CCM ina wenyewe na wenyewe ndio Sisi. Wale wakuja wote tumewaondoa

Chizi Maarifa

JF-Expert Member
Joined
Jul 29, 2013
Posts
10,931
Reaction score
24,816
1. Kikwete
2. Kinana
3. Makamba
4. Rostam Aziz
5. Na Mzee wangu naye nashukuru sasa amerudi amekuwa Mnec.

Hawa ndio wanaweka Rais wanayeona anafaa. Hawa ndiyo wenye mapenzi na hii nchi na wanafahamu CCM kwa ukaribu.

Mlituletea mtu mgeni akawa hasikilizi anachoambiwa anafanya atakalo na hajali wenye chama. Hawaamini wengine. Chama kimerudi kwa wenyewe sasa.

Msitegemee tena yatatokea makosa yale ya kipindi kile. Will never happen. Na hii ndo mpaka msahau kabisa. Aliye na sikio na asikie.
 
Unajielewa kweli?
 
Hapo Rostam mtoe. Rostam alimtaka Lowasa na akampa urais kupitia UKAWA.

Hao kina JK wana nguvu kidogo ndio maana 2015 JK alimtaka Membe akapita Magu. Hao hata wanaCCM wenzao waliwakataa 2105 chama kikataka kuwafia mkononi.

Ona 2025 historia inavyojirudia tena. Kinana na Kikwete hawaaminiki hata na ccm wenzao. Huyo Rostam wanamuweka karibu sababu wanaijua nguvu yake. Ni mastermind.
 
Weye ni katibu muhtasi wa Rostam? Acha ujinga. Hivi, ile picha ya wana-CHADEMA wakimsimanga Lowassa bado unayo? Itundike sebuleni kwako.😂😂😂😂
 
Mkimaliza Kutoa mbwa huko kwenye NEC muwe mnapumzisha akili kabla ya kuja kuanzisha nyuzi humu
 
Weye ni katibu muhtasi wa Rostam?Acha ujinga.Hivi,ile picha ya wana-CHADEMA wakimsimanga Lowassa bado unayo?Itundike sebuleni kwako.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kwanza samahani, hivi we ni KE au ME?
 
1. Kikwete
2. Kinana
3. Makamba
4. Rostam Aziz
5. Na Mzee wangu naye nashukuru sasa amerudi amekuwa Mnec.

Hawa ndio wanaweka Rais wanayeona anafaa. Hawa ndiyo wenye mapenzi na hii nchi na wanafahamu CCM kwa ukaribu.

Mlituletea mtu mgeni akawa hasikilizi anachoambiwa anafanya atakalo na hajali wenye chama. Hawaamini wengine. Chama kimerudi kwa wenyewe sasa.

Msitegemee tena yatatokea makosa yale ya kipindi kile. Will never happen. Na hii ndo mpaka msahau kabisa. Aliye na sikio na asikie.

Mbona Gwajiboy kawa MNEC na hajawahi kuwa ndani ya chama kwa mda mrefu kama hao wengine??
 
Hapo Rostam mtoe. Rostam alimtaka Lowasa na akampa urais kupitia UKAWA.

Hao kina JK wana nguvu kidogo ndio maana 2015 JK alimtaka Membe akapita Magu. Hao hata wanaCCM wenzao waliwakataa 2105 chama kikataka kuwafia mkononi.

Ona 2025 historia inavyojirudia tena. Kinana na Kikwete hawaaminiki hata na ccm wenzao. Huyo Rostam wanamuweka karibu sababu wanaijua nguvu yake. Ni mastermind.
Kila kitu kipo sehemu yake niamini mimi.
 
1. Kikwete
2. Kinana
3. Makamba
4. Rostam Aziz
5. Na Mzee wangu naye nashukuru sasa amerudi amekuwa Mnec.

Hawa ndio wanaweka Rais wanayeona anafaa. Hawa ndiyo wenye mapenzi na hii nchi na wanafahamu CCM kwa ukaribu.

Mlituletea mtu mgeni akawa hasikilizi anachoambiwa anafanya atakalo na hajali wenye chama. Hawaamini wengine. Chama kimerudi kwa wenyewe sasa.

Msitegemee tena yatatokea makosa yale ya kipindi kile. Will never happen. Na hii ndo mpaka msahau kabisa. Aliye na sikio na asikie.
Kwa bandiko lako Ile lipoti kuwa Kati ya watu kumi wawili Wana matatizo ya akili inapata nguvu tutakuletea gari ya wagonjwa tukubebe.
 
1. Kikwete
2. Kinana
3. Makamba
4. Rostam Aziz
5. Na Mzee wangu naye nashukuru sasa amerudi amekuwa Mnec.

Hawa ndio wanaweka Rais wanayeona anafaa. Hawa ndiyo wenye mapenzi na hii nchi na wanafahamu CCM kwa ukaribu.

Mlituletea mtu mgeni akawa hasikilizi anachoambiwa anafanya atakalo na hajali wenye chama. Hawaamini wengine. Chama kimerudi kwa wenyewe sasa.

Msitegemee tena yatatokea makosa yale ya kipindi kile. Will never happen. Na hii ndo mpaka msahau kabisa. Aliye na sikio na asikie.
Nilipoanza kusoma nilidhani unatania, kumbe upo 'siriasi' hasa!!

Kwa hiyo hii ndiyo timu itakayo iongoza Tanzania yenye heshima, yenye wananchi wanaojitambua, wenye uzalendo na kujivunia taifa lao.

Vipi yule mzee wa nyuki na asali, au mvinyo wa Dodoma umemmaliza akili kiasi kwamba hawezi kuenea kwenye orodha hiyo?
 
Back
Top Bottom