100 others
JF-Expert Member
- Aug 5, 2017
- 4,766
- 16,191
Amen mkuu, hata wana wa Israel walikaa utumwani karne 4 au zaidi, finally Mungu akasikia vilio vyao na kuwafuta machozi, akawapiga pigo zito wale walijiita miungu watu.Nimepata faraja kubwa sana kuona kuwa kumbe tuna watu wanaoamini kuhusu mabadiliko kutokea huko mbeleni.
Mimi sikuingia siasani wala kupambana front, lakini vizazi vyangu vilivyo,vinatia matumaini makubwa sana kuwa huko mbeleni watakuja kubadilisha mambo tu kwenye nchi yetu pendwa.
Mungu akubariki na awabariki wote wenye maono kama haya.
Sisi ndio kwanza tuna miaka 61 toka uhuru.
Dec 9 njema mkuu, happy Uhuru Day