Chizi Maarifa
JF-Expert Member
- Jul 29, 2013
- 10,931
- 24,816
Unajielewa kweli?1. Kikwete
2. Kinana
3. Makamba
4. Rostam Aziz
5. Na Mzee wangu naye nashukuru sasa amerudi amekuwa Mnec.
Hawa ndio wanaweka Rais wanayeona anafaa. Hawa ndiyo wenye mapenzi na hii nchi na wanafahamu CCM kwa ukaribu.
Mlituletea mtu mgeni akawa hasikilizi anachoambiwa anafanya atakalo na hajali wenye chama. Hawaamini wengine. Chama kimerudi kwa wenyewe sasa.
Msitegemee tena yatatokea makosa yale ya kipindi kile. Will never happen. Na hii ndo mpaka msahau kabisa. Aliye na sikio na asikie.
Unajielewa kweli?
NdiyoAkapimwe akili huyo
Weye ni katibu muhtasi wa Rostam? Acha ujinga. Hivi, ile picha ya wana-CHADEMA wakimsimanga Lowassa bado unayo? Itundike sebuleni kwako.😂😂😂😂Hapo Rostam mtoe. Rostam alimtaka Lowasa na akampa urais kupitia UKAWA.
Hao kina JK wana nguvu kidogo ndio maana 2015 JK alimtaka Membe akapita Magu. Hao hata wanaCCM wenzao waliwakataa 2105 chama kikataka kuwafia mkononi.
Ona 2025 historia inavyojirudia tena. Kinana na Kikwete hawaaminiki hata na ccm wenzao. Huyo Rostam wanamuweka karibu sababu wanaijua nguvu yake. Ni mastermind.
Kwanza samahani, hivi we ni KE au ME?Weye ni katibu muhtasi wa Rostam?Acha ujinga.Hivi,ile picha ya wana-CHADEMA wakimsimanga Lowassa bado unayo?Itundike sebuleni kwako.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Achana nao hao....si wanabebwa na kabila. Lakini pia kidogo Musukuma anaanza kujielewa elewa kidogo. Hatutaki watu washamba.Zote hizi porojo....mbona kina Gwajima na Msukuma wamepata Kura nyingi kuliko Nape na January?...
CCM chama cha kila mtu
1. Kikwete
2. Kinana
3. Makamba
4. Rostam Aziz
5. Na Mzee wangu naye nashukuru sasa amerudi amekuwa Mnec.
Hawa ndio wanaweka Rais wanayeona anafaa. Hawa ndiyo wenye mapenzi na hii nchi na wanafahamu CCM kwa ukaribu.
Mlituletea mtu mgeni akawa hasikilizi anachoambiwa anafanya atakalo na hajali wenye chama. Hawaamini wengine. Chama kimerudi kwa wenyewe sasa.
Msitegemee tena yatatokea makosa yale ya kipindi kile. Will never happen. Na hii ndo mpaka msahau kabisa. Aliye na sikio na asikie.
Kila kitu kipo sehemu yake niamini mimi.Hapo Rostam mtoe. Rostam alimtaka Lowasa na akampa urais kupitia UKAWA.
Hao kina JK wana nguvu kidogo ndio maana 2015 JK alimtaka Membe akapita Magu. Hao hata wanaCCM wenzao waliwakataa 2105 chama kikataka kuwafia mkononi.
Ona 2025 historia inavyojirudia tena. Kinana na Kikwete hawaaminiki hata na ccm wenzao. Huyo Rostam wanamuweka karibu sababu wanaijua nguvu yake. Ni mastermind.
Mpango mkakati.Mbona Gwajiboy kawa MNEC na hajawahi kuwa ndani ya chama kwa mda mrefu kama hao wengine??
Hata 2015 kinana na JK walisema hivyo kabla. Ngoja Muda utasema.Kila kitu kipo sehemu yake niamini mimi.
Kwa bandiko lako Ile lipoti kuwa Kati ya watu kumi wawili Wana matatizo ya akili inapata nguvu tutakuletea gari ya wagonjwa tukubebe.1. Kikwete
2. Kinana
3. Makamba
4. Rostam Aziz
5. Na Mzee wangu naye nashukuru sasa amerudi amekuwa Mnec.
Hawa ndio wanaweka Rais wanayeona anafaa. Hawa ndiyo wenye mapenzi na hii nchi na wanafahamu CCM kwa ukaribu.
Mlituletea mtu mgeni akawa hasikilizi anachoambiwa anafanya atakalo na hajali wenye chama. Hawaamini wengine. Chama kimerudi kwa wenyewe sasa.
Msitegemee tena yatatokea makosa yale ya kipindi kile. Will never happen. Na hii ndo mpaka msahau kabisa. Aliye na sikio na asikie.
Nilipoanza kusoma nilidhani unatania, kumbe upo 'siriasi' hasa!!1. Kikwete