Tetesi: CCM inajiandaa na Uchaguzi mdogo Jimbo la Arusha mjini

Tetesi: CCM inajiandaa na Uchaguzi mdogo Jimbo la Arusha mjini

Nadhani hi ni chachu kwa majimbo mengine ili waige mfano wa arusha waweze kunufaika.
Hasa Dodoma nasikia machinga wamenunaaaaa kura wapigie green halafu pikipiki wapate wengine.Mjini shule " Mchukie ajipendekeze"
 
Katika Mikoa yenye shida zaidi nchi hii Arusha haipo.

Mkuu Farudume;
Wanasemaga; Mwenye nacho huongezewa na asonacho hata kile kidogo hunyang'anya akapewa alonacho. Nadhani WM alifanya vyema kuwapa wenye nacho ili waongezee tu. Usijali
 
Ikiwa ni miezi michache kabla ya kura ya kumchagua mbunge mpya wa Arusha mjini CCM imeanza kujidhatiti vyema katika jimbo hilo ambalo inalitamani kwa muda mrefu.

Wananchi pia wanaonekana wanaunga mkono kutokana na kuchoshwa na Mjelajela Godbless Lema ambaye amekua akitumia Ubunge kupata umaarufu wa kisiasa bila kutatua kero za wananchi.

Tatu nawapongeza wananchi wa Arusha kwa kumuachia msalaba wake na wananchi wanaendelea na shughuli zao na mahakamani wanaonekana ndugu zake tuu!
Hivi hamuwezi kuja na story nyingine bila kuweka jina Lema/Lowassa na mbowe humu ndani tumechoka na haya majina bwana! Yaani haya majina yamekuja kuwa maarufu kuliko hata jina la Baba wa Taifa Julius Kambarage Nyerere?!
 
CCM Arusha hata wamsimamishe Yesu wa Nazareti watashindwa tu!!!

Hapakuwa na haja ya kumtaja Yesu hapa mkuu, wakumbushe tu Arusha CDM hata ikisimamisha mti au jiwe ipambane na CCM bado hicho kilichosimamishwa kisicho na uhai kitashinda !!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Wakamuulize David moshi mjini, aligawa kila kitu mpaka dakika ya mwisho na bado akaangukia pua, hata kama lema atakua jela atachaguliwa akiw hukohuko
 
Mie nipo Ar kwa miaka mingi hata uchaguzi ukifanyika leo Lema akiwa ndani nakuhakikishia atashinda kwa kishindo kwani kwetu Lema amezidi kuwa NYOTA KALI SANA NAKUPENDWA KULIKOPITILIZA!
 
Ikiwa ni miezi michache kabla ya kura ya kumchagua mbunge mpya wa Arusha mjini CCM imeanza kujidhatiti vyema katika jimbo hilo ambalo inalitamani kwa muda mrefu.

Wananchi pia wanaonekana wanaunga mkono kutokana na kuchoshwa na Mjelajela Godbless Lema ambaye amekua akitumia Ubunge kupata umaarufu wa kisiasa bila kutatua kero za wananchi.

Tatu nawapongeza wananchi wa Arusha kwa kumuachia msalaba wake na wananchi wanaendelea na shughuli zao na mahakamani wanaonekana ndugu zake tuu!
ARUSHA ya gambia au tz Ndio yanawezekana haya chali yangu acha kuleta ukuda aiseeee
 
Mie nipo Ar kwa miaka mingi hata uchaguzi ukifanyika leo Lema akiwa ndani nakuhakikishia atashinda kwa kishindo kwani kwetu Lema amezidi kuwa NYOTA KALI SANA NAKUPENDWA KULIKOPITILIZA!
AR ya Kigoma hiyo!
 
Kuhusu Arusha CCM wasahau.
Daudi, hii kitu sijui kama CDM wanaiona. Ya Lema ni deliberate move, ina nguvu toka juu sana, inahitaji hata nguvu ya wadau wengi. Mbowe, Lowasa and all involved should stop all other things and get involved with Lema! Anything is possible ................... from life to death
 
Huyu hawezi kushitakiwa kwa uchochezi. Ila atokee mtu aseme kwamba UKAWA wanajiandaa kwa uchaguzi wa Rais utakaofanyika miezi michache ijayo, atakiona cha moto!!
ndo hvyo mkuu, wahusika wana double standard ya hali ya juu
 
pikipiki wamechukua na kura hawatowapigia vilevile
 
Mkuu Farudume;
Wanasemaga; Mwenye nacho huongezewa na asonacho hata kile kidogo hunyang'anya akapewa alonacho. Nadhani WM alifanya vyema kuwapa wenye nacho ili waongezee tu. Usijali

Na wale waliopoteza kule Kagera waendelee kutetemeka tu.
 
Kula ccm kulala chadema! Waongeze na zingine! Badala kuwapa viwanda watanzania wapate ajira za kudumu wanawapa boda boda.....ndio ajira hizo mzizoahidi? Huo ndio mwisho wenu kufikiri kwenye viwanda?
 
Huyu kweli anaifahamu chuga.!!!!.....au kwa vile wameleta vibodaboda vyao...usije kuwazia hilo ata siku moja.....
 
Back
Top Bottom