CCM inakuwaje Askari wetu wa Uhifadhi wanakosa nguo na vifaa vya uhakika hadi kufikia kuvaa kama vikosi vya Waasi/ Askari wa DRC?

CCM inakuwaje Askari wetu wa Uhifadhi wanakosa nguo na vifaa vya uhakika hadi kufikia kuvaa kama vikosi vya Waasi/ Askari wa DRC?

ninashangaa je ni kweli kwamba hatuna jingine la kujadili ? kwa nini tusijadili tatizo la hao fisi ambao wamekuwa ni tishio kwa maisha ya binadamu huko simiyu? maana hapa nashindwa kukuelewa mleta mada kwamba tatizo ni namna ya uvaaji wa askari ama tatizo ni fisi anayehatarisha maisha ya wananchi? kwani imekuwaje kwamba wameshindwa kupambana na fisi kwa sababu ya uvaaji wao?
na je wewe umejuaje kwamba walichovaa hakikustahili kuvaliwa kwenye tukio husika?
na unathibitishaje kwamba walizovaa ni buti za kawaida kama tunazovaa uraiani?
kwani haiwezekani kwamba kesho husika wameridhika na ubora wa kilichovaliwa?
na je umefika karibu ama umefanya tathimini gani kuona ubora wa hiyo buti hadi uwafananishe askari wa nchi yako na askari wa nchi nyingine inayoaminika kwamba kiwango cha askari/wanajeshi wao kidogo kiko chini ya kiwango.
tunahitaji zaidi mawazo chanya namna gani wananchi wakabiliane na hao fisi ili kupunguza na kama siyo kuondoa kabisa tatizo na wananchi kushambuliwa na kudhuriwa na fisi.
 
Wewe unaona sawa nchi yetu inavyoingiza mapato makubwa kwenye utalii alafu askari wetu hawana mabuti ya kiaskari?

We unaona sawa nchi iliyojinasibu kuingiza watalii milioni 5 kuingia mwaka huu kuwa na askari wasio na vifaa vya maana kama wanamgambo wa Congo?

Hujui kuwa hata uvaaji nadhifu tu wa askari wako ni sehemu ya national pride?
 
Nimesikitishwa sana kuona uvaaji wa Askari wetu wa uhifadhi wanaofanya operesheni ya kuua fisi huko mkoani Simiyu.

Inakuwaje nchi iliyofikisha Watalii Milioni 5 mwaka huu ambao wameingiza fedha za kigeni za kutosha kushindwa kuwanunulia nguo na vifaa stahiki askari wetu wa Wanyamapori?

Inakuwaje Askari wetu wanavaa buti za wakulima kama askari waasi wa Congo au Askari wa Jeshi la Congo? Tuseme tumeshindwa hata kuwanunulia buti za kiaskari?

Imenisikitisha sana kuona wahifadhi wetu wakivaa kama Askari wa kikosi cha Wazalendo kule Congo.

Angalieni wenyewe hapo chini👇

Aibu naona mimi!
View attachment 3245490
Sasa ulitaka wavaaje kichaa wewe ,hizo nguo ni maalum kwa kamafereji ya porini ulitaka wavae kama trafiki ili wanyama wawaone wakijificha huwa unafanyika utafiti wa mavazi yanayoendana na mazingira. Chadema imejaa vichaa tu

USSR
 
Kwa hiyo ni sawa askari wetu kuvaa mabuti ya wakulima we kilaza wa kijani?
 
Hakuna watumishi wa chini wanaoishi vizuri kama askari wa maliasili
 
Wanavaa vibaya. Wanaweza pewa uniform mpya lakini wanaamua kuvaa za zamani ili zikichafuka porini isiwe nongwa. Mpya zinavaliwa kukiwa na ugeni mzito.
Kwa nini wasiwanunulie boots nzuri na za kijeshi hadi wanavaa buti za wakulima shambani?

Askari akivaa hivyo ni is haraka kuwa nchi hiyo haipo serious kwenye mambo ya msingi. Askari anapaswa kuvaa protective gears za ki Askari kweli.

Hapo walivyovaa hawana tofauti na Wanamgambo wa Congo ambao wanapelekewa moto na Rwanda.

Kama hujui moja ya maeneo ambayo Jeshi la Congo linachekwa na kusemwa vibaya ni namna Askari wao wanavyovaa. Sasa naona na sie tunafanya hayo hayo yanayofanya Congo wachekwe huko!

Angalia mwenyewe Askari wa Congo wanavyovaa👇
IMG-20231007-WA0008.jpg
 
Hakuna watumishi wa chini wanaoishi vizuri kama askari wa maliasili
Ndo wavae mabuti ya wakulima?

Huko kuishi vizuri kwa nini wasitumie hizo hela kuwanunulia protective gears sahihi na nzuri?

We angalia askari wa Congo hapa wana tofauti gani na hawa wetu?
IMG-20241025-WA0054-1024x768.jpg
 
Ndo wavae mabuti ya wakulima?

Huko kuishi vizuri kwa nini wasitumie hizo hela kuwanunulia protective gears sahihi na nzuri?

We angalia askari wa Congo hapa wana tofauti gani na hawa wetu?
View attachment 3246112
Hayo ndio mabuti yanayofaa misitu ya Ikweta kwenye mvua muda wote na unyevu mwingi.
 
Hayo ndio mabuti yanayofaa misitu ya Ikweta kwenye mvua muda wote na unyevu mwingi.
Achaga ujinga basi!

Kwa hiyo na sie kwetu kuna misitu ya ikweta na unyevu mwingi?
 
Halafu kwanini wasiwe wanawachukua vipimo ndo wanawashonea nguo zinazowatosha badala ya kuwavalisha ma over size hayo au mabuga hayo........!
 
Halafu kwanini wasiwe wanawachukua vipimo ndo wanawashonea nguo zinazowatosha badala ya kuwavalisha ma over size hayo au mabuga hayo........!
Yaaani ni vuluvululu tu!

Hii nchi hatuna utaratibu wa kupenda na kujali mambo yetu. Yaani suala la unadhifu wa askari wetu ndo kabisa

We angalia hapa askari wa Kenya Wildlife Services wanavyovalishwa vizuri na kupewa protective gears nzuri👇

FB_IMG_1740295450225.jpg
FB_IMG_1740295461872.jpg
 
🤣😂🤣🤣😂🤣🤣😂😂😂😂😂
 
Nchi za Afrika ,Upigaji tu masikini wanaendelea kuwa maskini
 
Nchi za Afrika ,Upigaji tu masikini wanaendelea kuwa maskini
Wanatia sana aibu! wao ni kuiba pesa za walipakodi na kuzitumia vibaya kuwalipa kina Masanja Mkandamizaji, Mwijaku, Baba levo na Doto Magari tu

Kuwajali wapiganaji wetu hapana.

CCM kweli ni laana.
 
Sasa hao wanaofuga fisi kishirikina serikali itaingiliaje hapo mambo ya kichawi ikiwa haiamini ushirikina?
 
Kifua kipana
Naskia kule maliasili Katibu Mkuu wao hajali watumishi. Hela zote anachukua yeye kuwapelekea Viongozi wa CCM na kwa dili zake. Ndo matokeo yake haya askari wetu wanakosa vifaa vya maana wanakuwa kama askari au wanamgambo wa Congo.
 
Back
Top Bottom