CCM inahitaji pongezi nchi hii, tulipotoka tunapajua wenyewe. Mnyonge mnyongeni ila haki yake mpeni

Zilifanyika juhudi kubwa za kupinga pombe kali za viroba sasa zimerudi kwa mgongo wa chupa za plastic.

Madhara ya kamari yanajulikana duniani kote lakini leo hii kamari zipo mpaka vichochoroni
Hizo changamoto za kiutendaji na tunazifanyia kazi mkuu
 
Kijana wewe si umesoma na boom la serikali???
Kwani boom si nikodi yangu na mali ya nchi yangu hata rais analipwa mshahara kwa pesa yetu ...kwaizo akili zako inaelekea unadhani serikali ni kampuni binafsi ya wahuni wa sisiem hivyo tuishukuru kwa kutoa boom
 
Kweli mkuu unatukosea heshima kutuita sisi wana CCM wahuni.
 
Back
Top Bottom