Yoda
JF-Expert Member
- Jul 22, 2018
- 48,475
- 70,102
Jikite kwenye hoja
Wewe unachowaza kwenye mapenzi ni ngono tuu wewe
Mungu akusaidie
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe unachowaza kwenye mapenzi ni ngono tuu wewe
Mungu akusaidie
Hawajielwi na hawaeleweki kwasababu wanafanywa wawe hivyo na waO wanajua hawapo kwa ajili ya kushika dola bali KUPATA ubunge na kuisimamia CCM!TUNAELEWA SANA
HUWEZI WAPA DOLA WATU WASIOJIELEWA, WASIOELEWEKA, WASIO NA MISINGI IMARA KWA WATU WAKE
Na hapo ndio tunaposema CCM haina mpinzani na Tanzania hakuna chama pinzani wala wapinzaniHawajielwi na hawaeleweki kwasababu wanafanywa wawe hivyo na waO wanajua hawapo kwa ajili ya kushika dola bali KUPATA ubunge na kuvisimamia CCM...
UKWELI MCHUNGU: Kama Upinzani usipochukua hatua na kufanya mabadiliko makubwa ya ndani, kuna uwezekano wa CCM kutawala Kwa miaka mingi sana ijayoUnasemaje huo!?
Hebu sikiliza kwanza hako kamziki
Lakini wanachotaka wapinzani ichezwe mechi refa asitokee tff bali atoke uefa.kila mtu ashinde mechi zake bila wasiwasi.Tunawaambia ukweli halafu wanaleta makasiriko🙄🙄🙄🙄🙄
Anguko la CHADEMA lilikuwa kipindi cha JPM sasa tumebakiza makapiNa ndio anguko lao hao wabishi
Mnataka kila mtu awe upande wenu ila hamtaki kuambiwa ukweli wapuuzi nyieUmeshanunuliwa wewe, officially chawa wa Mama
Lakini wanachotaka wapinzani ichezwe mechi refa asitokee tff bali atoke uefa.kila mtu ashinde mechi zake bila wasiwasi.
Misingi ya kumiliki jeshi, hivi miccm mna akili kweli?Kama haina misingi imara basi fanya uing'oe leo
Nimeamka nikiwaza hali ya upepo wa siasa za Tanzania. Tanzania yenye vyama vingi vya siasa, vingi vyenye viongozi wanaoangalia maslahi yao wenyewe, wasiojenga vyama kwa nia ya kuliendeleza taifa bali kwa maslahi yao binafsi.
CCM ipo sana bado, haing'olewi leo wala kesho. Vyama vingi ni vizuri sana kwa maendeleo ya taifa lakini upinzani wa Tanzania bado ni kama maigizo
Haka kawimbo kawafikie wote wanaotambua kwamba hadi sasa Tanzania hakuna chama kingine chenye misingi imara, dira, na nguvu kinachoweza kushika nchi.
Mungu ibariki Tanzania Mungu mbariki rais wetu Samia Suluhu Hasan
Kazi inaendelea
KIDUMU CHAMA CHA MAPINDUZI CCM
ZIDUMU FIKRA ZA WAASISI NA WENYEVITI WALIOTANGULIA
ZIDUMU FIKRA ZA MWENYEKITI SAMIA SULUHU HASAN