mama kubwa
JF-Expert Member
- Nov 3, 2010
- 6,230
- 9,889
Hasa Dodoma nasikia machinga wamenunaaaaa kura wapigie green halafu pikipiki wapate wengine.Mjini shule " Mchukie ajipendekeze"Nadhani hi ni chachu kwa majimbo mengine ili waige mfano wa arusha waweze kunufaika.
jaribu kujiheshimu basiCCM Arusha hata wamsimamishe Yesu wa Nazareti watashindwa tu!!!
Katika Mikoa yenye shida zaidi nchi hii Arusha haipo.
Hivi hamuwezi kuja na story nyingine bila kuweka jina Lema/Lowassa na mbowe humu ndani tumechoka na haya majina bwana! Yaani haya majina yamekuja kuwa maarufu kuliko hata jina la Baba wa Taifa Julius Kambarage Nyerere?!Ikiwa ni miezi michache kabla ya kura ya kumchagua mbunge mpya wa Arusha mjini CCM imeanza kujidhatiti vyema katika jimbo hilo ambalo inalitamani kwa muda mrefu.
Wananchi pia wanaonekana wanaunga mkono kutokana na kuchoshwa na Mjelajela Godbless Lema ambaye amekua akitumia Ubunge kupata umaarufu wa kisiasa bila kutatua kero za wananchi.
Tatu nawapongeza wananchi wa Arusha kwa kumuachia msalaba wake na wananchi wanaendelea na shughuli zao na mahakamani wanaonekana ndugu zake tuu!
CCM Arusha hata wamsimamishe Yesu wa Nazareti watashindwa tu!!!
ARUSHA ya gambia au tz Ndio yanawezekana haya chali yangu acha kuleta ukuda aiseeeeIkiwa ni miezi michache kabla ya kura ya kumchagua mbunge mpya wa Arusha mjini CCM imeanza kujidhatiti vyema katika jimbo hilo ambalo inalitamani kwa muda mrefu.
Wananchi pia wanaonekana wanaunga mkono kutokana na kuchoshwa na Mjelajela Godbless Lema ambaye amekua akitumia Ubunge kupata umaarufu wa kisiasa bila kutatua kero za wananchi.
Tatu nawapongeza wananchi wa Arusha kwa kumuachia msalaba wake na wananchi wanaendelea na shughuli zao na mahakamani wanaonekana ndugu zake tuu!
AR ya Kigoma hiyo!Mie nipo Ar kwa miaka mingi hata uchaguzi ukifanyika leo Lema akiwa ndani nakuhakikishia atashinda kwa kishindo kwani kwetu Lema amezidi kuwa NYOTA KALI SANA NAKUPENDWA KULIKOPITILIZA!
Daudi, hii kitu sijui kama CDM wanaiona. Ya Lema ni deliberate move, ina nguvu toka juu sana, inahitaji hata nguvu ya wadau wengi. Mbowe, Lowasa and all involved should stop all other things and get involved with Lema! Anything is possible ................... from life to deathKuhusu Arusha CCM wasahau.
ndo hvyo mkuu, wahusika wana double standard ya hali ya juuHuyu hawezi kushitakiwa kwa uchochezi. Ila atokee mtu aseme kwamba UKAWA wanajiandaa kwa uchaguzi wa Rais utakaofanyika miezi michache ijayo, atakiona cha moto!!
Mkuu Farudume;
Wanasemaga; Mwenye nacho huongezewa na asonacho hata kile kidogo hunyang'anya akapewa alonacho. Nadhani WM alifanya vyema kuwapa wenye nacho ili waongezee tu. Usijali
Siku hizi maono yanaweza kukosesha dhamana!!Nilipata haya maono.
Na wale waliopoteza kule Kagera waendelee kutetemeka tu.