Tetesi: CCM inajiandaa na Uchaguzi mdogo Jimbo la Arusha mjini

Tetesi: CCM inajiandaa na Uchaguzi mdogo Jimbo la Arusha mjini

Good People

JF-Expert Member
Joined
Aug 6, 2016
Posts
945
Reaction score
1,819
Ikiwa ni miezi michache kabla ya kura ya kumchagua mbunge mpya wa Arusha mjini CCM imeanza kujidhatiti vyema katika jimbo hilo ambalo inalitamani kwa muda mrefu.

Wananchi pia wanaonekana wanaunga mkono kutokana na kuchoshwa na Mjelajela Godbless Lema ambaye amekua akitumia Ubunge kupata umaarufu wa kisiasa bila kutatua kero za wananchi.

Tatu nawapongeza wananchi wa Arusha kwa kumuachia msalaba wake na wananchi wanaendelea na shughuli zao na mahakamani wanaonekana ndugu zake tuu!
 
Eti "kuchoshwa"!!!!!

Ndio kimeujaza ubongo wao (maccm)
Strategy za miwigulu nncheeemba!

Kuchokwa imechokwa ccm miaka yote wao tu!!!
 
Ccm tumejifunza mwanza hapa atukubali arusha chadema imetunufaisha sana,Kama sio chadema pikipiki tungepataje? Kama sio Chadema wamachinga tungefanyia wapi biashara?Mungu mbariki Lema Mungu ibariki sana chadema.
 
Ikiwa ni miezi michache kabla ya kura ya kumchagua mbunge mpya wa Arusha mjini CCM imeanza kujidhatiti vyema katika jimbo hilo ambalo inalitamani kwa muda mrefu.

Wananchi pia wanaonekana wanaunga mkono kutokana na kuchoshwa na Mjelajela Godbless Lema ambaye amekua akitumia Ubunge kupata umaarufu wa kisiasa bila kutatua kero za wananchi.

Tatu nawapongeza wananchi wa Arusha kwa kumuachia msalaba wake na wananchi wanaendelea na shughuli zao na mahakamani wanaonekana ndugu zake tuu!
Kwlei mmejiandaa naona Gambo na mwanamama wa viti maalumu mnafanya kazi za hujuma zenye kila muonekano wa hasara. Utakuwa wewe ni mkuu wa mkoa huo,uliyetengeneza chama kipya cha waendesha boda boda, na kufanya uchaguzi wa kihuni kuweka mtu wako. Uliwahi wauliza wenzako?Walimpora ubunge na kujenga barabara, mkajidai kwamba nyie ndio mmefanya bado hamkupata mapenzi. Kwa taarifa zako watu wa arusha nilioongea nao wanasema hasira hapo Arusha ipo juu sana. Sasa hivi ni kuliko ile y HATA JIWE LITAPIGIWA KURA.
 
Hiyo ni Takrima kwa bodaboda, Ni rushwa, ni asante kwa bodaboda au ni nini? Walipewa kwa vigezo gani?
 
Back
Top Bottom