Tetesi: CCM inajiandaa na Uchaguzi mdogo Jimbo la Arusha mjini

Tetesi: CCM inajiandaa na Uchaguzi mdogo Jimbo la Arusha mjini

Ikiwa ni miezi michache kabla ya kura ya kumchagua mbunge mpya wa Arusha mjini CCM imeanza kujidhatiti vyema katika jimbo hilo ambalo inalitamani kwa muda mrefu.

Wananchi pia wanaonekana wanaunga mkono kutokana na kuchoshwa na Mjelajela Godbless Lema ambaye amekua akitumia Ubunge kupata umaarufu wa kisiasa bila kutatua kero za wananchi.

Tatu nawapongeza wananchi wa Arusha kwa kumuachia msalaba wake na wananchi wanaendelea na shughuli zao na mahakamani wanaonekana ndugu zake tuu!
weka muongozo hapa unaokuelekeza kuitisha uchaguzi jimbo la Arusha mjini,
 
CCM Arusha hata wamsimamishe Yesu wa Nazareti watashindwa tu!!!

Pamoja na yote ndugu hapa umekosea sana kumfananisha Yesu, hata kama humwamini, Lema wala CCM hawawezi kuwa sawa na Yesu. Toba inakuhusu ndugu yangu
 
Pamoja na yote ndugu hapa umekosea sana kumfananisha Yesu, hata kama humwamini, Lema wala CCM hawawezi kuwa sawa na Yesu. Toba inakuhusu ndugu yangu
Nitatubu mkuu.
Na niombe samahani kwa dhati kabisa kama wapo niliowakwaza kwa namna moja au nyingine. Nia yangu ilikua kuonyesha msisitizo tu.
 
Huyu mburula kweli anaifahamu chuga.!!!!.....au kwa vile wameleta vibodaboda vyao...usije kuwazia hilo ata siku moja.....
Chuga ipi hiyo hii ninayoishi Mimi waliomuacha Lema anahangaika peke yake Jela hata hawaendi kusikiliza Kesi yake imagine miaka ya 2010 watu walivyokufa kwa ajili yake!
 
Huyu mleta mada atakua ajavaa Chuppi..leo
 
Ikiwa ni miezi michache kabla ya kura ya kumchagua mbunge mpya wa Arusha mjini CCM imeanza kujidhatiti vyema katika jimbo hilo ambalo inalitamani kwa muda mrefu.

Wananchi pia wanaonekana wanaunga mkono kutokana na kuchoshwa na Mjelajela Godbless Lema ambaye amekua akitumia Ubunge kupata umaarufu wa kisiasa bila kutatua kero za wananchi.

Tatu nawapongeza wananchi wa Arusha kwa kumuachia msalaba wake na wananchi wanaendelea na shughuli zao na mahakamani wanaonekana ndugu zake tuu!
Freedom of expression
 
Arusha hata ukiweka jiwe na mgombea wa sisiem, jiwe litashinda. Kutoa pikipiki haitoshi kuna waliotoabhela na zaidi ikaishia kuliwa.
 
Hiyo ni Takrima kwa bodaboda, Ni rushwa, ni asante kwa bodaboda au ni nini? Walipewa kwa vigezo gani?
Wao watumie kigezo chochote pikipki wamechukua lakini kura kwa C D M zingine ni mbwebwe tu Arusha SIO Katavi ndugu
 
Chuga ipi hiyo hii ninayoishi Mimi waliomuacha Lema anahangaika peke yake Jela hata hawaendi kusikiliza Kesi yake imagine miaka ya 2010 watu walivyokufa kwa ajili yake!
We unaongelea chuga gani hivi wewe mwaka 2015 ulipiga kura kweli ukiwa hapa chuga.?? au unaongelea nn kwanza ulikuwa wapi kipindi hicho na ulipigia kura kituo gani....maana naona uko mbali sana na mkoa huu (geneva) ya tz
 
Arusha hakuna CCM,zaidi ya wale Warangi wa Ngarenaro wanaouza mirungi,ambao mchana ni ccm,usiku chadema
 
Back
Top Bottom