unayodai, basi ni wazi una "tatizo la akili". Ni kama useme " jeshi kule Egypt, Pakistan na Sudan zina misingi imara ndio maana yako madarakani miaka kwa miaka"
Kuna nchi nyingi tu hapa duniani bila ubabe hutawali wao walishajuchunguza na kugundua mfano,misri, Pakistan, Venezuela,china Uganda, Kenya, Tanzania, Nigeria na n.k so kila jamii inaelewa demokrasia,pale CHADEMA bila ubabe hutawali mbowe anatumia nguvu kubwa kubakia pale hana tofauti na CCM ambacho sio chama cha kidemokrasia bali wanakanuni za kibabe sana , vyama vingi hapa Tanzania vimekufa kwa kutaka suluhu ,nachojua mimi hata Rais Samia Suluhu Hassan ameanza kuona madhara ya kuwaacha watu kama lisu watambe mtaani , Mark my words

Bado nasisitiza "kama hiyo ndio misingi imara mnayodai " ni wazi mna matatizo ya akili". Maana ni wazi mnatuambia kuwa hata jeshi leo likiamua kuchukua madaraka kwa kuiondoa serikali ya ccm mtaona ni sawa tu kwa kuwa "jeshi lina misingi imara"
 
Nimeamka nikiwaza hali ya upepo wa siasa za Tanzania. Tanzania yenye vyama vingi vya siasa, vingi vyenye viongozi wanaoangalia maslahi yao wenyewe, wasiojenga vyama kwa nia ya kuliendeleza taifa bali kwa maslahi yao binafsi.

CCM ipo sana bado, haing'olewi leo wala kesho. Vyama vingi ni vizuri sana kwa maendeleo ya taifa lakini upinzani wa Tanzania bado ni kama maigizo

Haka kawimbo kawafikie wote wanaotambua kwamba hadi sasa Tanzania hakuna chama kingine chenye misingi imara, dira, na nguvu kinachoweza kushika nchi.

Mungu ibariki Tanzania Mungu mbariki rais wetu Samia Suluhu Hasan
Kazi inaendelea

View attachment 2508301
KIDUMU CHAMA CHA MAPINDUZI CCM
ZIDUMU FIKRA ZA WAASISI NA WENYEVITI WALIOTANGULIA
ZIDUMU FIKRA ZA MWENYEKITI SAMIA SULUHU HASAN
"Zidumu fikra sahihi za mwenyekiti wa ccm ambaye ndiye Rais wa Tanzania" Huu ndiyo uozo na ugonjwa wa Siasa za Mfumo wa Vyama vingi katika nchi yetu ya Tanzania.Ambapo Rais aliyepo madarakani ataamua aina gani ya siasa itumike ili kukinufaisha na kukiimarisha chama chake cha ccm na si Taifa la Tanzania.Ambapo Rais ataamua nani awe kiongozi na nani asiwe kiongozi.Ambapo Rais ataamua ni Chama gani kwa wakati huo kiwe Chama cha Upinzani na si wanachama au raia wa Tanzania kufurahia na kukubali sera za chama chenye nguvu.Huo ni ugonjwa kwa siasa za Tanzania na wanaokipongeza chama tawala hawana akili.
 
Kuna nchi nyingi tu hapa duniani bila ubabe hutawali wao walishajuchunguza na kugundua mfano,misri, Pakistan, Venezuela,china Uganda, Kenya, Tanzania, Nigeria na n.k so kila jamii inaelewa demokrasia,pale CHADEMA bila ubabe hutawali mbowe anatumia nguvu kubwa kubakia pale hana tofauti na CCM ambacho sio chama cha kidemokrasia bali wanakanuni za kibabe sana , vyama vingi hapa Tanzania vimekufa kwa kutaka suluhu ,nachojua mimi hata Rais Samia Suluhu Hassan ameanza kuona madhara ya kuwaacha watu kama lisu watambe mtaani , Mark my words

USSR
Ushindwe na ulegee pumbavu.
 
TUNAELEWA SANA.

HUWEZI WAPA DOLA WATU WASIOJIELEWA, WASIOELEWEKA, WASIO NA MISINGI IMARA KWA WATU WAKE
Wenye misingi imara ni "wanaosema wazuri hawafi" walimuondoa JPM aliyetaka wanyan'ganya chama chao.
 
UKWELI MCHUNGU: Kama Upinzani usipochukua hatua na kufanya mabadiliko makubwa ya ndani, kuna uwezekano wa CCM kutawala Kwa miaka mingi sana ijayo
Upuuzi mwingine huu. Hapo Zanzibar, hao wenye misingi imara wamepindua matokeo mara ngapi!? Unajua!? Endelea kujitekenya.
 
Wanamchukia maana alijua kuwanyoosha hahaha
Magufuli aliweza sana kurepair kulikokua kunavuja haswa kwa wapiga kura
Nyinyi wapuuzi wachache ndio mnaofanya kifo cha Magufuli kiwe furaha kwa wengine. Maana mnafurahia dhuluma alizokuwa anawafanyia binadamu wengine.

Lazima uwe mwendawazimu ili kuweza kufurahia uovu anaofanyiwa binadamu mwingine.
 
Bado nasisitiza "kama hiyo ndio misingi imara mnayodai " ni wazi mna matatizo ya akili". Maana ni wazi mnatuambia kuwa hata jeshi leo likiamua kuchukua madaraka kwa kuiondoa serikali ya ccm mtaona ni sawa tu kwa kuwa "jeshi lina misingi imara"

Hapa umesema jambo sahihi kabisa.
 
Back
Top Bottom