Mmawia
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 122,494
- 96,074
Umenikumbusha kimbunga cha PERESTROIKA
Sent using Jamii Forums mobile app
Enzi hizo kule iliyokuwa USSR ile iliyokuwa chama pekee huko The Communist Party of USSR ilikuwa na nguvu zaidi ya hii ccm mbali sana.
Hata mtoto alikuwa akizaliwa tu anapewa kadi ya chama. Kila raia alikuwa ni lazima awe mwanachama lkn hilo halikuzuia chama hicho kufa sambamba na iliyokuwa Soviet Union.
Haya yanayofanyika hapa leo ni marudio tu ya yale yaliyowahi kufanyika kwingineko na huko mbele yatabaki kwenye simulizi tu za wana historia kama ilivyo huko Russia leo. Hakuna marefu yasiyo na mwisho.
Sent using Jamii Forums mobile app