brokenagges
Member
- Sep 29, 2022
- 58
- 33
ninashangaa je ni kweli kwamba hatuna jingine la kujadili ? kwa nini tusijadili tatizo la hao fisi ambao wamekuwa ni tishio kwa maisha ya binadamu huko simiyu? maana hapa nashindwa kukuelewa mleta mada kwamba tatizo ni namna ya uvaaji wa askari ama tatizo ni fisi anayehatarisha maisha ya wananchi? kwani imekuwaje kwamba wameshindwa kupambana na fisi kwa sababu ya uvaaji wao?
na je wewe umejuaje kwamba walichovaa hakikustahili kuvaliwa kwenye tukio husika?
na unathibitishaje kwamba walizovaa ni buti za kawaida kama tunazovaa uraiani?
kwani haiwezekani kwamba kesho husika wameridhika na ubora wa kilichovaliwa?
na je umefika karibu ama umefanya tathimini gani kuona ubora wa hiyo buti hadi uwafananishe askari wa nchi yako na askari wa nchi nyingine inayoaminika kwamba kiwango cha askari/wanajeshi wao kidogo kiko chini ya kiwango.
tunahitaji zaidi mawazo chanya namna gani wananchi wakabiliane na hao fisi ili kupunguza na kama siyo kuondoa kabisa tatizo na wananchi kushambuliwa na kudhuriwa na fisi.