Tetesi: CCM inajiandaa na Uchaguzi mdogo Jimbo la Arusha mjini

Kama walivyoshindwa kuiondoa nchi yetu katika umaskini uliotopea, wataendelea kushindwa shindwa kwenye vitu vingi mpaka watakavyoshindwa kabisa. They always use wrong assumptions and strategies and end up with big shame...
 
Ikiwa ni miezi michache kabla ya kura ya kumchagua mbunge mpya wa Arusha mjini CCM imeanza kujidhatiti vyema katika jimbo hilo ambalo inalitamani kwa muda mrefu.

Wananchi pia wanaonekana wanaunga mkono kutokana na kuchoshwa na Mjelajela Godbless Lema ambaye amekua akitumia Ubunge kupata umaarufu wa kisiasa bila kutatua kero za wananchi.

Tatu nawapongeza wananchi wa Arusha kwa kumuachia msalaba wake na wananchi wanaendelea na shughuli zao na mahakamani wanaonekana ndugu zake tuu!

Hivi wale form four failures sanaofukuzaga watu siku za kesi yake pale mahakamani huwa wanafukuza mizimu ya ccm au??

Sijui kwa nini hiki chama cha dikteta uchwara sasa kwa dhati kabisa kimeamua kuwekeza katika ujinga na upuuzi
 
Mbona ndo imetoka hiyo!
Lema kesha kuwa historia.

Usisahau Madiba alikaa ndani 27 na baadae makaburu kama huyu wa sasa ndani ya sisiem wakaenda kumpigia magoti.

So acha mbwembwe za kijinga za kiccm akati haujui kesho
 
inawezekana sana tu CCM waka engineer lema kufungwa ili jimbo liwe wazi..Very Possible
kweli hizo pikipiki ni utangulizi,CCM wanatumia udhaifu au mapungufu wa hali harisi.Lakini Arusha sio kazi rahisi,labda watumie bajeti nzima ya serikali.
 
Ikiwa ni miezi michache kabla ya kura ya kumchagua mbunge mpya wa Arusha mjini CCM imeanza kujidhatiti vyema katika jimbo hilo ambalo inalitamani kwa muda mrefu.

Wananchi pia wanaonekana wanaunga mkono kutokana na kuchoshwa na Mjelajela Godbless Lema ambaye amekua akitumia Ubunge kupata umaarufu wa kisiasa bila kutatua kero za wananchi.

Tatu nawapongeza wananchi wa Arusha kwa kumuachia msalaba wake na wananchi wanaendelea na shughuli zao na mahakamani wanaonekana ndugu zake tuu!

Dogo Arusha siyo mtera,Arusha wanajitambua.
 
Izi thread zingine hawa mods si wawe wanazitoa? Mnataka tuanze matusi humu mtupige ban au
 
Ikiwa ni miezi michache kabla ya kura ya kumchagua mbunge mpya wa Arusha mjini CCM imeanza kujidhatiti vyema katika jimbo hilo ambalo inalitamani kwa muda mrefu.

Wananchi pia wanaonekana wanaunga mkono kutokana na kuchoshwa na Mjelajela Godbless Lema ambaye amekua akitumia Ubunge kupata umaarufu wa kisiasa bila kutatua kero za wananchi.

Tatu nawapongeza wananchi wa Arusha kwa kumuachia msalaba wake na wananchi wanaendelea na shughuli zao na mahakamani wanaonekana ndugu zake tuu!

Aliyeanzisha utaratibu wa kutoa buku saba huko Lumumba kwa kila post inayoletwa hapa jukwaani anapaswa kupuuzwa zaidi ya upuuzi wenyewe,kusingekuwa na buku saba za Lumumba,jukwaa lisingekuwa linapokea hoja mfu za kiwango cha lami kami hii ya mleta mada.
 
Ndio maana wanajipendekeza kumbe,wanataka wamfanyie lema fitina hawa ccm
 
inawezekana sana tu CCM waka engineer lema kufungwa ili jimbo liwe wazi..Very Possible

Ishu sio Lema , hapa tatizo ni CCM.

Hata wa CDM wakimsimamisha SOKWE, atashinda tu dhidi ya mgombea wa CCM

Kama CCM wanadhani hizo pikipiki 200 ndo zinawatia kiburi, ngoja tuone
 
Huo uchaguzi ukishafanyika usisite pia kuja hapa kutoa pongezi ,Chuga wanajijua wenyewe
 
Ishu sio Lema , hapa tatizo ni CCM.

Hata wa CDM wakimsimamisha SOKWE, atashinda tu dhidi ya mgombea wa CCM

Kama CCM wanadhani hizo pikipiki 200 ndo zinawatia kiburi, ngoja tuone

CCM wataiba kura

Na sasaivi wananchi wako kama paralysed kwa hio hawatafanya chochote
 
Ikiwa ni miezi michache kabla ya kura ya kumchagua mbunge mpya wa Arusha mjini CCM imeanza kujidhatiti vyema katika jimbo hilo ambalo inalitamani kwa muda mrefu.

Wananchi pia wanaonekana wanaunga mkono kutokana na kuchoshwa na Mjelajela Godbless Lema ambaye amekua akitumia Ubunge kupata umaarufu wa kisiasa bila kutatua kero za wananchi.

Tatu nawapongeza wananchi wa Arusha kwa kumuachia msalaba wake na wananchi wanaendelea na shughuli zao na mahakamani wanaonekana ndugu zake tuu!
Mazuzu wa lumumba mnafikiria kwa kutumia masaburi yenu labda uchaguzi wa mwenyekiti wenu uvccm mkoa ndio mfanye uchaguzi mnafuga matapeli mpka gesti mnakopa
 
Arusha ina mbunge Wa kudumu ccm mnajisumbua tu
 
Back
Top Bottom