Tetesi: CCM inaorodhesha walimu wazalendo

Allen Kilewella

JF-Expert Member
Joined
Sep 30, 2011
Posts
21,470
Reaction score
40,593
Hapa Iringa kuna harakati zinaendeshwa na kundi la baadhi ya wana CCM kuwashawishi waalimu kujiorodhesha na kuingizwa kwenye Kanzi Data (Data Base) ya chama hicho kwa ahadi kwamba kipekee maslahi yao yatashughulikiwa.

Waalimu wanaoingizwa kwenye kanzi data hiyo inasemwa kwamba watakuwa wanaitwa "waalimu Wazalendo" na lengo ni kupanga uungwaji mkono toka kada hiyo ya waajiriwa wa serikali.

Inawezekana mifumo ya kupandisha madaraja na mishahara kwa waalimu iko hivi ilivyo sasa lengo likiwa ni atakayekuwa upande wa CCM atafaidika na atakayekuwa kinyume na CCM atakwamishwa.
 
kura ni siri, haiwasaidii
 
Mahali pengine kazi hiyo ilishafanyika tangu 2017. Kila shule ya msingi ilipata maelekezo ya kiserikali kuwaorodhesha waalimu wanachama wa ccm. Kwa hofu ya kuhatarisha ajira zao hata wasiokuwa wanachama idlibidi wadanganye! Hapo ndipo tulipofikia katika kuinyoosha nchi.
 
Niliwahi kumsikia kiongozi mmoja wa ccm akitamka hadharani bila aibu kuwa kijana ukitaka ajira ni lazima ujiunge na ccm
Hapa Iringa kuna harakati zinaendeshwa na kundi la baadhi ya wana CCM kuwashawishi waalimu kujiorodhesha na kuingizwa kwenye Kanzi Data (Data Base) ya chama hicho kwa ahadi kwamba kipekee maslahi yao yatashughulikiwa.

Waalimu wanaoingizwa kwenye kanzi data hiyo inasemwa kwamba watakuwa wanaitwa "waalimu Wazalendo" na lengo ni kupanga uungwaji mkono toka kada hiyo ya waajiriwa wa serikali.

Inawezekana mifumo ya kupandisha madaraja na mishahara kwa waalimu iko hivi ilivyo sasa lengo likiwa ni atakayekuwa upande wa CCM atafaidika na atakayekuwa kinyume na CCM atakwamishwa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ha ha munachekesha kwa hiyo waalimu wapo radhi kuuza utu wao kwa kuwaneemesha wana siasa haha
 
Kama Wewe Ni Mwalimu Mzalendo jiunge Kwenye hiyo data base Tatizo liko wapi?

Unadhani kila mtu anauza utu wake kama unavyofanya wewe? Sio kila mtu ni turncoat kama nyinyi. Ila msichokijua ni kuwa mnazalisha idadi kubwa ya watu watakaokuwa tayari kununuliwa na kwa kuwa kuna aina nyingi za wanunuzi mtakuta siku moja mlinzi wenu hapo lumumba ananunuliwa na kuruhusu aingie ISIS kuwalipua.

NA HIYO SIKU HAIPO MBALI.
 
Lkn hiyo ni njia mzuri sana ya kuiangusha ccm maana wanao jisajiri kwa kuogopa na kulinda ajira siku ya kupiga kura wanaitia kitanzi
Mahali pengine kazi hiyo ilishafanyika tangu 2017. Kila shule ya msingi ilipata maelekezo ya kiserikali kuwaorodhesha waalimu wanachama wa ccm. Kwa hofu ya kuhatarisha ajira zao hata wasiokuwa wanachama idlibidi wadanganye! Hapo ndipo tulipofikia katika kuinyoosha nchi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unadhani kila mtu anauza utu wake kama unavyofanya wewe? Sio kila mtu ni turncoat kama nyinyi. Ila msichokijua ni kuwa mnazalisha idadi kubwa ya watu watakaokuwa tayari kununuliwa na kwa kuwa kuna aina nyingi za wanunuzi mtakuta siku moja mlinzi wenu hapo lumumba ananunuliwa na kuruhusu aingie ISIS kuwalipua.

NA HIYO SIKU HAIPO MBALI.
Siasa Ni akili Na mbinu

Mngekuwa mnaa Akili mngewaambia Walimu wote wajiandikishe Kwenye hiyo data base ili Kama Ni favor Basi wapate wote Au wakose wote

Sasa nyie mnaleta hayo Malalamiko Hapa tusikitike wote Au tuwasaidie kuwapa mbinu mbadala
 
Back
Top Bottom