Good People
JF-Expert Member
- Aug 6, 2016
- 945
- 1,819
Mbona ndo imetoka hiyo!inawezekana sana tu CCM waka engineer lema kufungwa ili jimbo liwe wazi..Very Possible
N kweli mkuuHuyu hawezi kushitakiwa kwa uchochezi. Ila atokee mtu aseme kwamba UKAWA wanajiandaa kwa uchaguzi wa Rais utakaofanyika miezi michache ijayo, atakiona cha moto!!
Kwlei mmejiandaa naona Gambo na mwanamama wa viti maalumu mnafanya kazi za hujuma zenye kila muonekano wa hasara. Utakuwa wewe ni mkuu wa mkoa huo,uliyetengeneza chama kipya cha waendesha boda boda, na kufanya uchaguzi wa kihuni kuweka mtu wako. Uliwahi wauliza wenzako?Walimpora ubunge na kujenga barabara, mkajidai kwamba nyie ndio mmefanya bado hamkupata mapenzi. Kwa taarifa zako watu wa arusha nilioongea nao wanasema hasira hapo Arusha ipo juu sana. Sasa hivi ni kuliko ile y HATA JIWE LITAPIGIWA KURA.Ikiwa ni miezi michache kabla ya kura ya kumchagua mbunge mpya wa Arusha mjini CCM imeanza kujidhatiti vyema katika jimbo hilo ambalo inalitamani kwa muda mrefu.
Wananchi pia wanaonekana wanaunga mkono kutokana na kuchoshwa na Mjelajela Godbless Lema ambaye amekua akitumia Ubunge kupata umaarufu wa kisiasa bila kutatua kero za wananchi.
Tatu nawapongeza wananchi wa Arusha kwa kumuachia msalaba wake na wananchi wanaendelea na shughuli zao na mahakamani wanaonekana ndugu zake tuu!
Mbona ndo imetoka hiyo!
Lema kesha kuwa historia.
Hapana mkuu!Na CCM mtashinda jimbo la arusha? u sio? kwa sababu ya pikipiki?