Fbn
JF-Expert Member
- Jul 31, 2016
- 15,749
- 37,420
Tokea kupata uhuru kumekuwa na uchafu mwingi na mambo mengi ambayo si rahisi hawa watu kama msipo kaza buti.
Tena wanatakiwa kutolewa kwa nguvu sio maneno ya kubembeleza.
Walicho wahi sasa ni kuingiza mpaka jeshi la nchi kuwalinda na idara za polisi na TISS.
Tarehee 7 msije shangaa mpaka wanajeshi wapo na washapewa maagizo.