Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 21,470
- 40,593
Seriously hauoni tatizo?Kama Wewe Ni Mwalimu Mzalendo jiunge Kwenye hiyo data base Tatizo liko wapi?
kura ni siri, haiwasaidiiHapa Iringa kuna harakati zinaendeshwa na kundi la baadhi ya wana CCM kuwashawishi waalimu kujiorodhesha na kuingizwa kwenye Kanzi Data (Data Base) ya chama hicho kwa ahadi kwamba kipekee maslahi yao yatashughulikiwa.
Waalimu wanaoingizwa kwenye kanzi data hiyo inasemwa kwamba watakuwa wanaitwa "waalimu Wazalendo" na lengo ni kupanga uungwaji mkono toka kada hiyo ya waajiriwa wa serikali.
Inawezekana mifumo ya kupandisha madaraja na mishahara kwa waalimu iko hivi ilivyo sasa lengo likiwa ni atakayekuwa upande wa CCM atafaidika na atakayekuwa kinyume na CCM atakwamishwa.
Hapa Iringa kuna harakati zinaendeshwa na kundi la baadhi ya wana CCM kuwashawishi waalimu kujiorodhesha na kuingizwa kwenye Kanzi Data (Data Base) ya chama hicho kwa ahadi kwamba kipekee maslahi yao yatashughulikiwa.

Kama Wewe Ni Mwalimu Mzalendo jiunge Kwenye hiyo data base Tatizo liko wapi?

Mahali pengine kazi hiyo ilishafanyika tangu 2017. Kila shule ya msingi ilipata maelekezo ya kiserikali kuwaorodhesha waalimu wanachama wa ccm. Kwa hofu ya kuhatarisha ajira zao hata wasiokuwa wanachama idlibidi wadanganye! Hapo ndipo tulipofikia katika kuinyoosha nchi.
Kama kuna kada iliyojaa watu-nyumbu nchi hii basi ni Walimu
Siasa Ni akili Na mbinuUnadhani kila mtu anauza utu wake kama unavyofanya wewe? Sio kila mtu ni turncoat kama nyinyi. Ila msichokijua ni kuwa mnazalisha idadi kubwa ya watu watakaokuwa tayari kununuliwa na kwa kuwa kuna aina nyingi za wanunuzi mtakuta siku moja mlinzi wenu hapo lumumba ananunuliwa na kuruhusu aingie ISIS kuwalipua.
NA HIYO SIKU HAIPO MBALI.