Tetesi: CCM inaorodhesha walimu wazalendo

Tetesi: CCM inaorodhesha walimu wazalendo

shulembuyuuuuu-1.jpg

Hawa ndio walimu wazalendo
 
Kama Wewe Ni Mwalimu Mzalendo jiunge Kwenye hiyo data base Tatizo liko wapi?

Huo ndio utaratibu wa ajira siku hizi? Uzalendo unapimwa kwa kujiandikisha kwenye hilo daftari la ccm?
 
Huo ndio utaratibu wa ajira siku hizi? Uzalendo unapimwa kwa kujiandikisha kwenye hilo daftari la ccm?

Na Pia sio dhambi kujiandikisha ndio sababu nimeshauri wote wajiandikishe wapate hizo favor Kuliko kukosa Kwa Kuwa tu hawajajiandikisha
 
Now ni kutumikia kafiri mkono uende kinywani,hakuna njia mbadala tuliyoandaliwa na system,so tusilaumiane sisi kwa sisi,na "kupanga ni kuchagua"_In Jiwe's voicw...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Na Pia sio dhambi kujiandikisha ndio sababu nimeshauri wote wajiandikishe wapate hizo favor Kuliko kukosa Kwa Kuwa tu hawajajiandikisha

Lengo la kujiandikisha mbona haliko wazi, kama ni jambo lenye nia njema?
 
Lengo la kujiandikisha mbona haliko wazi, kama ni jambo lenye nia njema?

Tumeambiwa Na Mleta uzi lengo Ni kupata favor Labda atakuwa mzushi Mleta uzi

Kama Mleta thread Ni mkweli nimeshauri Mkoa mzima Walimu Wajiunge ili Kama favor wapate wote Kwa Kuwa Kama ni kura ni siri hazipigwi Kwenye data base
 
Wawakubalie tu ili iwe rahisi kuwavuruga hukohuko ndani kwa ndani.
 
Siasa Ni akili Na mbinu

Mngekuwa mnaa Akili mngewaambia Walimu wote wajiandikishe Kwenye hiyo data base ili Kama Ni favor Basi wapate wote Au wakose wote

Sasa nyie mnaleta hayo Malalamiko Hapa tusikitike wote Au tuwasaidie kuwapa mbinu mbadala

hii siyo siasa ni uhuni katika nchi, hupaswi kuentertain mambo kama haya , unapaswa kuyakemea.
wewe unajua ni marufuku mtumishi wa umma kutumia nafasi yake mamlaka yake kisiasa
 
Kama kuna kada iliyojaa watu-nyumbu nchi hii basi ni Walimu
Kweli mkuu. Lkn pia naona watumishi wote was umma ni tatizo.

Hivi unawezaje kukaa kimya na ukaendelea kuganya kazi miaka 3 bila nyongeza ya mshahara na kupandiishwa madaraja?.

This happens only in Tanzania, wasudani bei ya mkate tu wote wako barabarani.
 
Enzi hizo kule iliyokuwa USSR ile iliyokuwa chama pekee huko The Communist Party of USSR ilikuwa na nguvu zaidi ya hii ccm mbali sana.

Hata mtoto alikuwa akizaliwa tu anapewa kadi ya chama. Kila raia alikuwa ni lazima awe mwanachama lkn hilo halikuzuia chama hicho kufa sambamba na iliyokuwa Soviet Union.

Haya yanayofanyika hapa leo ni marudio tu ya yale yaliyowahi kufanyika kwingineko na huko mbele yatabaki kwenye simulizi tu za wana historia kama ilivyo huko Russia leo. Hakuna marefu yasiyo na mwisho.
 
Back
Top Bottom