Nimepata faraja kubwa sana kuona kuwa kumbe tuna watu wanaoamini kuhusu mabadiliko kutokea huko mbeleni.
Mimi sikuingia siasani wala kupambana front, lakini vizazi vyangu vilivyo,vinatia matumaini makubwa sana kuwa huko mbeleni watakuja kubadilisha mambo tu kwenye nchi yetu pendwa.
Mungu akubariki na awabariki wote wenye maono kama haya.