CCM ina wenyewe na wenyewe ndio Sisi. Wale wakuja wote tumewaondoa

1. Kikwete
2. Kinana
3. Makamba
4. Rostam Aziz
5. Na Mzee wangu naye nashukuru sasa amerudi amekuwa Mnec.

Hawa ndio wanaweka Rais wanayeona anafaa. Hawa ndiyo wenye mapenzi na hii nchi na wanafahamu CCM kwa ukaribu.

Mlituletea mtu mgeni akawa hasikilizi anachoambiwa anafanya atakalo na hajali wenye chama. Hawaamini wengine. Chama kimerudi kwa wenyewe sasa.

Msitegemee tena yatatokea makosa yale ya kipindi kile. Will never happen. Na hii ndo mpaka msahau kabisa. Aliye na sikio na asikie.
Saa itakuwaje??🙆‍♀️🙆‍♀️🙆‍♀️
 
Kwa bandiko lako Ile lipoti kuwa Kati ya watu kumi wawili Wana matatizo ya akili inapata nguvu tutakuletea gari ya wagonjwa tukubebe.
Mkuu acha ubishi huo ndio ukweli
 
1. Kikwete
2. Kinana
3. Makamba
4. Rostam Aziz
5. Na Mzee wangu naye nashukuru sasa amerudi amekuwa Mnec.

Hawa ndio wanaweka Rais wanayeona anafaa. Hawa ndiyo wenye mapenzi na hii nchi na wanafahamu CCM kwa ukaribu.

Mlituletea mtu mgeni akawa hasikilizi anachoambiwa anafanya atakalo na hajali wenye chama. Hawaamini wengine. Chama kimerudi kwa wenyewe sasa.

Msitegemee tena yatatokea makosa yale ya kipindi kile. Will never happen. Na hii ndo mpaka msahau kabisa. Aliye na sikio na asikie.
Wewe upo wapi hapo??
 
Makamba 84 yrs old
Kikwete 72 yrs old
Kinana 70 yrs old
Rostam 58 yrs old

Remember Tanzania life expectancy ni 65.82 yrs

Kaka unaongea kama wataishi milele, sisi kama vijana wenye nia njema na hii nchi kama ni subira tunayo... muda haudanganyi... hatuna haraka...
 
Wana watoto wao, wanapanda taratibu
Kwani watoto wa Nyerere wako wapi? Mwinyi? Mkapa? Kikwete? Makamba Jr hakubaliki hata kesho akiwekwa kwenye kura ya uraisi na Mandonga, Mandonga hatakuwa na mpinzani, ujue wa Tanzania kitu ambacho hatuna ni kuwa na malengo ya miaka 50/100 mbele... CCM ni vilaza hawana hio mikakati.. we tulia uone, Mungu yu nasi...
 
Na watoto wao wana watoto ambao wanapiga jeramba huku wakisubiria kwa shauku kubwa zamu yao ya kuingia mzigoni
Mkuu kuanzia watoto wa Kikwete ni vilaza plus mpaka Makamba Jr mwenyewe ni kilaza kuanzia historia ya shule hadi kwenye uongozi, hawa wazee walipata bahati tu kupenya kwenye system wakati wa kipindi kile cha giza, sasa Tz ina vijana wanajitambua, wapo smart na wenye shauku kubwa ya kuona nchi yao ikisonga katika kila nyanja, sasa hao watoto wanaorithishwa agenda za ulambaji asali na siasa za kizee zilizopiwa na wakati hawana nafasi... muda haudanganyi, tusipoona mabadiliko sisi hata watoto wetu wataona na kushiriki... ni muda tu haina haraka.
 
Inahitaji muda sana kujifunza biashara ya familia ikiwa ndio unaianza kuliko kuikuta na ukaona kila siku namna inavyofanyika. Mwinyi ni raisi na baba yake alikuwa raisi. Wanao na wengine 100 wana nafasi wajue tu haitakuwa rahisi wapambane
 
Makamba 84 yrs old
Kikwete 72 yrs old
Kinana 70 yrs old
Rostam 58 yrs old

Remember Tanzania life expectancy ni 65.82 yrs

Kaka unaongea kama wataishi milele, sisi kama vijana wenye nia njema na hii nchi kama ni subira tunayo... muda haudanganyi... hatuna haraka...
Wakati ni ukuta,hata Mohammed Ali alikua mbabe wa Dunia,na zame zake zikapita wakaja wengine!!
 
Ni kweli mkuu, acha individuals tu kama kina Mohammed Ali, hata wakubwa walioongoza dunia kama Japan kule Asia, kama UK kuwa mbabe wa dunia na kuitawala USA, leo hii Japan hata kwa nguvu za kijeshi haifikii India, leo hii UK haifikiii India, leo hii USA hailali kwa kuogopa nguvu anayokuja nayo China nchi ambayo waliitwa kwa dharau "sick man of Asia", mi nakuambia huyu Mungu muache tu... hata CCM itapita tu mkuu.. Kama JF itaendelea kuwepo vizazi vyetu/watoto watasoma haya tunayoandika humu...
 
Inahitaji muda sana kujifunza biashara ya familia ikiwa ndio unaianza kuliko kuikuta na ukaona kila siku namna inavyofanyika. Mwinyi ni raisi na baba yake alikuwa raisi. Wanao na wengine 100 wana nafasi wajue tu haitakuwa rahisi wapambane
Mwisho wao sio mbali, kulamba asali kumewaponza..
 
Ehh Mwenye Enzi Mungu tuhurumie nchi yetu Tanzania [emoji1241] jamani jamani uwiii ehh Mola wangu Rabuka sikia vilio vyetu walahi [emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji2972]
 
1. Kikwete
2. Kinana
3. Makamba
4. Rostam Aziz
5. Na Mzee wangu naye nashukuru sasa amerudi amekuwa Mnec.

Hawa ndio wanaweka Rais wanayeona anafaa. Hawa ndiyo wenye mapenzi na hii nchi na wanafahamu CCM kwa ukaribu.

Mlituletea mtu mgeni akawa hasikilizi anachoambiwa anafanya atakalo na hajali wenye chama. Hawaamini wengine. Chama kimerudi kwa wenyewe sasa.

Msitegemee tena yatatokea makosa yale ya kipindi kile. Will never happen. Na hii ndo mpaka msahau kabisa. Aliye na sikio na asikie.
Hayo yote marobot tu hamna kitu hapo...hahahaaaa ila kama ukweli vile sasa ndio nini au napuliza 🤣🤣🤣
 
Ni kweli mkuu, acha individuals tu kama kina Mohammed Ali, hata wakubwa walioongoza dunia kama Japan kule Asia, kama UK kuwa mbabe wa dunia na kuitawala USA, leo hii Japan hata kwa nguvu za kijeshi haifikii India, leo hii UK haifikiii India, leo hii USA hailali kwa kuogopa nguvu anayokuja nayo China nchi ambayo waliitwa kwa dharau "sick man of Asia", mi nakuambia huyu Mungu muache tu... hata CCM itapita tu mkuu.. Kama JF itaendelea kuwepo vizazi vyetu/watoto watasoma haya tunayoandika humu...
Nimepata faraja kubwa sana kuona kuwa kumbe tuna watu wanaoamini kuhusu mabadiliko kutokea huko mbeleni.
Mimi sikuingia siasani wala kupambana front, lakini vizazi vyangu vilivyo,vinatia matumaini makubwa sana kuwa huko mbeleni watakuja kubadilisha mambo tu kwenye nchi yetu pendwa.
Mungu akubariki na awabariki wote wenye maono kama haya.
 
Back
Top Bottom